Mimi pancho. Natangaza kuweka dau ya urithi iwapo yanga tutafungwa na simba sc

Mimi pancho. Natangaza kuweka dau ya urithi iwapo yanga tutafungwa na simba sc

Usijali yule shaidi wa yehova,Hana uwezo wa kupanga kikosi cha kuifunga young African,kidevu kama ma***i ya kwapa na kama utaweka mzigo kama huo we jpili ni tajiri
 
Weka hela kesh acha habari ya nyumba za migogoro. kesh money weka hapa tukuonyeshe sis kina nani mabingwa wa afrika mashariki
 
Natangaza kubet nyumba ya urithi.. iwapo hapo jpili tutafungwa na hao kina bocco
..na kwanza naskia bocco hachezi hiyo jpili... ni aibu kubwa sisi wa kimataifa kufungwa na simba au mbumbumbu.. mwenye dau tuweke hapa!!!!!
HAHAHAHAHAAAAAAA UNATAFUTA WATU UBAYA AISEE
 
Natangaza kubet nyumba ya urithi.. iwapo hapo jpili tutafungwa na hao kina bocco
..na kwanza naskia bocco hachezi hiyo jpili... ni aibu kubwa sisi wa kimataifa kufungwa na simba au mbumbumbu.. mwenye dau tuweke hapa!!!!!
Unao moyo wa chuma aisee, nyumba yenyewe ya kurithi, papo hapo unaiweka rehani. Afadhali ujenge yako halafu ndio uiweke rehani.

Watu wengine mnajitafutia laana na umasikini.

Vv
 
Back
Top Bottom