Mimi Nimeshajiandaa kusikia haya. Wewe je?

Comments za Sukama Gang hizo...............

Baada ya kuona mama Samia anaungwa mkono umma Wa watanzania na yule ndugu yenu mwendazake, akipopopolewa mawe kutoka kila pande!
 
Poleni sana ndugu zetu ila tunashukuru Baadhi yenu Akili zimeanza kurudi taratibu...
 
Kwani unafikiri nini chanzo cha hayo yote uliyotarajiwa kubadilika tofauti na mwanzo?
 
Punguza mihemko mkuu wakati anadanganya ulikuwepo na hukuweka ukweli hapa ili watu waone ukweli wenyewe ni upi
Mimi mkuu natembea na kauli ya Mh. Spika! Amesema wazo kabisa Rais hakushauriwa vizuri!
 
N
Hiyo #5 natamani ianze hata sasa ( leo ) kwani itasaida sana tu Kukuza Uchumi kama ikifanyika Kimkakati.
Nakuona unavyotetea biashara yako haramu, biashara inayosababisha vifo na ujambazi kuongezeka siyo?
 
Hiyo namba 5 mbona ni zaidi ugoro huku mtaani tangu kitambo mbona mzigo upo wa kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…