Mimi nimesema kuna mtu atakufa tu, hata kama anajifanya yuko imara

Unaweza kukuta ni mtu ameku hotspot ndo ukaandika hivi!
 
Wewe, Mama yako, Baba yako shangazi zako , wadogo zako na kaka zako wote pia Mtakufa it’s only thing that is certain hata Tundu Lissu na Maria Sarungi watakufa haitaji utabiri
 
Changamoto ni kwamba kwenye kufa, unaweza kuta unatangulia wewe, si unakumbuka walio tabiri kubwa mzee Lowasa atakufa na hafai kupewa uraisi kwani atafiia madarakani wakatangulia wao
 
Changamoto ni kwamba kwenye kufa, unaweza kuta unatangulia wewe, si unakumbuka walio tabiri kubwa mzee Lowasa atakufa na hafai kupewa uraisi kwani atafiia madarakani wakatangulia wao
Wengi hawana akili, chuki zimewatamalaki na kuwahamishia akili
 
Wewe, Mama yako, Baba yako shangazi zako , wadogo zako na kaka zako wote pia Mtakufa it’s only thing that is certain hata Tundu Lissu na Maria Sarungi watakufa haitaji utabiri

Wauwaji mngekua mnajua hayo msingekua mnaua watu, akina Soka , Chaula, Kipanya , Mdude nao wanao hao uliowataja ila hamkujali mliwaua.

Na wewe uliyekua unatamba mmemuua Rachel Dangwa hukujiuliza maswali kama hayo?

Huu utamaduni wa watu kushangilia vifo vya wauaji wa CCM mmeusababisha nyie na tutaishi nao kwa muda mrefu sana mpaka siku mkigundua maana ya utu na sio kwamba nyie peke yenu ndio mnastahili kuishi.

 
Mtu ndo katoka kwenye eda tena mbili za kufuatana; waja tayari mnamwombea kifo dah. Vibaya hivyo jamani kha! 😏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…