Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Wanabodi
Japo Kuna Wengi Wanapenda Uteuzi, Lakini Kuna Watu wa Ajabu!, Hawataki Kabisa Uteuzi wala Kazi za Malipo Manene!.
Kuteuliwa wadhifa wowote na rais wa JMT ni heshima kubwa, hivyo wateuliwa hufurahi kuheshimishwa, hivyo kuna wengi wanautamani sana u DC, U DAS, DED RC etc, amini usiamini, kuna watu fulani ambao hawazimikii kabisa uteuzi wowote wa ubwete!, au kazi za malipo manene!. Watu hao sio tuu ni wazuri at what they do, but they love what they do, and they are the best at what they do, ukiwateua watu hawa na kuwa u DC, japo u DC ni cheo kikubwa, lakini uki compare watakacho fanya kwenye U DC compared to what they do, it's a waste!. Just imagine unamchukua mtu kama Profesa wa Chuo Kikuu kama Prof. Shivji, ateuliwe DC!.
Wasalaam.
Paskali.
Karibu!.Kaka yangu Mayalla,
ndiyo maana hata ujipendekeze vipi hawakupi uteuzi.
Wanabodi
Declaration of Interest: Pascal Mayalla. hahitaji uteuzi wowote wa hisani wa rais kuwa DC, DED, RAS, RC, JAJI, or anybody!.
Japo Kuna Wengi Wanapenda Uteuzi, Lakini Kuna Watu wa Ajabu!, Hawataki Kabisa Uteuzi wala Kazi za Malipo Manene!.
- Pascal Mayalla ni Mtanzania, anayekidhi sifa na vigezo vya kuteuliwa na rais kushika wadhifa wowote kama U DC!. Siku zote nimekuwa nikisema sihitaji uteuzi, ila kuna mwana jf mmoja akauliza kama ikitokea ghafla mara pap... Pascal Mayalla umeteuliwa DC, Je Utakataa?. Nilishindwa kujibu!, Ukiteuliwa ukikataa utaonekana ni mtovu wa nidhamu!. Ili kuzuia utovu wa nidhamu, ni vizuri uki declare interest wazi, openly na publically, Pascal Mayalla hahitaji uteuzi wa kuwa DC!.
- Kwenye uteuzi wa Majaji wapya, mmoja wa majaji wapya ni mwandishi wa habari binti, tulimpokea pale RTD, tukamfundisha kazi, akaenda kusoma sheria, akawa wakili wa kujitegemea juzi kateuliwa Jaji. Mimi pia nimesoma sheria, tena LL.B yangu ni LL.B (HONS) ya UDSM, hivyo ninakidhi sifa na vigezo vya kuteuliwa kuwa Jaji, lakini naomba kukiri, siwezi kumhukumu mtu kifo, hivyo siwezi kuwa Jaji na naomba nisiteuliwe kuwa Jaji!.
Kuteuliwa wadhifa wowote na rais wa JMT ni heshima kubwa, hivyo wateuliwa hufurahi kuheshimishwa, hivyo kuna wengi wanautamani sana u DC, U DAS, DED RC etc, amini usiamini, kuna watu fulani ambao hawazimikii kabisa uteuzi wowote wa ubwete!, au kazi za malipo manene!. Watu hao sio tuu ni wazuri at what they do, but they love what they do, and they are the best at what they do, ukiwateua watu hawa na kuwa u DC, japo u DC ni cheo kikubwa, lakini uki compare watakacho fanya kwenye U DC compared to what they do, it's a waste!. Just imagine unamchukua mtu kama Profesa wa Chuo Kikuu kama Prof. Shivji, ateuliwe DC!.
Wasalaam.
Paskali.
Mkuu mrangi , naomba nikuite Shemeji, maana mimi nimeishi Kondoa Irangi, na si unajua tena zile rangi za dada zako kwa sisi chapa ng'ombe, ka copy kapo!.Mayalla hawezi kupewa nafasi yyt serikalini,kuna pini alipigwagwa ukweli anaujuwa mwenyewe 😄
Ova
Mayalla huu urangi wala usikutishe,boshen tuMkuu mrangi , naomba nikuite Shemeji, maana mimi nimeishi Kondoa Irangi, na si unajua tena zile rangi za dada zako kwa sisi chapa ng'ombe, ka copy kapo!.
P
Ukiisha taja tuu mafleti, mimi ni heshima na adabu!.Mayalla huu urangi wala usikutishe,boshen tu
We msukuma mwenzangu mbona 😄
We nakuita sjui kaka ila kwa historia yk pale drive in lazima nkutanie vya kutosha,
Unaweza ukamjuwa mtu alafu yeye hakujuwi mpaka labda mgumiane
Ova
😄Ukiisha taja tuu mafleti, mimi ni heshima na adabu!.
P
Wanabodi
Declaration of Interest: Pascal Mayalla. hahitaji uteuzi wowote wa hisani wa rais kuwa DC, DED, RAS, RC, JAJI, or anybody!.
ila jinsi JF mnavyokera kwa na declare interest publically kuwa Mimi Pascal Mayalla, sihitaji uteuzi wowote licha
Japo Kuna Wengi Wanapenda Uteuzi, Lakini Kuna Watu wa Ajabu!, Hawataki Kabisa Uteuzi wala Kazi za Malipo Manene!.
- Pascal Mayalla ni Mtanzania, anayekidhi sifa na vigezo vya kuteuliwa na rais kushika wadhifa wowote kama U DC!. Siku zote nimekuwa nikisema sihitaji uteuzi, ila kuna mwana jf mmoja akauliza kama ikitokea ghafla mara pap... Pascal Mayalla umeteuliwa DC, Jee Utakataa?. Nilishindwa kujibu!, Ukiteuliwa ukikataa utaonekana ni mtovu wa nidhamu!. Ili kuzuia utovu wa nidhamu, ni vizuri uki declare interest wazi, openly na publically, Pascal Mayalla hahitaji uteuzi wa kuwa DC!.
- Kwenye uteuzi wa Majaji wapya, mmoja wa majaji wapya ni mwandishi wa habari binti, tulimpokea pale RTD, tukamfundisha kazi, akaenda kusoma sheria, akawa wakili wa kujitegemea juzi kateuliwa Jaji. Mimi pia nimesoma sheria, tena LL.B yangu ni LL.B (HONS) ya UDSM, hivyo ninakidhi sifa na vigezo vya kuteuliwa kuwa Jaji, lakini naomba kukiri, siwezi kumhukumu mtu kifo, hivyo siwezi kuwa Jaji na naomba nisiteuliwe kuwa Jaji!.
Kuteuliwa wadhifa wowote na rais wa JMT ni heshima kubwa, hivyo wateuliwa hufurahi kuheshimishwa, hivyo kuna wengi wanautamani sana kuteuliwa u DC, U DAS, DED RC etc, amini usiamini, kuna watu fulani ambao hawazimikii kabisa uteuzi wowote wa ubwete!, au kazi za malipo manene!. Watu hao sio tuu ni wazuri at what they do, but they love what they do, and they are the best at what they do, ukiwateua watu hawa na kuwa u DC, japo u DC ni cheo kikubwa, lakini uki compare watakacho fanya kwenye U DC compared to what they do, it's a waste!. Just imagine unamchukua mtu kama Profesa wa Chuo Kikuu kama Prof. Shivji, ateuliwe DC!.
Mimi najiona hii kazi ya uandishi wa habari na utangazaji ninayoifanya, inalisaidia zaidi taifa kuliko kuwa DC
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=tLeya7dY8wCvpLM6
Wasalaam.
Paskali.
Huyu mzee ni msaka fursa, na anachokipambania hajapata mpaka leo.
Kujitoa kote akili na bado uteuzi hapewi..! Mtu mzima hovyoo
Mzee akubali tu kua teuzi zilishapita kushoto
Bi msumi amuone huruma ampe hata u DC
Huyu jamaa apewe uteuzi apumzike maana kadri umri unavyoongezeka na hapati teuzi anazidi kua mjinga.
Huenda kuna kitu anakitamani akipate, akikaa kimya atasahaulika na hatakipata
Wakuu makaveli10 , ephen_ , Ubaya Ubwela , feyzal, Sozo_, Andromeda Galaxy na Mtili wanduNjaaa mbaya mzee P anapambania uteuzi.
Halikunipita mkuu, unatuchanganya sana, tumeanza kufikiri ulichosema sicho unachomaanishaWakuu makaveli10 , ephen_ , Ubaya Ubwela , feyzal na Sozo_
JF ni kubwa sana, hili bandiko litakuwa limewapita!.
Karibuni.
P
P
Muda ni jibu sahihi kwa kila jamboWakuu makaveli10 , ephen_ , Ubaya Ubwela , feyzal na Sozo_
JF ni kubwa sana, hili bandiko litakuwa limewapita!.
Karibuni.
P
P
The OG podcast ni 60 min!.Halikunipita mkuu, unatuchanganya sana, tumeanza kufikiri ulichosema sicho unachomaanisha
Wanabodi
Declaration of Interest: Pascal Mayalla. hahitaji uteuzi wowote wa hisani wa rais kuwa DC, DED, RAS, RC, JAJI, or anybody!.
ila jinsi JF mnavyokera kwa na declare interest publically kuwa Mimi Pascal Mayalla, sihitaji uteuzi wowote licha
Japo Kuna Wengi Wanapenda Uteuzi, Lakini Kuna Watu wa Ajabu!, Hawataki Kabisa Uteuzi wala Kazi za Malipo Manene!.
- Pascal Mayalla ni Mtanzania, anayekidhi sifa na vigezo vya kuteuliwa na rais kushika wadhifa wowote kama U DC!. Siku zote nimekuwa nikisema sihitaji uteuzi, ila kuna mwana jf mmoja akauliza kama ikitokea ghafla mara pap... Pascal Mayalla umeteuliwa DC, Jee Utakataa?. Nilishindwa kujibu!, Ukiteuliwa ukikataa utaonekana ni mtovu wa nidhamu!. Ili kuzuia utovu wa nidhamu, ni vizuri uki declare interest wazi, openly na publically, Pascal Mayalla hahitaji uteuzi wa kuwa DC!.
- Kwenye uteuzi wa Majaji wapya, mmoja wa majaji wapya ni mwandishi wa habari binti, tulimpokea pale RTD, tukamfundisha kazi, akaenda kusoma sheria, akawa wakili wa kujitegemea juzi kateuliwa Jaji. Mimi pia nimesoma sheria, tena LL.B yangu ni LL.B (HONS) ya UDSM, hivyo ninakidhi sifa na vigezo vya kuteuliwa kuwa Jaji, lakini naomba kukiri, siwezi kumhukumu mtu kifo, hivyo siwezi kuwa Jaji na naomba nisiteuliwe kuwa Jaji!.
Kuteuliwa wadhifa wowote na rais wa JMT ni heshima kubwa, hivyo wateuliwa hufurahi kuheshimishwa, hivyo kuna wengi wanautamani sana kuteuliwa u DC, U DAS, DED RC etc, amini usiamini, kuna watu fulani ambao hawazimikii kabisa uteuzi wowote wa ubwete!, au kazi za malipo manene!. Watu hao sio tuu ni wazuri at what they do, but they love what they do, and they are the best at what they do, ukiwateua watu hawa na kuwa u DC, japo u DC ni cheo kikubwa, lakini uki compare watakacho fanya kwenye U DC compared to what they do, it's a waste!. Just imagine unamchukua mtu kama Profesa wa Chuo Kikuu kama Prof. Shivji, ateuliwe DC!.
Mimi najiona hii kazi ya uandishi wa habari na utangazaji ninayoifanya, inalisaidia zaidi taifa kuliko kuwa DC
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=tLeya7dY8wCvpLM6
Wasalaam.
Paskali.
Mkuu Ambition plus , JF ni kubwa sana, hili bandiko wewe litakuwa limekupita!.unautaka uteuzi?
Usomi alama za nyakati?
Ccm haina miaka 10 mbele, kataa kubali ni jambo la mda tu, watatumia kila njia
Wanabodi
Kwa Maslahi ya Taifa kwenye gazeti la Nipashe la leo.
Kufuatia kuibuka kwa kada mpya ya ajira ya uchawa, ambayo nasikia inalipa sana, kila mtu akisifia tuu uongozi au kiongozi anaitwa chawa na kunyooshewa kidole kuwa ananyemelea teuzi!.
Declaration of Interest: Pascal Mayalla. hahitaji uteuzi wowote wa hisani wa rais kuwa DC, DED, RAS, RC, JAJI, or anybody!.
Na declare interest publically kuwa Mimi Pascal Mayalla, nikipongeza, ni nina pongeza kwa dhati na sihitaji uteuzi wowote licha
Japo Kuna Wengi Wanapenda Uteuzi, Lakini Kuna Watu wa Ajabu!, Hawataki Kabisa Uteuzi wala Kazi za Malipo Manene!.
- Pascal Mayalla ni Mtanzania, anayekidhi sifa na vigezo kuteuliwa, Ukiteuliwa ukikataa utaonekana ni mtovu wa nidhamu!. Ili kuzuia utovu wa nidhamu, ni vizuri uki declare interest waziwazi, openly na publicly, Pascal Mayalla hahitaji uteuzi wowote.
Kuteuliwa wadhifa wowote na rais wa JMT ni heshima kubwa, hivyo wateuliwa hufurahi kuheshimishwa, hivyo kuna wengi wanautamani sana u DC, U DAS, DED RC etc, amini usiamini, kuna watu fulani ambao hawazimikii kabisa uteuzi wowote wa ubwete!, au kazi za malipo manene!. Watu hao sio tuu ni wazuri at what they do, but they love what they do, and they are the best at what they do, ukiwateua watu hawa na kuwa u DC, japo u DC ni cheo kikubwa, lakini uki compare watakacho fanya kwenye U DC compared to what they do, it's a waste!. Just imagine unamchukua mtu kama Profesa wa Chuo Kikuu kama Prof. Shivji, ateuliwe DC!.
Wasalaam.
Paskali.
Mkuu Chibe, Chibike, karibu pande hizi, inaonekana hili bandiko lilikupita, kunitukana mimi tusi la K, sio kunitendea haki, mtukane mwanaume tusi la kiungo chake, hicho kiungo cha K kwa mwanamke ni kiungo kitakatifu sana, ule uwezo wetu sisi binadamu wa Uungu wa kuumba viumbe wengine, uko kwenye kiungo hicho, ndicho kiungo cha kupitishia uumbaji na ndio mlango wa viumbe wote kuja duniani, hivyo kiheshimu sana kiungo hicho, na kila ukikitaja, mkumbuke mama yako, au wewe mwenzetu mama yako alikueleza kuwa ulitungiwa uani, ukabebewa uani, kisha ukaletwa duniani kupitia njia hii uliyoitaja hapaNilisema huyu K..ah hawez kupata teuzi hata atembee uchi dar nzima...
Hii ndio njia wewe mwenzetu uliyopitia?.Kampanulie ****** then umpe
Walioandamana oktoba 29 na 30 ilikua jambo jema kuuawawa si ndio ..*** youMkuu Chibe, Chibike, karibu pande hizi, inaonekana hili bandiko lilikupita, kunitukana mimi tusi la K, sio kunitendea haki, mtukane mwanaume tusi la kiungo chake, hicho kiungo cha K kwa mwanamke ni kiungo kitakatifu sana, ule uwezo wetu sisi binadamu wa Uungu wa kuumba viumbe wengine, uko kwenye kiungo hicho, ndicho kiungo cha kupitishia uumbaji na ndio mlango wa viumbe wote kuja duniani, hivyo kiheshimu sana kiungo hicho, na kila ukikitaja, mkumbuke mama yako, au wewe mwenzetu mama yako alikueleza kuwa ulitungiwa uani, ukabebewa uani, kisha ukaletwa duniani kupitia njia hii uliyoitaja hapa
Hii ndio njia wewe mwenzetu uliyopitia?.
Natamani sana ile jf ya zamani irudi, ukipost tuu tusi, linaingia vi nyota nyota, na kupumzishwa wiki moja, ukirudia mara ya pili, unapumzishwa mwezi, ukirudia mara ya tatu, unaaga jukwaa, ip adress yako inakuwa blocked!, ilikuwa ni jf ya heshima na adabu!.
P
Ubarikiwe sana.Walioandamana oktoba 29 na 30 ilikua jambo jema kuuawawa si ndio ..*** you
Na wewe pia kumanyoko. Unajua waliuawawa watu wangapi wewe. Go to hellUbarikiwe sana.
P