HALELUYA MOSHI
JF-Expert Member
- Aug 14, 2014
- 2,121
- 1,204
Weka ya kwako hatutaki ya urithi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeMm tubeti na degree yako ya duce, mkifungwa uikane degree yako..
namna hiyo.....................Natangaza kubet nyumba ya urithi.. iwapo hapo jpili tutafungwa na hao kina bocco
..na kwanza naskia bocco hachezi hiyo jpili... ni aibu kubwa sisi wa kimataifa kufungwa na simba au mbumbumbu.. mwenye dau tuweke hapa!!!!!
Mwisho ndugu zake wakuroge.mali ya mgogoro hiyo
haha muweke tuu nilikuwa namtafuta sanaMimi namuweka rehani mchepuko wangu Wakimataifa tukifungwa na Bi Hindu Fc
kuna familia kila mtoto kajengewa nyumba yake au unakaa Tandika???mali ya mgogoro hiyo
mwenyewe amekubali ni ya kuchangia, nashangaa unamteteakuna familia kila mtoto kajengewa nyumba yake au unakaa Tandika???
HAHAHAHAHAAAAAAA UNATAFUTA WATU UBAYA AISEENatangaza kubet nyumba ya urithi.. iwapo hapo jpili tutafungwa na hao kina bocco
..na kwanza naskia bocco hachezi hiyo jpili... ni aibu kubwa sisi wa kimataifa kufungwa na simba au mbumbumbu.. mwenye dau tuweke hapa!!!!!
Kwann mzeebabaHAHAHAHAHAAAAAAA UNATAFUTA WATU UBAYA AISEE
😂 fala kweli ww..Weka mkeo tumle kirahisi
ingekuwa ya wengi anatoa wapi mandate ya kuiweka rehani..Rage njoo uchukuwe watu wako huku...mwenyewe amekubali ni ya kuchangia, nashangaa unamtetea
Haha mkuu unataka pesa??Weka hela kesh acha habari ya nyumba za migogoro. kesh money weka hapa tukuonyeshe sis kina nani mabingwa wa afrika mashariki
mkuu 😬😬ingekuwa ya wengi anatoa wapi mandate ya kuiweka rehani..Rage njoo uchukuwe watu wako huku...
weka pesa baba tuwaonyesheHaha mkuu unataka pesa??
Unao moyo wa chuma aisee, nyumba yenyewe ya kurithi, papo hapo unaiweka rehani. Afadhali ujenge yako halafu ndio uiweke rehani.Natangaza kubet nyumba ya urithi.. iwapo hapo jpili tutafungwa na hao kina bocco
..na kwanza naskia bocco hachezi hiyo jpili... ni aibu kubwa sisi wa kimataifa kufungwa na simba au mbumbumbu.. mwenye dau tuweke hapa!!!!!