Mimi Pascal Mayalla Sipongezi Kutafuta Uteuzi Wowote!. Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine Kumtia Moyo Kwa Mazuri ya Kweli!

Mkuu Kioo, mirror01, karibu mitaa hii!
P
Mda sio upande wako mkuu Pascal Mayalla chaguzi ni next year 2025,mikeka tayari imeanza kusuasua....huna budi nilazima uwe mkali kwa kila uongozi wa lichama lako in short umepata kiwewe hujiwi nini kitatokea...mada yako kwa sasa ipo very irrelevant the timing is so poor baada yakungojea meli JNIA kwa mda mrefu umeamua kupata cheap popularity.Mkuu umekata pumzi nivema upumzike tuu usiwe kama wakina Prof Lipumba
 
JF was meant for GTs, my gt wote humu wananielewa na kunifahamu kuwa sijawahi kufyata, na wala sikujikomba bali nilijiunga rasmi na JPM ili kumsaidia, na nilitangaza humu rasmi kujiunga nae, Elections 2015 - If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him! na kiukweli, nilimsaidia sana tu Blaza.

Kwenye fani yetu ya habari, tunafundishwa kuwa majasiri, brave and fearless, but when you reach a point life threatening situation and your facing choosing between bravery to death na kuitwa shujaa or retreat and surrender and survival na kuitwa umefyata, mimi nilichagua the survival path, kama unaamini ile Kawe project niliopata kura moja, nilidhamiria, ni nilivuna nilicho panda, then watch me now in Eala ambayo sasa ndio nimedhamiria kiukweli kweli.

Kama nilivyomsaidia sana JPM, watu waliomzunguka hawana uwezo wa kumsaidia kwenye areas za beyond the paranormal kama eneo karma, na matokeo ndio yale, karma imekula kichwa!. Huyu Mama anahitaji kusaidiwa maeneo hayo, thanks God ni mcha Mungu, mtenda mema na mtenda haki, hivyo there is no life threatening bad karmic creations, msaada mkubwa kwa mama, ni kumsaidia afike salama 2025 October, by July 2025 atasema mwenyewe kitu!.

Tunamsaidia na kwenye Eala nia ni kwenda kulisaidia taifa.
P
Pascal Mayalla , acheni kuvishana nyota zakipumbavu hakuna cha great thinker hapa JF ...Kwanza wewe ungekuwa mtu great ungeongea na kupinga vehemently kupigwa risasi kwa Mh Lissu hata kuungana na media fraternity especially kwenye investigative journalism ili mujuwe Nani alikuwa behind that salvagelish & brutal attack ambaye prime suspect alikuwa Jiwe ..kwasababu ya woga ulienda Kawe ili ukamfurahishe what ashame shetani hana lafiki walikukata.Leo umeona mama amekunyima tonge umeamua kuanza kubwekabweka...wewe huna tofauti na huyu kichaa Lucas mwashambwa aka Mwasambwanda.
 
Wanabodi
Kwa Maslahi ya Taifa ya Leo
View attachment 2316635View attachment 2316636
Wana JF Wenzangu, hebu tuacheni ushamba!, Media kumpongeza Rais kwa kazi nzuri na kufanya vema, sio kujipendekeza au kujikombakomba kunyemelea uteuzi!, rais wetu pia ni binadamu kama binadamu mwingine yeyote, akifanya vema, anastahili pongezi as encouragement, aendelee kufanya mazuri zaidi na zaidi, lakini baadhi ya watu humu kiukweli mnakera, sisi watu wa media, kila tukimpongeza rais kwa kufanya vema au mazuri yoyote, mnatuzodoa na kutunyooshea vidole kuwa pongezi hizo ni pongezi za kinafki kujipendekeza tuu ili kusaka uteuzi!.

Tangu rais Samia ameingia madarakani amefanya mengi makubwa mazuri ya kustahili sifa na pongezi za dhati, lakini pia Rais Samia sio malaika, hivyo anaweza kukosea na tutamkosoa!. Hivyo katika mazuri, nami nimempongeza kwa mengi, lakini nakereka kila nikipongeza nabezwa kuwa nafukuzia uteuzi!, hivi watu mnaona pongezi tuu?, critics hamzioni?.

Jana Rais Samia kateua majaji wapya 22 wa mahakama Kuu, katika uteuzi huo majaji 11 ni Wanawake na 11 ni wanaume, nikapandisha bandiko la pongezi Kuelekea Usawa wa Kijinsia: Kumbe 50/50 Inawezekana!, Wanawake Hao wa 50/50 Wapo!. Hongera Sana Rais Samia Kwa Kuonyesha Njia! Je 2025 Tuwaonyeshe?
wale wazodoaji wakaniibukia eti ni bandiko la kujipendekeza, eti kwa vile sifa za kuwa jaji ni kuwa na LL.B, na mimi ninayo, sasa naupumulia u Jaji!. Acheni hizo!.

Haya sasa Mungu bariki, mimi niko Mbeya, kwenye maonyesho ya Nane Nane nikifanya Vipindi vyangu vya Nane Nane na PPR, na rais yuko Mbeya, ndiye mgeni Rasmi kwenye kilele cha Nane Nane, hivyo kesho ndio itakuwa mara yangu ya kwanza kukutana na Rais Samia face to face, tangu Mungu alipomteua kuwa rais wetu, hivyo ikitokea katika pita pita za mabandani. ikitokea akapita karibu yangu, nitamsalimia kwa sauti kubwa tuu na atasikia, sijui kama atajibu, shikamoo yangu...

Declaration of Interest: Pascal Mayalla. hahitaji uteuzi wowote wa hisani wa rais kuwa DC, DED, RAS, RC, JAJI, or anybody!.
na ku declare interest publically kuwa Mimi Pascal Mayalla, nikipongeza, ni nina pongeza kwa dhati na sihitaji uteuzi wowote
Paskali.
Mayalla Mayalla,
Uteuzi haukuhusu tena jamaa yangu,tulia tu sasa.
Karibu!
P
 
Wanabodi
Kwa Maslahi ya Taifa kwenye gazeti la Nipashe la leo.
Kufuatia kuibuka kwa kada mpya ya ajira ya uchawa, ambayo nasikia inalipa sana, kila mtu akisifia tuu uongozi au kiongozi anaitwa chawa na kunyooshewa kidole kuwa ananyemelea teuzi!.
View attachment 2316635View attachment 2316636
Wana JF Wenzangu, hebu tuacheni ushamba!, Media kumpongeza Rais kwa kazi nzuri na kufanya vema, sio kujipendekeza au kujikombakomba kunyemelea uteuzi!, rais wetu pia ni binadamu kama binadamu mwingine yeyote, akifanya vema, anastahili pongezi as encouragement, aendelee kufanya mazuri zaidi na zaidi, lakini baadhi ya watu humu kiukweli mnakera, sisi watu wa media, kila tukimpongeza rais kwa kufanya vema au mazuri yoyote, mnatuzodoa na kutunyooshea vidole kuwa pongezi hizo ni pongezi za kinafki kujipendekeza tuu ili kusaka uteuzi!.

Tangu rais Samia ameingia madarakani amefanya mengi makubwa mazuri ya kustahili sifa na pongezi za dhati, lakini pia Rais Samia sio malaika, hivyo anaweza kukosea na tutamkosoa!. Hivyo katika mazuri, nami nimempongeza kwa mengi, lakini nakereka kila nikipongeza nabezwa kuwa nafukuzia uteuzi!, hivi watu mnaona pongezi tuu?, critics hamzioni?.
Wasalaam.

Paskali.
Bahati mbaya ni kuwa, gundu kama la mzee wetu ndugu Pascal Mayalla ambaye pamoja na kufanya kila awezalo kuwapa promo mafia au ma - godfather wa CCM, bahati ya uteuzi haijawahi kuwaangukia..
karibu。
P
 
Kwahiyo Mkuu ulipomwambia Speaker Tulia ,endapo akiona jina lako alisogeze sogeze ulimaanisha nini ikiwa sio uteuzi?.

Kuhusu talanta umefanya Kazi nzuri Sana Ila hapa katika since 2016 kuna namna ulivurugika .

Nafikiri unahitaji kufanyiwa reform na ikiwezekana wakufanyie vetting na wakupe huo uteuzi.
 
Wanabodi
Kwa Maslahi ya Taifa kwenye gazeti la Nipashe la leo.
Kufuatia kuibuka kwa kada mpya ya ajira ya uchawa, ambayo nasikia inalipa sana, kila mtu akisifia tuu uongozi au kiongozi anaitwa chawa na kunyooshewa kidole kuwa ananyemelea teuzi!.
View attachment 2316635View attachment 2316636
Wana JF Wenzangu, hebu tuacheni ushamba!, Media kumpongeza Rais kwa kazi nzuri na kufanya vema, sio kujipendekeza au kujikombakomba kunyemelea uteuzi!, rais wetu pia ni binadamu kama binadamu mwingine yeyote, akifanya vema, anastahili pongezi as encouragement, aendelee kufanya mazuri zaidi na zaidi, lakini baadhi ya watu humu kiukweli mnakera, sisi watu wa media, kila tukimpongeza rais kwa kufanya vema au mazuri yoyote, mnatuzodoa na kutunyooshea vidole kuwa pongezi hizo ni pongezi za kinafki kujipendekeza tuu ili kusaka uteuzi!.

Tangu rais Samia ameingia madarakani amefanya mengi makubwa mazuri ya kustahili sifa na pongezi za dhati, lakini pia Rais Samia sio malaika, hivyo anaweza kukosea na tutamkosoa!. Hivyo katika mazuri, nami nimempongeza kwa mengi, lakini nakereka kila nikipongeza nabezwa kuwa nafukuzia uteuzi!, hivi watu mnaona pongezi tuu?, critics hamzioni?.

Jana Rais Samia kateua majaji wapya 22 wa mahakama Kuu, katika uteuzi huo majaji 11 ni Wanawake na 11 ni wanaume, nikapandisha bandiko la pongezi Kuelekea Usawa wa Kijinsia: Kumbe 50/50 Inawezekana!, Wanawake Hao wa 50/50 Wapo!. Hongera Sana Rais Samia Kwa Kuonyesha Njia! Je 2025 Tuwaonyeshe?
wale wazodoaji wakaniibukia eti ni bandiko la kujipendekeza, eti kwa vile sifa za kuwa jaji ni kuwa na LL.B, na mimi ninayo, sasa naupumulia u Jaji!. Acheni hizo!.

Haya sasa Mungu bariki, mimi niko Mbeya, kwenye maonyesho ya Nane Nane nikifanya Vipindi vyangu vya Nane Nane na PPR, na rais yuko Mbeya, ndiye mgeni Rasmi kwenye kilele cha Nane Nane, hivyo kesho ndio itakuwa mara yangu ya kwanza kukutana na Rais Samia face to face, tangu Mungu alipomteua kuwa rais wetu, hivyo ikitokea katika pita pita za mabandani. ikitokea akapita karibu yangu, nitamsalimia kwa sauti kubwa tuu na atasikia, sijui kama atajibu, shikamoo yangu...

Declaration of Interest: Pascal Mayalla. hahitaji uteuzi wowote wa hisani wa rais kuwa DC, DED, RAS, RC, JAJI, or anybody!.
ila nikipata fursa ya kumsalimu kwa karibu, nitampa ukweli huu wa jinsi JF mnavyokera kwa kumweleza wazi kuwa pongezi zetu kwake kwa sisi baadhi yetu, ni pongezi bonafide genuine, kumpongeza kwa dhati kabisa kwa mazuri anayolifanyia taifa letu na ku declare interest publically kuwa Mimi Pascal Mayalla, nikipongeza, ni nina pongeza kwa dhati na sihitaji uteuzi wowote licha
  1. Pascal Mayalla ni Mtanzania, anayekidhi sifa na vigezo vya kuteuliwa na rais kushika wadhifa wowote kama U DC!. Siku zote nimekuwa nikisema sihitaji uteuzi, ila kuna mwana jf mmoja akauliza kama ikitokea ghafla mara pap... Pascal Mayalla umeteuliwa DC, Jee Utakataa?. Nilishindwa kujibu!, Ukiteuliwa ukikataa utaonekana ni mtovu wa nidhamu!. Ili kuzuia utovu wa nidhamu, ni vizuri uki declare interest wazi, openly na publically, Pascal Mayalla hahitaji uteuzi wa kuwa DC!.
  2. Kwenye uteuzi wa Majaji wapya, mmoja wa majaji wapya ni mwandishi wa habari binti, tulimpokea pale RTD, tukamfundisha kazi, akaenda kusoma sheria, akawa wakili wa kujitegemea juzi kateuliwa Jaji. Mimi pia nimesoma sheria, tena LL.B yangu ni LL.B (HONS) ya UDSM, hivyo ninakidhi sifa na vigezo vya kuteuliwa kuwa Jaji, lakini naomba kukiri, siwezi kumhukumu mtu kifo, hivyo siwezi kuwa Jaji na naomba nisiteuliwe kuwa Jaji!.
Japo Kuna Wengi Wanapenda Uteuzi, Lakini Kuna Watu wa Ajabu!, Hawataki Kabisa Uteuzi wala Kazi za Malipo Manene!.
Kuteuliwa wadhifa wowote na rais wa JMT ni heshima kubwa, hivyo wateuliwa hufurahi kuheshimishwa, hivyo kuna wengi wanautamani sana u DC, U DAS, DED RC etc, amini usiamini, kuna watu fulani ambao hawazimikii kabisa uteuzi wowote wa ubwete!, au kazi za malipo manene!. Watu hao sio tuu ni wazuri at what they do, but they love what they do, and they are the best at what they do, ukiwateua watu hawa na kuwa u DC, japo u DC ni cheo kikubwa, lakini uki compare watakacho fanya kwenye U DC compared to what they do, it's a waste!. Just imagine unamchukua mtu kama Profesa wa Chuo Kikuu kama Prof. Shivji, ateuliwe DC!.

Mimi ni mtu wa mastory mastory, wale wa mastory, tuendelee, wale wa short and clear, nenda mwisho.

Rais wetu Mama Samia, ameonyesha kwa kauli, maneno na matendo kuwa yeye ni mtu msikivu, na kuna mazuri mengi ameyafanya na anaendelea kuyafanya, yanayostahili pongezi. Sisi watu wa media, tukiandika jambo lolote zuri kumpongeza rais Samia kwa mazuri yake, tunanyooshewa vidole kuwa tunanyemelea uteuzi wa UDC, U RC au Ukurugenzi yaani U RAS au U DAS!. Kwa vile mimi ni Mtanzania na nina sifa za kustahili kuteuliwa nafasi yoyote ya uteuzi, kwa sababu ni haki yangu, kama Mtanzania, naomba ku declare publically kuwa mimi Pascal Mayalla, sipongezi kwa kutafuta uteuzi wowote wa u DC au u RC au Ukurugenzi, au uteuzi wowote wa Mama!.

Na kwa vile mimi niko Mbeya kwenye Nane Nane, na Mama Samia pia yuko Mbeya kuja kufunga Nane Nane, hapo kesho, ikitokea nikakutana na Mama Samia kesho kwenye Nane Nane,
Simulation ya encounter ya Pasco na Mama Samia
PM:“Sjikamoo Mama!...
RS : Marhaba Mwanangu.
PM: Nina Salaam zako kutoka JF!, akisimama, then nitampa salaam zake,
Asiposimama, then salaam zangu zitakuwa zimeishia hapo!.

Ikitokea amesimama, then nitampongeza kwa kazi nzuri!, na Tatu nitampa salamu zenu wana jf, na mimi Pascal Mayalla kumtamkia mama kuwa sitaki uteuzi wowote!.
Namna ya kukutana na kuzungumza na rais Samia hapo kesho ni kwa kutumia kitu kinachoiitwa na power of mind suggestibility, kama niliotumia hapa

Kesho ni zamu ya Rais Samia

Wasalaam.

Paskali.

Mazuri ya kuteka, kubaka, kulawiti, kuwamwagia tindikali, kuwaua, kuwafungia kwenye sandarusi kuwatupa baharini, mitoni na maporini kwa watanzania wasio na makosa.
 
Wanabodi
Kufuatia kuibuka kwa kada mpya ya ajira ya uchawa, ambayo nasikia inalipa sana, kila mtu akisifia tuu uongozi au kiongozi anaitwa chawa na kunyooshewa kidole kuwa ananyemelea teuzi!.

Paskali.
Unaendelea kujipendekeza kwa Samia ili akupe angalau ukuu wa wilaya.....Sijui machawa mtaisha lini? Umelewa Paskali Endelea kumpa moyo unaweza kupata uteuzi.
Karibu
P
 
Wanabodi
Kufuatia kuibuka kwa kada mpya ya ajira ya uchawa, ambayo nasikia inalipa sana, kila mtu akisifia tuu uongozi au kiongozi anaitwa chawa na kunyooshewa kidole kuwa ananyemelea teuzi!.

Declaration of Interest: Pascal Mayalla. hahitaji uteuzi wowote wa hisani wa rais kuwa DC, DED, RAS, RC, JAJI, or anybody!.

  1. Pascal Mayalla ni Mtanzania, anayekidhi sifa na vigezo vya kuteuliwa na rais kushika wadhifa wowote kama U DC!. Siku zote nimekuwa nikisema sihitaji uteuzi, ila kuna mwana jf mmoja akauliza kama ikitokea ghafla mara pap... Pascal Mayalla umeteuliwa DC, Jee Utakataa?. Nilishindwa kujibu!, Ukiteuliwa ukikataa utaonekana ni mtovu wa nidhamu!. Ili kuzuia utovu wa nidhamu, ni vizuri uki declare interest wazi, openly na publically, Pascal Mayalla hahitaji uteuzi wa kuwa DC!.

    Japo Kuna Wengi Wanapenda Uteuzi, Lakini Kuna Watu wa Ajabu!, Hawataki Kabisa Uteuzi wala Kazi za Malipo Manene!.
    Kuteuliwa wadhifa wowote na rais wa JMT ni heshima kubwa, hivyo wateuliwa hufurahi kuheshimishwa, hivyo kuna wengi wanautamani sana u DC, U DAS, DED RC etc, amini usiamini, kuna watu fulani ambao hawazimikii kabisa uteuzi wowote wa ubwete!, au kazi za malipo manene!. Watu hao sio tuu ni wazuri at what they do, but they love what they do, and they are the best at what they do, ukiwateua watu hawa na kuwa u DC, japo u DC ni cheo kikubwa, lakini uki compare watakacho fanya kwenye U DC compared to what they do, it's a waste!. Just imagine unamchukua mtu kama Profesa wa Chuo Kikuu kama Prof. Shivji, ateuliwe DC!.

    Rais wetu Mama Samia, ameonyesha kwa kauli, maneno na matendo kuwa yeye ni mtu msikivu, na kuna mazuri mengi ameyafanya na anaendelea kuyafanya, yanayostahili pongezi.
    Sisi watu wa media, tukiandika jambo lolote zuri kumpongeza rais Samia kwa mazuri yake, tunanyooshewa vidole kuwa tunanyemelea uteuzi wa UDC, U RC au Ukurugenzi yaani U RAS au U DAS!. Kwa vile mimi ni Mtanzania na nina sifa za kustahili kuteuliwa nafasi yoyote ya uteuzi, kwa sababu ni haki yangu, kama Mtanzania, naomba ku declare publically kuwa mimi Pascal Mayalla, sipongezi kwa kutafuta uteuzi wowote wa u DC au u RC au Ukurugenzi, au uteuzi wowote wa Mama!.

    Wasalaam.

    Paskali.

  1. Endelea kujipendekeza unaweza ukapewa ukuu wa wilaya ya Ubungo.

    Mkuu Fidi Masha, Field Marshall 11 karibu mitaa hii!.
    P
 
Wanabodi
Kwa Maslahi ya Taifa kwenye gazeti la Nipashe la leo.
Kufuatia kuibuka kwa kada mpya ya ajira ya uchawa, ambayo nasikia inalipa sana, kila mtu akisifia tuu uongozi au kiongozi anaitwa chawa na kunyooshewa kidole kuwa ananyemelea teuzi!.
Wasalaam.
Paskali.
Kwa kauli kama hii ya ukweli mchungu kwa CCM, sio rahisi akapewa uteuzi. Wale wanataka wasifiwe tu hata kama ni kwa unafiki, sasa Pascal Mayalla hawezi kufanya hivyo.
Mkuu Tony, Tony Laurent karibu
P
 
Wanabodi
Kwa Maslahi ya Taifa kwenye gazeti la Nipashe la leo.
Kufuatia kuibuka kwa kada mpya ya ajira ya uchawa, ambayo nasikia inalipa sana, kila mtu akisifia tuu uongozi au kiongozi anaitwa chawa na kunyooshewa kidole kuwa ananyemelea teuzi!.
View attachment 2316635View attachment 2316636
Wana JF Wenzangu, hebu tuacheni ushamba!, Media kumpongeza Rais kwa kazi nzuri na kufanya vema, sio kujipendekeza au kujikombakomba kunyemelea uteuzi!, rais wetu pia ni binadamu kama binadamu mwingine yeyote, akifanya vema, anastahili pongezi as encouragement, aendelee kufanya mazuri zaidi na zaidi, lakini baadhi ya watu humu kiukweli mnakera, sisi watu wa media, kila tukimpongeza rais kwa kufanya vema au mazuri yoyote, mnatuzodoa na kutunyooshea vidole kuwa pongezi hizo ni pongezi za kinafki kujipendekeza tuu ili kusaka uteuzi!.

Tangu rais Samia ameingia madarakani amefanya mengi makubwa mazuri ya kustahili sifa na pongezi za dhati, lakini pia Rais Samia sio malaika, hivyo anaweza kukosea na tutamkosoa!. Hivyo katika mazuri, nami nimempongeza kwa mengi, lakini nakereka kila nikipongeza nabezwa kuwa nafukuzia uteuzi!, hivi watu mnaona pongezi tuu?, critics hamzioni?.

Jana Rais Samia kateua majaji wapya 22 wa mahakama Kuu, katika uteuzi huo majaji 11 ni Wanawake na 11 ni wanaume, nikapandisha bandiko la pongezi Kuelekea Usawa wa Kijinsia: Kumbe 50/50 Inawezekana!, Wanawake Hao wa 50/50 Wapo!. Hongera Sana Rais Samia Kwa Kuonyesha Njia! Je 2025 Tuwaonyeshe?
wale wazodoaji wakaniibukia eti ni bandiko la kujipendekeza, eti kwa vile sifa za kuwa jaji ni kuwa na LL.B, na mimi ninayo, sasa naupumulia u Jaji!. Acheni hizo!.

Haya sasa Mungu bariki, mimi niko Mbeya, kwenye maonyesho ya Nane Nane nikifanya Vipindi vyangu vya Nane Nane na PPR, na rais yuko Mbeya, ndiye mgeni Rasmi kwenye kilele cha Nane Nane, hivyo kesho ndio itakuwa mara yangu ya kwanza kukutana na Rais Samia face to face, tangu Mungu alipomteua kuwa rais wetu, hivyo ikitokea katika pita pita za mabandani. ikitokea akapita karibu yangu, nitamsalimia kwa sauti kubwa tuu na atasikia, sijui kama atajibu, shikamoo yangu...

Declaration of Interest: Pascal Mayalla. hahitaji uteuzi wowote wa hisani wa rais kuwa DC, DED, RAS, RC, JAJI, or anybody!.
ila nikipata fursa ya kumsalimu kwa karibu, nitampa ukweli huu wa jinsi JF mnavyokera kwa kumweleza wazi kuwa pongezi zetu kwake kwa sisi baadhi yetu, ni pongezi bonafide genuine, kumpongeza kwa dhati kabisa kwa mazuri anayolifanyia taifa letu na ku declare interest publically kuwa Mimi Pascal Mayalla, nikipongeza, ni nina pongeza kwa dhati na sihitaji uteuzi wowote licha
  1. Pascal Mayalla ni Mtanzania, anayekidhi sifa na vigezo vya kuteuliwa na rais kushika wadhifa wowote kama U DC!. Siku zote nimekuwa nikisema sihitaji uteuzi, ila kuna mwana jf mmoja akauliza kama ikitokea ghafla mara pap... Pascal Mayalla umeteuliwa DC, Jee Utakataa?. Nilishindwa kujibu!, Ukiteuliwa ukikataa utaonekana ni mtovu wa nidhamu!. Ili kuzuia utovu wa nidhamu, ni vizuri uki declare interest wazi, openly na publically, Pascal Mayalla hahitaji uteuzi wa kuwa DC!.
  2. Kwenye uteuzi wa Majaji wapya, mmoja wa majaji wapya ni mwandishi wa habari binti, tulimpokea pale RTD, tukamfundisha kazi, akaenda kusoma sheria, akawa wakili wa kujitegemea juzi kateuliwa Jaji. Mimi pia nimesoma sheria, tena LL.B yangu ni LL.B (HONS) ya UDSM, hivyo ninakidhi sifa na vigezo vya kuteuliwa kuwa Jaji, lakini naomba kukiri, siwezi kumhukumu mtu kifo, hivyo siwezi kuwa Jaji na naomba nisiteuliwe kuwa Jaji!.
Japo Kuna Wengi Wanapenda Uteuzi, Lakini Kuna Watu wa Ajabu!, Hawataki Kabisa Uteuzi wala Kazi za Malipo Manene!.
Kuteuliwa wadhifa wowote na rais wa JMT ni heshima kubwa, hivyo wateuliwa hufurahi kuheshimishwa, hivyo kuna wengi wanautamani sana u DC, U DAS, DED RC etc, amini usiamini, kuna watu fulani ambao hawazimikii kabisa uteuzi wowote wa ubwete!, au kazi za malipo manene!. Watu hao sio tuu ni wazuri at what they do, but they love what they do, and they are the best at what they do, ukiwateua watu hawa na kuwa u DC, japo u DC ni cheo kikubwa, lakini uki compare watakacho fanya kwenye U DC compared to what they do, it's a waste!. Just imagine unamchukua mtu kama Profesa wa Chuo Kikuu kama Prof. Shivji, ateuliwe DC!.

Mimi ni mtu wa mastory mastory, wale wa mastory, tuendelee, wale wa short and clear, nenda mwisho.

Rais wetu Mama Samia, ameonyesha kwa kauli, maneno na matendo kuwa yeye ni mtu msikivu, na kuna mazuri mengi ameyafanya na anaendelea kuyafanya, yanayostahili pongezi. Sisi watu wa media, tukiandika jambo lolote zuri kumpongeza rais Samia kwa mazuri yake, tunanyooshewa vidole kuwa tunanyemelea uteuzi wa UDC, U RC au Ukurugenzi yaani U RAS au U DAS!. Kwa vile mimi ni Mtanzania na nina sifa za kustahili kuteuliwa nafasi yoyote ya uteuzi, kwa sababu ni haki yangu, kama Mtanzania, naomba ku declare publically kuwa mimi Pascal Mayalla, sipongezi kwa kutafuta uteuzi wowote wa u DC au u RC au Ukurugenzi, au uteuzi wowote wa Mama!.

Na kwa vile mimi niko Mbeya kwenye Nane Nane, na Mama Samia pia yuko Mbeya kuja kufunga Nane Nane, hapo kesho, ikitokea nikakutana na Mama Samia kesho kwenye Nane Nane,
Simulation ya encounter ya Pasco na Mama Samia
PM:“Sjikamoo Mama!...
RS : Marhaba Mwanangu.
PM: Nina Salaam zako kutoka JF!, akisimama, then nitampa salaam zake,
Asiposimama, then salaam zangu zitakuwa zimeishia hapo!.

Ikitokea amesimama, then nitampongeza kwa kazi nzuri!, na Tatu nitampa salamu zenu wana jf, na mimi Pascal Mayalla kumtamkia mama kuwa sitaki uteuzi wowote!.
Namna ya kukutana na kuzungumza na rais Samia hapo kesho ni kwa kutumia kitu kinachoiitwa na power of mind suggestibility, kama niliotumia hapa

Kesho ni zamu ya Rais Samia

Wasalaam.

Paskali.

Ok, ni sawa kumsifia mtu akifanya mazuri, lakinii, mtu huyo akikosea huwa mnamwambia??
 
Back
Top Bottom