Wanaangalia muongozo wa TCRA na maudhui ya Wizara, bila kusahau pembe za BASATA😂😂 mods wakifuta na hii mleta mada anaweza kujitanguliza yeye kwa hasira
Unaweza kukuta ni mtu ameku hotspot ndo ukaandika hivi!Moja ya jambo ambalo Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, amefanikiwa kwa zaidi ya 1000% ni kuwahenyesha manyumbu...........hakika manyumbu yanahenyeka kipindi hiki. Anachofanya Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern, ni kuwa kama mpambanaji wa Kung fu ambapo ambapo miguvu ya adui inatumika kumuumiza adui mwenyewe....the more the miguvu ya adui the more the kuumia adui huyo☺️☺️☺️
Hakika Hadi 2030, minyumbu itakuwa na mwonekano wa kama mtu aliyetapikwa.
Babu wa bibi yako yuko wapi,nani hatokufa?Narudia tena kuna mtu atakufa haraka sana kuliko anavyodhania na kujiona. Time will tell
Siyo wa tatu 2026?Hatoboi mwezi wa 11
Taarifa nilizonazo leo Duniani wamekufa watu 165,000. Bado kuna hospitali kama 3 nafanya compilationWanaokufa wangapi kwa siku mzee, huu upuuzi achaneni nao.
Unaweza kukuta unaacha maharage yanaungua unakimbilia kumchamba SamiaUnaweza kukuta ni mtu ameku hotspot ndo ukaandika hivi!
Wengi hawana akili, chuki zimewatamalaki na kuwahamishia akiliChangamoto ni kwamba kwenye kufa, unaweza kuta unatangulia wewe, si unakumbuka walio tabiri kubwa mzee Lowasa atakufa na hafai kupewa uraisi kwani atafiia madarakani wakatangulia wao
Ramli chonganishi, utakuwa MdigoNarudia tena kuna mtu atakufa haraka sana kuliko anavyodhania na kujiona. Time will tell
Wewe, Mama yako, Baba yako shangazi zako , wadogo zako na kaka zako wote pia Mtakufa it’s only thing that is certain hata Tundu Lissu na Maria Sarungi watakufa haitaji utabiri
JiweNa wala si siku nyingi
Mpaka ajitundike kwa hasira au sio😄😄Nipo na wewe bro
Nipo nae hadi ajitangulizeMpaka ajitundike kwa hasira au sio😄😄