Mimi nina majumba sio nyumba, ila sitaki kuyaonyesha – Steve Nyerere

Ni kweli ana majumba ila ni mapagale, hajawahi kumaliza kujenga nyumba ni kama ana kilaana fulani na anahonga sana yule mwanamke wellu
 
Kajamaa kana snura ya moja ya kiutapeli.

Hivi ana miaka mingapi?
 
Inawezekana hamkusikia vizuri, labda alitaja Majumba Sita ya Ukonga tu.
 
Hana lolote alete uthibitisho kama ana majumba mbona kapanga?
 
huyu ata kwenye kuigiza sioni anachofanya zaidi ya kupiga kelele tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…