Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,843
- 31,057
Comments za Sukama Gang hizo...............Kutokana na kelele za walio wengi huku mitandaoni na jinsi tunavyojua kuwa Mama amekuwa ni wa kusikia sana habari za mitandaoni nategemea na binafsi nimeshajiandaa na haya machache kutokea.
1. Kuanzishwa tena kwa mradi wa bandari ya Bagamoyo ambao tunajua kuwa moja ya masharti yake ni kuwa hatutakanyaga pale kukusanya kodi kwa miaka 35.
2. Kusitishwa kwa mradi wa umeme bwawa la Rufiji ambalo lingezalisha zaidi ya Megawatts 2100.
3. Kuuzwa ama kukodishwa kwa ndege zote za ATCL
4. Mwendo wa kusua sua wa mradi wa reli mpya treni ya umeme
5. Madawa ya kulevya kuuzwa kama pipi mitaani
6. Kutokuwa na Waziri au naibu Mawaziri kutoka mikoa ya Mwanza, Shinyanga na Geita
Baada ya kuona mama Samia anaungwa mkono umma Wa watanzania na yule ndugu yenu mwendazake, akipopopolewa mawe kutoka kila pande!