Mimi nina majumba sio nyumba, ila sitaki kuyaonyesha – Steve Nyerere

Mimi nina majumba sio nyumba, ila sitaki kuyaonyesha – Steve Nyerere

Ni kweli ana majumba ila ni mapagale, hajawahi kumaliza kujenga nyumba ni kama ana kilaana fulani na anahonga sana yule mwanamke wellu
Kumbe kweli kanakula ile bata mzinga, wakati wamajamboz c kanafichwa kabisa haka kababu
 
xSteve-Nyerere.jpg.pagespeed.ic.pWqNEXMRHA.jpg


Msanii mkongwe wa filamu Steve Nyerere amedai yeye ni mmoja kati ya wasanii ambao wanamiliki nyumba nyingi lakini hataki kuzionyesha.
Akiongea katika kipindi cha Uhondo cha EFM Jumatano hii, Steve Nyerere amedai yeye haoni ufahari wa kuonyesha mali alizonazo kama wanavyofanya baadhi baadhi ya wasanii.

“Mimi nina majumba sio nyumba ila sitaki kuonyesha instagram,” alisema Steve Nyerere. “Pia kuna nyumba kubwa ambayo ndiyo nitaamia ikiisha, kwa sasa hivi nimepanga Mkwajuni Kinondoni na naishi na familia yangu,”

Katika hatua nyingine mwigizaji huyo amewataka watanzania kuhudhuria show yake ya ‘East African STANDUP COMEDY’ ambayo itafanyika kwa mara ya kwanza Jumamosi katika hotel ya Protea jijini Dar es salaam.
Huna tofauti sana na aliesema anakunywa maji mengi mpaka kuwa mweupe
Nawe una majumba umepanga.pyuu
 
Akalipe deni lake la elfu 45 pale kwenye lile bucha la Joseph alipokopa nyama, mwezi wa tatu huu hapokei simu.
 
Back
Top Bottom