Wayahudi wapo kila kona ya dunia, waliteseka wakapambana waache watawale. Wapalestina wanatakiwa wakazane na shule nao wasambae duniani. Maana wanaweza kuomba hifadhi kama wakimbizi katika hizo nchi. Ndani ya miaka 30 ijayo wanaweza kuwakabili wayahudi. Ila kama wakiendelea kukazana na madarasa na swala tano. Waache wafe waende Janat Firdaus.Wapuuzi wazungu wale walikuwa wapi wakati idf wakiwaua watoto wakipalestina waliokuwa na kiu wakitafuta maji badala yake wakapigwq na mabomu kwa makusudi kwa silaha za marekani na ulaya ambazo wanapewa kila siku ili kuuwa na kuangamiza mamilioni ya watoto wanaonyimwa hata maji na chakula kwa makusudi,
Leo hii wanapata wapi ujasiri wa kuongelea haki ? Wakati jambo lipo mahakamani
Wao mtuhumiwa wa mauaji ya halaiki ya watu wanamlinda kwa gharama zote,
Kwa mikono yao iliyojaa damu wakae kimya , wauwaji wakubwa
Wazee wa kubuhujikwa machozi.Njaa mbaya mkuu maana Mayalla kagonga 60yrs haelewi anamaliza vipi kipindi chake hadi 70yrs.ana stress kali hakujiandaa vizuri huku uzeeni.Chawa wa mama umeamua kuja humu jukwaani kuuanika uchawa wako. Nakereka na jinsi unavyoamia kujitoa ufahamu. Hayo mambo waachie akina Lucas Mwanshambwa, not a legend like you
Rubbish.Wanabodi
Leo naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ni aibu kwa nchi tajiri wa rasilimali kama Tanzania kuwa beggers!, ombaomba!.
Tuliambiwa tutafanya uchaguzi mkuu wetu kwa fedha za ndani, bila kutegemea fedha za wafadhili!, leo mabeberu wa ulaya EU, wamekutana na kutusingizia kuwa eti serikali yetu imewaomba mabeberu $ millioni 8 kugharimia uchaguzi wetu!, hivyo wanatupangia masherti, lazima kale ka Simba ka Kizimkazi kaachiliwe kutoka kwenye ile cage, na kundi lao waruhusiwe kushiriki uchaguzi, ndipo watupe hizo fedha!. Kama tulitangaziwa tutafanya uchaguzi wetu bila kutegemea fedha za wafadhili, halafu mijitu imekaa ulaya na kutusingizia eti tumewaomba fedha!, serikali yetu ikanushe uongo huu!. Ila kama serikali yetu ilituambia tutafanya uchaguzi bila kuwategemea wafadhili, halafu tukawaomba watusaidie, then hakuna jinsi, lazima tuu tukubali matokeo ya umasikini wetu ila tuambiwe na sio kusubiri wazungu waseme ndipo tujue kuwa kumbe sisi bado ni omba omba. Ushauri kwa serikali yetu, ikiwa kuna kitu huna uwezo nacho, hakuna ubaya kuomba kusaidiwa, ila uwe proactive kusema kabla, na sio kusubiri hadi kuaibishwa kwa kuwa ombaomba, ndipo ije kuwa reactive kuwa tuliomba!.
Kuna msemo "beggars cannot be choosers" kumaanisha ukiwa omba omba, huwezi kuchagua usaidiwe na nani na usaidiwe nini, wewe kazi yako ni kutembeza tuu bakuli kuomba tuu, chochote utakachopewa au kusaidiwa unapokea na kazi yako ni kusema tuu "hewala*, " asante". Hivyo Tanzania as beggars as we were, we had no choice but to bow down to IMF and World Bank and beg for mercy.
That was then, Nyerere aliwahi kuwakatalia Waingereza kutuingilia, wakati wa mgogoro wa Jimbo la Biafra nchini Nigeria, na akarejesha misaada yao, na kuvunja uhusiano wetu na wao wa kibalozi.
Pia Nyerere aliwahi kuwakatalia Wajerumani walipotaka kutuchagulia marafiki. Kabla ya Muungano, Tanzania ilikuwa na Ubalozi wa Ujerumani Magharibi, na Zanzibar ilikuwa na ubalozi wa Ujerumani Mashariki. Kutokana na ugomvi wao, hadi kujenga ukuta jiji la Berlin, kila watu na upande wao, nchi ikiwa na ubalozi wa nchi moja nyingine inajitoa. Hiyo tulipoungana na Zanzibar, Tanzania tukawa na balozi zote mbili, Ujerumani Magharibu wakatulazimisha kuwafukuza Ujerumani Mashariki, Nyerere aliwagomea, akawarudishia misaada yao na kuwaambia kama hawataki wao ndio waondoke.
Hata mashirika ya kibeberu ya IMF na WB, aliwakatalia kutokana na masharti yao, ila kibano kilipozidi akaamua, kuliko kugeuka nyuma akageuka jiwe la chumvi, bora ang'atuke na kupisha wengine, Mwinyi alipoingia, Ali bow down kwa kufungulia ruhsa zote.
Mambo ya Nyerere na Mashirika ya kimataifa kama World Bank, yakarejea wakati wa Rais Magufuli tangu ameingia, amebana mianya yote ya upigaji hadi vyuma vimekaza, sasa haya mashirika kwa kuanzia na WB wakaleta za kuleta kwa kutishia nyau watu wazima. Baada ya kukosa mahali popote pa kumshikia bango rais Magufuli, wakatumia baadhi ya kauli zake kama bangusilo la kutunyima mikopo.
Kama hii taarifa ya CNN eti World Bank wanatunyima mkopo wa dola Milioni 300 kuboresha elimu, kwa sababu Rais Magufuli alisema mwanafunzi atakaeshika ujauzito akiwa shule, masomo basi. Serikali yake haitasomesha.
Mwalimu Nyerere aliwahi kuwagomea mabeberu hawa na Mashirika yao ya kimataifa, IMF na WB, japo tuliteseka, bora tuteseke huru kuliko kulishwa tukashibishwa utumwani!. Magufuli aliwagomea na Samia asiwakubalie!
Watanzania tusimame na rais wetu, Samia, kamwe tusikubali, nchi yetu na
rais wetu kupangiwa nini cha kufanya kisa kuogopa kunyimwa mikopo na misaada yenye masharti.
Kama fedha hizo ni za kununulia makatasi ya kura, ballot papers, then tupigie kura uwanjani, watu wasimame nyuma ya mgombea, kwenye urais tuweke picha!, hawa mabeberu wakwende zao na Their blood stinking money!.
Lakini hili la nchi yetu kupangiwa nini cha kufanya ili kuwafurahisha mabeberu, tusilikubali asilan!
Mwalimu Nyerere alipowagomea IMF na World Bank, enzi zile, Tanzania tuliteseka kwa sababu tulikuwa nchi changa, nchi masikini with nothing, lakini sasa Tanzania sio changa tena, sasa Tanzania ni nchi tajiri with everything, madini, gesi asili, ardhi yenye rutuba, vyanzo lukuki vya maji, maliasli za kutosha, watu tunao etc, hivyo hatuwezi kutishwa na yeyote kwa nchi yetu kupangiwa cha kufanya!
Hitimisho
Kwa vile Rais Nyerere na Rais Magufuli walikataa, je tumshauri Rais Samia asikubali misaada ya nchi
mabeberu, yenye masherti itakayo ingilia sovereignty yetu, au kwa vile ni sisi wenyewe ndio tumewaomba msaada wa $ milioni 8 hawa mabereru zitusaidie kwenye uchaguzi, hivyo kwa vile wenye shida ni sisi, hatuna jinsi ni lazima tujinyenyekeze tusaidiwe, na kama sherti ni ka Simba ka Kizimkazi kaachiliwe kutoka kwenye ile cage, nacho kajivinjari kwenye lile jambo letu, then kaachiliwe tuu?.
Jumatano Njema.
Paskali
Ndio akili yako imeishia hapo halafu kutwa kushupaza shingo unataka hakiWayahudi wapo kila kona ya dunia, waliteseka wakapambana waache watawale. Wapalestina wanatakiwa wakazane na shule nao wasambae duniani. Maana wanaweza kuomba hifadhi kama wakimbizi katika hizo nchi. Ndani ya miaka 30 ijayo wanaweza kuwakabili wayahudi. Ila kama wakiendelea kukazana na madarasa na swala tano. Waache wafe waende Janat Firdaus.
Tanzania ni nchi huru yenye kujitawala, waheshimu uhuru wetu, tinawajua ni walafi na wachonganishi kama walivyofanya libya ,iraq na sehemu nyingi kwa maslahi yao binafsi bila ya kujali mamilioni ya watu waliouliwa kwa ajili ya maslahi ya mabeberuUtakuwa ni ujinga maradufu kuwaona ulaya hawastahili kukemea mabaya wakati hapo unapoishi kuna mabaya hayo hayo yanafanyika unayowashutumu ulaya kuyafadhili lakini wewe hutaki kuyakemea..hadi ulaya wanaingilia kuyakemea, huwezi kujali watu usiowajua wakati umeshindwa kujali watu unaowaona na kuishi nao wakitendewa sivyo na serikali yako.
Haki haupewi unaihangaikia. Waisrael walijihangaikia na kujipambania hawakuamka na kujikuta Jerusalema. Huku Ujerumani kuna msemo kwa hali ya dunia ilivyo wapalestina wote wakawa wakristo vita itaisha mapema asubuhi. Ni kitu ambacho ni ukweli lakini wapalestina hawawezi kukifanya. Cha umuhimu wakomae na shule na wainfiltrate mataifa ya magharibi then waichukue nchi yao.Ndio akili yako imeishia hapo halafu kutwa kushupaza shingo unataka haki
yaani serikali yako haina uwezo kujiendesha, alafu unasema asikubali misaada, una akili kweli wewe? your government does not afford to fund a budget even of a single year,kwa hiyo unataka pesa za kuendeshea nchi atoe wapi? au aanze kupora kwa raia na wabadilisha fedha kama msukuma mwenzio alivyofanya baada ya kubanwa shingo?Wanabodi
Leo naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ni aibu kwa nchi tajiri wa rasilimali kama Tanzania kuwa beggers!, ombaomba!.
Tuliambiwa tutafanya uchaguzi mkuu wetu kwa fedha za ndani, bila kutegemea fedha za wafadhili!, leo mabeberu wa ulaya EU, wamekutana na kutusingizia kuwa eti serikali yetu imewaomba mabeberu $ millioni 8 kugharimia uchaguzi wetu!, hivyo wanatupangia masherti, lazima kale ka Simba ka Kizimkazi kaachiliwe kutoka kwenye ile cage, na kundi lao waruhusiwe kushiriki uchaguzi, ndipo watupe hizo fedha!. Kama tulitangaziwa tutafanya uchaguzi wetu bila kutegemea fedha za wafadhili, halafu mijitu imekaa ulaya na kutusingizia eti tumewaomba fedha!, serikali yetu ikanushe uongo huu!. Ila kama serikali yetu ilituambia tutafanya uchaguzi bila kuwategemea wafadhili, halafu tukawaomba watusaidie, then hakuna jinsi, lazima tuu tukubali matokeo ya umasikini wetu ila tuambiwe na sio kusubiri wazungu waseme ndipo tujue kuwa kumbe sisi bado ni omba omba. Ushauri kwa serikali yetu, ikiwa kuna kitu huna uwezo nacho, hakuna ubaya kuomba kusaidiwa, ila uwe proactive kusema kabla, na sio kusubiri hadi kuaibishwa kwa kuwa ombaomba, ndipo ije kuwa reactive kuwa tuliomba!.
Kuna msemo "beggars cannot be choosers" kumaanisha ukiwa omba omba, huwezi kuchagua usaidiwe na nani na usaidiwe nini, wewe kazi yako ni kutembeza tuu bakuli kuomba tuu, chochote utakachopewa au kusaidiwa unapokea na kazi yako ni kusema tuu "hewala*, " asante". Hivyo Tanzania as beggars as we were, we had no choice but to bow down to IMF and World Bank and beg for mercy.
That was then, Nyerere aliwahi kuwakatalia Waingereza kutuingilia, wakati wa mgogoro wa Jimbo la Biafra nchini Nigeria, na akarejesha misaada yao, na kuvunja uhusiano wetu na wao wa kibalozi.
Pia Nyerere aliwahi kuwakatalia Wajerumani walipotaka kutuchagulia marafiki. Kabla ya Muungano, Tanzania ilikuwa na Ubalozi wa Ujerumani Magharibi, na Zanzibar ilikuwa na ubalozi wa Ujerumani Mashariki. Kutokana na ugomvi wao, hadi kujenga ukuta jiji la Berlin, kila watu na upande wao, nchi ikiwa na ubalozi wa nchi moja nyingine inajitoa. Hiyo tulipoungana na Zanzibar, Tanzania tukawa na balozi zote mbili, Ujerumani Magharibu wakatulazimisha kuwafukuza Ujerumani Mashariki, Nyerere aliwagomea, akawarudishia misaada yao na kuwaambia kama hawataki wao ndio waondoke.
Hata mashirika ya kibeberu ya IMF na WB, aliwakatalia kutokana na masharti yao, ila kibano kilipozidi akaamua, kuliko kugeuka nyuma akageuka jiwe la chumvi, bora ang'atuke na kupisha wengine, Mwinyi alipoingia, Ali bow down kwa kufungulia ruhsa zote.
Mambo ya Nyerere na Mashirika ya kimataifa kama World Bank, yakarejea wakati wa Rais Magufuli tangu ameingia, amebana mianya yote ya upigaji hadi vyuma vimekaza, sasa haya mashirika kwa kuanzia na WB wakaleta za kuleta kwa kutishia nyau watu wazima. Baada ya kukosa mahali popote pa kumshikia bango rais Magufuli, wakatumia baadhi ya kauli zake kama bangusilo la kutunyima mikopo.
Kama hii taarifa ya CNN eti World Bank wanatunyima mkopo wa dola Milioni 300 kuboresha elimu, kwa sababu Rais Magufuli alisema mwanafunzi atakaeshika ujauzito akiwa shule, masomo basi. Serikali yake haitasomesha.
Mwalimu Nyerere aliwahi kuwagomea mabeberu hawa na Mashirika yao ya kimataifa, IMF na WB, japo tuliteseka, bora tuteseke huru kuliko kulishwa tukashibishwa utumwani!. Magufuli aliwagomea na Samia asiwakubalie!
Watanzania tusimame na rais wetu, Samia, kamwe tusikubali, nchi yetu na
rais wetu kupangiwa nini cha kufanya kisa kuogopa kunyimwa mikopo na misaada yenye masharti.
Kama fedha hizo ni za kununulia makatasi ya kura, ballot papers, then tupigie kura uwanjani, watu wasimame nyuma ya mgombea, kwenye urais tuweke picha!, hawa mabeberu wakwende zao na Their blood stinking money!.
Lakini hili la nchi yetu kupangiwa nini cha kufanya ili kuwafurahisha mabeberu, tusilikubali asilan!
Mwalimu Nyerere alipowagomea IMF na World Bank, enzi zile, Tanzania tuliteseka kwa sababu tulikuwa nchi changa, nchi masikini with nothing, lakini sasa Tanzania sio changa tena, sasa Tanzania ni nchi tajiri with everything, madini, gesi asili, ardhi yenye rutuba, vyanzo lukuki vya maji, maliasli za kutosha, watu tunao etc, hivyo hatuwezi kutishwa na yeyote kwa nchi yetu kupangiwa cha kufanya!
Hitimisho
Kwa vile Rais Nyerere na Rais Magufuli walikataa, je tumshauri Rais Samia asikubali misaada ya nchi
mabeberu, yenye masherti itakayo ingilia sovereignty yetu, au kwa vile ni sisi wenyewe ndio tumewaomba msaada wa $ milioni 8 hawa mabereru zitusaidie kwenye uchaguzi, hivyo kwa vile wenye shida ni sisi, hatuna jinsi ni lazima tujinyenyekeze tusaidiwe, na kama sherti ni ka Simba ka Kizimkazi kaachiliwe kutoka kwenye ile cage, nacho kajivinjari kwenye lile jambo letu, then kaachiliwe tuu?.
Jumatano Njema.
Paskali
Akili zako za kijijini huna hata hoja ya maana, nani aliyokwambia wanapigania dini? Haya ndio madhara ya elimu duni ,watu wazito sana kufikiriaHaki hatupewi unaihangaikia. Waisrael walihangaikia na kujipambania hawakuamka na kujikuta Jerusalema. Huku Ujerumani kuna msemo kwa hali ya dunia ilivyo wapalestina wote wakawa wakristo vita itaisha mapema asubuhi. Ni kitu ambacho ni ukweli lakini wapalestina hawawezi kukifanya. Cha umuhimu wakomae na shule na wainfiltrate maarifa ya magharibi then wasichukue nchi yao.
Sasa jiwe angeweza kukwepa mtego wa misaada ya Wazungu kwa sababu alikuwa anachukua mikopo ya kibiashara na kubana matumizi ndani ya nchi na kuwabana matajiri wenye pesa.Wanabodi
Leo naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ni aibu kwa nchi tajiri wa rasilimali kama Tanzania kuwa beggers!, ombaomba!.
Tuliambiwa tutafanya uchaguzi mkuu wetu kwa fedha za ndani, bila kutegemea fedha za wafadhili!, leo mabeberu wa ulaya EU, wamekutana na kutusingizia kuwa eti serikali yetu imewaomba mabeberu $ millioni 8 kugharimia uchaguzi wetu!, hivyo wanatupangia masherti, lazima kale ka Simba ka Kizimkazi kaachiliwe kutoka kwenye ile cage, na kundi lao waruhusiwe kushiriki uchaguzi, ndipo watupe hizo fedha!. Kama tulitangaziwa tutafanya uchaguzi wetu bila kutegemea fedha za wafadhili, halafu mijitu imekaa ulaya na kutusingizia eti tumewaomba fedha!, serikali yetu ikanushe uongo huu!. Ila kama serikali yetu ilituambia tutafanya uchaguzi bila kuwategemea wafadhili, halafu tukawaomba watusaidie, then hakuna jinsi, lazima tuu tukubali matokeo ya umasikini wetu ila tuambiwe na sio kusubiri wazungu waseme ndipo tujue kuwa kumbe sisi bado ni omba omba. Ushauri kwa serikali yetu, ikiwa kuna kitu huna uwezo nacho, hakuna ubaya kuomba kusaidiwa, ila uwe proactive kusema kabla, na sio kusubiri hadi kuaibishwa kwa kuwa ombaomba, ndipo ije kuwa reactive kuwa tuliomba!.
Kuna msemo "beggars cannot be choosers" kumaanisha ukiwa omba omba, huwezi kuchagua usaidiwe na nani na usaidiwe nini, wewe kazi yako ni kutembeza tuu bakuli kuomba tuu, chochote utakachopewa au kusaidiwa unapokea na kazi yako ni kusema tuu "hewala*, " asante". Hivyo Tanzania as beggars as we were, we had no choice but to bow down to IMF and World Bank and beg for mercy.
That was then, Nyerere aliwahi kuwakatalia Waingereza kutuingilia, wakati wa mgogoro wa Jimbo la Biafra nchini Nigeria, na akarejesha misaada yao, na kuvunja uhusiano wetu na wao wa kibalozi.
Pia Nyerere aliwahi kuwakatalia Wajerumani walipotaka kutuchagulia marafiki. Kabla ya Muungano, Tanzania ilikuwa na Ubalozi wa Ujerumani Magharibi, na Zanzibar ilikuwa na ubalozi wa Ujerumani Mashariki. Kutokana na ugomvi wao, hadi kujenga ukuta jiji la Berlin, kila watu na upande wao, nchi ikiwa na ubalozi wa nchi moja nyingine inajitoa. Hiyo tulipoungana na Zanzibar, Tanzania tukawa na balozi zote mbili, Ujerumani Magharibu wakatulazimisha kuwafukuza Ujerumani Mashariki, Nyerere aliwagomea, akawarudishia misaada yao na kuwaambia kama hawataki wao ndio waondoke.
Hata mashirika ya kibeberu ya IMF na WB, aliwakatalia kutokana na masharti yao, ila kibano kilipozidi akaamua, kuliko kugeuka nyuma akageuka jiwe la chumvi, bora ang'atuke na kupisha wengine, Mwinyi alipoingia, Ali bow down kwa kufungulia ruhsa zote.
Mambo ya Nyerere na Mashirika ya kimataifa kama World Bank, yakarejea wakati wa Rais Magufuli tangu ameingia, amebana mianya yote ya upigaji hadi vyuma vimekaza, sasa haya mashirika kwa kuanzia na WB wakaleta za kuleta kwa kutishia nyau watu wazima. Baada ya kukosa mahali popote pa kumshikia bango rais Magufuli, wakatumia baadhi ya kauli zake kama bangusilo la kutunyima mikopo.
Kama hii taarifa ya CNN eti World Bank wanatunyima mkopo wa dola Milioni 300 kuboresha elimu, kwa sababu Rais Magufuli alisema mwanafunzi atakaeshika ujauzito akiwa shule, masomo basi. Serikali yake haitasomesha.
Mwalimu Nyerere aliwahi kuwagomea mabeberu hawa na Mashirika yao ya kimataifa, IMF na WB, japo tuliteseka, bora tuteseke huru kuliko kulishwa tukashibishwa utumwani!. Magufuli aliwagomea na Samia asiwakubalie!
Watanzania tusimame na rais wetu, Samia, kamwe tusikubali, nchi yetu na
rais wetu kupangiwa nini cha kufanya kisa kuogopa kunyimwa mikopo na misaada yenye masharti.
Kama fedha hizo ni za kununulia makatasi ya kura, ballot papers, then tupigie kura uwanjani, watu wasimame nyuma ya mgombea, kwenye urais tuweke picha!, hawa mabeberu wakwende zao na Their blood stinking money!.
Lakini hili la nchi yetu kupangiwa nini cha kufanya ili kuwafurahisha mabeberu, tusilikubali asilan!
Mwalimu Nyerere alipowagomea IMF na World Bank, enzi zile, Tanzania tuliteseka kwa sababu tulikuwa nchi changa, nchi masikini with nothing, lakini sasa Tanzania sio changa tena, sasa Tanzania ni nchi tajiri with everything, madini, gesi asili, ardhi yenye rutuba, vyanzo lukuki vya maji, maliasli za kutosha, watu tunao etc, hivyo hatuwezi kutishwa na yeyote kwa nchi yetu kupangiwa cha kufanya!
Hitimisho
Kwa vile Rais Nyerere na Rais Magufuli walikataa, je tumshauri Rais Samia asikubali misaada ya nchi
mabeberu, yenye masherti itakayo ingilia sovereignty yetu, au kwa vile ni sisi wenyewe ndio tumewaomba msaada wa $ milioni 8 hawa mabereru zitusaidie kwenye uchaguzi, hivyo kwa vile wenye shida ni sisi, hatuna jinsi ni lazima tujinyenyekeze tusaidiwe, na kama sherti ni ka Simba ka Kizimkazi kaachiliwe kutoka kwenye ile cage, nacho kajivinjari kwenye lile jambo letu, then kaachiliwe tuu?.
Jumatano Njema.
Paskali
Bora umemwambia ukweli huyo Njaa Pasco. Aache ujinga, awe objective.Huyu Pascal ni CHAWA ingawa ukimwambia ataanza kurukaruka kama bisi, mbaya zaidi anajiona anasema kwa maslahi ya taifa, pity.
Kwa yanayofanyika kwa upinzani na kiongozi mkuu wa chama cha upinzani yeye anaona sawa, na wazungu wanaotusaidia wamesema mnakiuka haki yeye kwake kwa uchawa wake inakuwa nongwa.
Margaret Thatcher aliyekuwa waziri mkuu wa uingereza wakati fulani alisema kwa Afrika ukitaka kuwa mwanasiasa maarufu utoe matamko makali dhidi ya former colonial masters, ndicho anachofanya CHAWA Pascal.
Hivi haoni mambo yanayofanywa na serikali ya Samia? Ni kutaka teuzi au Kuna deficiency nyingine?
Wanabodi
Leo naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ni aibu kwa nchi tajiri wa rasilimali kama Tanzania kuwa beggers!, ombaomba!.
Tuliambiwa tutafanya uchaguzi mkuu wetu kwa fedha za ndani, bila kutegemea fedha za wafadhili!, leo mabeberu wa ulaya EU, wamekutana na kutusingizia kuwa eti serikali yetu imewaomba mabeberu $ millioni 8 kugharimia uchaguzi wetu!, hivyo wanatupangia masherti, lazima kale ka Simba ka Kizimkazi kaachiliwe kutoka kwenye ile cage, na kundi lao waruhusiwe kushiriki uchaguzi, ndipo watupe hizo fedha!. Kama tulitangaziwa tutafanya uchaguzi wetu bila kutegemea fedha za wafadhili, halafu mijitu imekaa ulaya na kutusingizia eti tumewaomba fedha!, serikali yetu ikanushe uongo huu!. Ila kama serikali yetu ilituambia tutafanya uchaguzi bila kuwategemea wafadhili, halafu tukawaomba watusaidie, then hakuna jinsi, lazima tuu tukubali matokeo ya umasikini wetu ila tuambiwe na sio kusubiri wazungu waseme ndipo tujue kuwa kumbe sisi bado ni omba omba. Ushauri kwa serikali yetu, ikiwa kuna kitu huna uwezo nacho, hakuna ubaya kuomba kusaidiwa, ila uwe proactive kusema kabla, na sio kusubiri hadi kuaibishwa kwa kuwa ombaomba, ndipo ije kuwa reactive kuwa tuliomba!.
Kuna msemo "beggars cannot be choosers" kumaanisha ukiwa omba omba, huwezi kuchagua usaidiwe na nani na usaidiwe nini, wewe kazi yako ni kutembeza tuu bakuli kuomba tuu, chochote utakachopewa au kusaidiwa unapokea na kazi yako ni kusema tuu "hewala*, " asante". Hivyo Tanzania as beggars as we were, we had no choice but to bow down to IMF and World Bank and beg for mercy.
That was then, Nyerere aliwahi kuwakatalia Waingereza kutuingilia, wakati wa mgogoro wa Jimbo la Biafra nchini Nigeria, na akarejesha misaada yao, na kuvunja uhusiano wetu na wao wa kibalozi.
Pia Nyerere aliwahi kuwakatalia Wajerumani walipotaka kutuchagulia marafiki. Kabla ya Muungano, Tanzania ilikuwa na Ubalozi wa Ujerumani Magharibi, na Zanzibar ilikuwa na ubalozi wa Ujerumani Mashariki. Kutokana na ugomvi wao, hadi kujenga ukuta jiji la Berlin, kila watu na upande wao, nchi ikiwa na ubalozi wa nchi moja nyingine inajitoa. Hiyo tulipoungana na Zanzibar, Tanzania tukawa na balozi zote mbili, Ujerumani Magharibu wakatulazimisha kuwafukuza Ujerumani Mashariki, Nyerere aliwagomea, akawarudishia misaada yao na kuwaambia kama hawataki wao ndio waondoke.
Hata mashirika ya kibeberu ya IMF na WB, aliwakatalia kutokana na masharti yao, ila kibano kilipozidi akaamua, kuliko kugeuka nyuma akageuka jiwe la chumvi, bora ang'atuke na kupisha wengine, Mwinyi alipoingia, Ali bow down kwa kufungulia ruhsa zote.
Mambo ya Nyerere na Mashirika ya kimataifa kama World Bank, yakarejea wakati wa Rais Magufuli tangu ameingia, amebana mianya yote ya upigaji hadi vyuma vimekaza, sasa haya mashirika kwa kuanzia na WB wakaleta za kuleta kwa kutishia nyau watu wazima. Baada ya kukosa mahali popote pa kumshikia bango rais Magufuli, wakatumia baadhi ya kauli zake kama bangusilo la kutunyima mikopo.
Kama hii taarifa ya CNN eti World Bank wanatunyima mkopo wa dola Milioni 300 kuboresha elimu, kwa sababu Rais Magufuli alisema mwanafunzi atakaeshika ujauzito akiwa shule, masomo basi. Serikali yake haitasomesha.
Mwalimu Nyerere aliwahi kuwagomea mabeberu hawa na Mashirika yao ya kimataifa, IMF na WB, japo tuliteseka, bora tuteseke huru kuliko kulishwa tukashibishwa utumwani!. Magufuli aliwagomea na Samia asiwakubalie!
Watanzania tusimame na rais wetu, Samia, kamwe tusikubali, nchi yetu na
rais wetu kupangiwa nini cha kufanya kisa kuogopa kunyimwa mikopo na misaada yenye masharti.
Kama fedha hizo ni za kununulia makatasi ya kura, ballot papers, then tupigie kura uwanjani, watu wasimame nyuma ya mgombea, kwenye urais tuweke picha!, hawa mabeberu wakwende zao na Their blood stinking money!.
Lakini hili la nchi yetu kupangiwa nini cha kufanya ili kuwafurahisha mabeberu, tusilikubali asilan!
Mwalimu Nyerere alipowagomea IMF na World Bank, enzi zile, Tanzania tuliteseka kwa sababu tulikuwa nchi changa, nchi masikini with nothing, lakini sasa Tanzania sio changa tena, sasa Tanzania ni nchi tajiri with everything, madini, gesi asili, ardhi yenye rutuba, vyanzo lukuki vya maji, maliasli za kutosha, watu tunao etc, hivyo hatuwezi kutishwa na yeyote kwa nchi yetu kupangiwa cha kufanya!
Hitimisho
Kwa vile Rais Nyerere na Rais Magufuli walikataa, je tumshauri Rais Samia asikubali misaada ya nchi
mabeberu, yenye masherti itakayo ingilia sovereignty yetu, au kwa vile ni sisi wenyewe ndio tumewaomba msaada wa $ milioni 8 hawa mabereru zitusaidie kwenye uchaguzi, hivyo kwa vile wenye shida ni sisi, hatuna jinsi ni lazima tujinyenyekeze tusaidiwe, na kama sherti ni ka Simba ka Kizimkazi kaachiliwe kutoka kwenye ile cage, nacho kajivinjari kwenye lile jambo letu, then kaachiliwe tuu?.
Jumatano Njema.
P
chawa mzee hata hapendeziUteuzi unasakwa kwa Udi na Uvumba
Magufuli akiwa Rais na mama mkoloni akiwa makamu wake walisema wanajenga Reli kwa pesa za ndani, kumbe walikuwa wanakopa kimya kimya mpaka ikaja kubainika waziwazi, Serikali ya ccm ni ombaomba misaada ni kopakopa hovyo hovyo bila haya maisha hayaendi kwa ccm, wakiona Ulaya wamekaza Uzi wataomba omba japan china na kwingineko kwa siri, lakini cha muhimu ni ccm waache uonevu manyanyaso ukandamizaji wa Demokrasia na kuwabambikia kesi za uongo chadema,Wanabodi
Leo naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ni aibu kwa nchi tajiri wa rasilimali kama Tanzania kuwa beggers!, ombaomba!.
Tuliambiwa tutafanya uchaguzi mkuu wetu kwa fedha za ndani, bila kutegemea fedha za wafadhili!, leo mabeberu wa ulaya EU, wamekutana na kutusingizia kuwa eti serikali yetu imewaomba mabeberu $ millioni 8 kugharimia uchaguzi wetu!, hivyo wanatupangia masherti, lazima kale ka Simba ka Kizimkazi kaachiliwe kutoka kwenye ile cage, na kundi lao waruhusiwe kushiriki uchaguzi, ndipo watupe hizo fedha!. Kama tulitangaziwa tutafanya uchaguzi wetu bila kutegemea fedha za wafadhili, halafu mijitu imekaa ulaya na kutusingizia eti tumewaomba fedha!, serikali yetu ikanushe uongo huu!. Ila kama serikali yetu ilituambia tutafanya uchaguzi bila kuwategemea wafadhili, halafu tukawaomba watusaidie, then hakuna jinsi, lazima tuu tukubali matokeo ya umasikini wetu ila tuambiwe na sio kusubiri wazungu waseme ndipo tujue kuwa kumbe sisi bado ni omba omba. Ushauri kwa serikali yetu, ikiwa kuna kitu huna uwezo nacho, hakuna ubaya kuomba kusaidiwa, ila uwe proactive kusema kabla, na sio kusubiri hadi kuaibishwa kwa kuwa ombaomba, ndipo ije kuwa reactive kuwa tuliomba!.
Kuna msemo "beggars cannot be choosers" kumaanisha ukiwa omba omba, huwezi kuchagua usaidiwe na nani na usaidiwe nini, wewe kazi yako ni kutembeza tuu bakuli kuomba tuu, chochote utakachopewa au kusaidiwa unapokea na kazi yako ni kusema tuu "hewala*, " asante". Hivyo Tanzania as beggars as we were, we had no choice but to bow down to IMF and World Bank and beg for mercy.
That was then, Nyerere aliwahi kuwakatalia Waingereza kutuingilia, wakati wa mgogoro wa Jimbo la Biafra nchini Nigeria, na akarejesha misaada yao, na kuvunja uhusiano wetu na wao wa kibalozi.
Pia Nyerere aliwahi kuwakatalia Wajerumani walipotaka kutuchagulia marafiki. Kabla ya Muungano, Tanzania ilikuwa na Ubalozi wa Ujerumani Magharibi, na Zanzibar ilikuwa na ubalozi wa Ujerumani Mashariki. Kutokana na ugomvi wao, hadi kujenga ukuta jiji la Berlin, kila watu na upande wao, nchi ikiwa na ubalozi wa nchi moja nyingine inajitoa. Hiyo tulipoungana na Zanzibar, Tanzania tukawa na balozi zote mbili, Ujerumani Magharibu wakatulazimisha kuwafukuza Ujerumani Mashariki, Nyerere aliwagomea, akawarudishia misaada yao na kuwaambia kama hawataki wao ndio waondoke.
Hata mashirika ya kibeberu ya IMF na WB, aliwakatalia kutokana na masharti yao, ila kibano kilipozidi akaamua, kuliko kugeuka nyuma akageuka jiwe la chumvi, bora ang'atuke na kupisha wengine, Mwinyi alipoingia, Ali bow down kwa kufungulia ruhsa zote.
Mambo ya Nyerere na Mashirika ya kimataifa kama World Bank, yakarejea wakati wa Rais Magufuli tangu ameingia, amebana mianya yote ya upigaji hadi vyuma vimekaza, sasa haya mashirika kwa kuanzia na WB wakaleta za kuleta kwa kutishia nyau watu wazima. Baada ya kukosa mahali popote pa kumshikia bango rais Magufuli, wakatumia baadhi ya kauli zake kama bangusilo la kutunyima mikopo.
Kama hii taarifa ya CNN eti World Bank wanatunyima mkopo wa dola Milioni 300 kuboresha elimu, kwa sababu Rais Magufuli alisema mwanafunzi atakaeshika ujauzito akiwa shule, masomo basi. Serikali yake haitasomesha.
Mwalimu Nyerere aliwahi kuwagomea mabeberu hawa na Mashirika yao ya kimataifa, IMF na WB, japo tuliteseka, bora tuteseke huru kuliko kulishwa tukashibishwa utumwani!. Magufuli aliwagomea na Samia asiwakubalie!
Watanzania tusimame na rais wetu, Samia, kamwe tusikubali, nchi yetu na
rais wetu kupangiwa nini cha kufanya kisa kuogopa kunyimwa mikopo na misaada yenye masharti.
Kama fedha hizo ni za kununulia makatasi ya kura, ballot papers, then tupigie kura uwanjani, watu wasimame nyuma ya mgombea, kwenye urais tuweke picha!, hawa mabeberu wakwende zao na Their blood stinking money!.
Lakini hili la nchi yetu kupangiwa nini cha kufanya ili kuwafurahisha mabeberu, tusilikubali asilan!
Mwalimu Nyerere alipowagomea IMF na World Bank, enzi zile, Tanzania tuliteseka kwa sababu tulikuwa nchi changa, nchi masikini with nothing, lakini sasa Tanzania sio changa tena, sasa Tanzania ni nchi tajiri with everything, madini, gesi asili, ardhi yenye rutuba, vyanzo lukuki vya maji, maliasli za kutosha, watu tunao etc, hivyo hatuwezi kutishwa na yeyote kwa nchi yetu kupangiwa cha kufanya!
Hitimisho
Kwa vile Rais Nyerere na Rais Magufuli walikataa, je tumshauri Rais Samia asikubali misaada ya nchi
mabeberu, yenye masherti itakayo ingilia sovereignty yetu, au kwa vile ni sisi wenyewe ndio tumewaomba msaada wa $ milioni 8 hawa mabereru zitusaidie kwenye uchaguzi, hivyo kwa vile wenye shida ni sisi, hatuna jinsi ni lazima tujinyenyekeze tusaidiwe, na kama sherti ni ka Simba ka Kizimkazi kaachiliwe kutoka kwenye ile cage, nacho kajivinjari kwenye lile jambo letu, then kaachiliwe tuu?.
Jumatano Njema.
Paskali
Hawa ibirisi wa ccm wa sasa wamekumbatia vitendo haramu vya kishetani, hawapaswi kujilinganisha na ccm ya NyerereMwalimu Nyerere aliwagomea misaada kwa masuala ya msingi na siyo kama haya ya Sasa.