Mimi nina majumba sio nyumba, ila sitaki kuyaonyesha – Steve Nyerere

Mimi nina majumba sio nyumba, ila sitaki kuyaonyesha – Steve Nyerere

Ni kweli ana majumba ila ni mapagale, hajawahi kumaliza kujenga nyumba ni kama ana kilaana fulani na anahonga sana yule mwanamke wellu
 
Kajamaa kana snura ya moja ya kiutapeli.

Hivi ana miaka mingapi?
 
Inawezekana hamkusikia vizuri, labda alitaja Majumba Sita ya Ukonga tu.
 
huyu ata kwenye kuigiza sioni anachofanya zaidi ya kupiga kelele tu
 
Back
Top Bottom