hubby goodafternoon! umenimith?Am watching......:ban:
Young_Master asikusumbue, ni kuku wa kuchora yule! wa kumhofia kwa sasa ni ODM tu, si unajua kanioa mke wa 3 hivi majuzi?? lol shhshshshshs tutafanya kithirithiri kha!
:busu hubby mzima weye?:nono::nono:......:A S-heart-2:...:A S kiss:.......😛eace:.....:welcome:
Hey.........!😛eep:cacico nimekumiss kila kitu aise
Shhhhh maana namuona kama Young_Master anachungulia
Asije akatutoa manundu bure
Ndo manake aise hapa napiga jaramba kupata pata joto
khaaaaaa! naja, nimevaa kanga ya 'mkwaju wako, tiba kwangu' lol! ila kimya kimya wake wenzangu wasisikie! lol, kunimith tu na kutaka nije mazima, kaazi kwel kwel!kumbe Young_Master ni joka la mdiimu
Babu hana noma huyu wajukuu zake tunaenda kucheza kombolela tuu wala sio kingine
We valia ile kanga wameandika wenye wivu wajinyonge uje pande hizi
Kopo la kombolela liko tayari hapa
khaaaaaa! naja, nimevaa kanga ya 'mkwaju wako, tiba kwangu' lol! ila kimya kimya wake wenzangu wasisikie! lol, kunimith tu na kutaka nije mazima, kaazi kwel kwel!
babu mstaarabu, hana shida. atakuadabisha polepole! lol, ila utauweza mfyonzo kama wa hubby wangu?Mwambie babu Asprini kuwa unaenda kwa mjukuuu kuna mdudu kaingia jichoni waja kumtoa
Maana naona anapandisha presha na BP na OILCOM na TOTAL kwa pamoja
Babu ODM ni mdudu tuu anakuja kunitoa bana kaingia jichoni
utaniulia mume wallah! mbona tena kwa kumtia hasira? kula vyako kimya kimya kama besta na marlow! lol! naja lakini usinijeruhi!
cacico mbona unaanza kunitisha tena sasababu mstaarabu, hana shida. atakuadabisha polepole! lol, ila utauweza mfyonzo kama wa hubby wangu?
tukutane wapi sasa?? namalizia uji wa kungu nikae sawa kwanza ndio nije! we ushapata mkuyati?? shshshshshs ODM asisikie, lol! yaani nakuja tu, ila mwenyewe hubby wangu nampenda balaa!cacico mbona unaanza kunitisha tena sasa
Mi nishajiweka tayari hapa then unaanza zako tena
We njoo bana babu nitajua namna ya kupambana nae
tukutane wapi sasa?? namalizia uji wa kungu nikae sawa kwanza ndio nije! we ushapata mkuyati?? shshshshshs ODM asisikie, lol! yaani nakuja tu, ila mwenyewe hubby wangu nampenda balaa!
hilo neno la kuhemea limenikumbusha mbali sana, sijalisikia siku nyingiiiii! lol, haya bana naja mwahhhh!
kumbe Young_Master ni joka la mdiimu
Babu hana noma huyu wajukuu zake tunaenda kucheza kombolela tuu wala sio kingine
We valia ile kanga wameandika wenye wivu wajinyonge uje pande hizi
Kopo la kombolela liko tayari hapa
hilo neno la kuhemea limenikumbusha mbali sana, sijalisikia siku nyingiiiii! lol, haya bana naja mwahhhh!
tobaaaaaaa Yummy naye ushacheza naye kombolela?? nasikia harufu ya damu kwa mbaali!
Young_Master asikusumbue, ni kuku wa kuchora yule! wa kumhofia kwa sasa ni ODM tu, si unajua kanioa mke wa 3 hivi majuzi?? lol shhshshshshs tutafanya kithirithiri kha!