Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
- Thread starter
- #161
karibu!Hakuna uteuzi, haya ukazikiri uchi, hakuna
P
karibu!Hakuna uteuzi, haya ukazikiri uchi, hakuna
KaribuDu! Hadi leo Shetani wa kijani hajakuona!! Utaangaika sana. Ushauri wa bure. Jipendekeze kwa Abdul angalau upewe hata kawilaya kama Tandahimba
Lets be realistic, bunduki alishika yeye na kufyatua risasi zilizo ua?.Mtu aliyeua watu, thousands , hata akafanya lolote, it all goes to the trush!
wewe wasema.Lets be realistic, bunduki alishika yeye na kufyatua risasi zilizo ua?.
P
Hii ya wewe wasema, ni kauli ya Yesu, na iliwahi kuniponza nikaitwa hadi Bungeni Dodoma kuhojiwa na kamati ya Bunge kwa hoja ya kusema kitu fulani, wakati in reality sikusema, bali nimeulizawewe wasema.
"vicarious" liability as commander in chief. if not the case she is obliged to identify the culpritsHii ya wewe wasema, ni kauli ya Yesu, na iliwahi kuniponza nikaitwa hadi Bungeni Dodoma kuhojiwa na kamati ya Bunge kwa hoja ya kusema kitu fulani, wakati in reality sikusema, bali nimeuliza
Lets be realistic, bunduki alishika yeye na kufyatua risasi zilizo ua?.
The Voices From Within:Kilichotokea Oct. 29 Japo Anayeonekana ni Yeye Kumbe Si Yeye Kuna Watu Hawakutimiza Wajibu Wao Ndio Wamemponza, Tumsamehe Tuu?
P
Naunga mkono hoja."vicarious" liability as commander in chief. if not the case she is obliged to identify the culprits
nimesoma sheria just kuelewa mambo, sikutaka kudanganywa. I do not practice.....najua hiyo principle inatumika zaidi kwenye civil cases, but can be translated/borrowed to cater for same scenarios in criminal situations to those in power if they fail to control their juniors
Kwa mujibu wa katiba yetu, rais wetu ni rais mtendaji, hivyo kila kitu kinachofanywa na watumishi wa umma, ni wanafanya kwa niaba ya rais.nimesoma sheria just kuelewa mambo, sikutaka kudanganywa. I do not practice.....najua hiyo principle inatumika zaidi kwenye civil cases, but can be translated/borrowed to cater for same scenarios in criminal situations to those in power if they fail to control their juniors