Rais Nyerere na Rais Magufuli walikataa, Rais Samia usikubali Misaada ya kuingilia Sovereignty yetu!

Wanabodi

Leo naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ni aibu kwa nchi tajiri wa rasilimali kama Tanzania kuwa beggers!, ombaomba!.

Tuliambiwa tutafanya uchaguzi mkuu wetu kwa fedha za ndani, bila kutegemea fedha za wafadhili!, leo mabeberu wa ulaya EU, wamekutana na kutusingizia kuwa eti serikali yetu imewaomba mabeberu $ millioni 8 kugharimia uchaguzi wetu!, hivyo wanatupangia masherti, lazima kale ka Simba ka Kizimkazi kaachiliwe kutoka kwenye ile cage, na kundi lao waruhusiwe kushiriki uchaguzi, ndipo watupe hizo fedha!.

Kuna msemo "beggars cannot be choosers" kumaanisha ukiwa omba omba, huwezi kuchagua usaidiwe na nani na usaidiwe nini, wewe kazi yako ni kutembeza tuu bakuli kuomba tuu, chochote utakachopewa au kusaidiwa unapokea na kazi yako ni kusema tuu "hewala*, " asante". Hivyo Tanzania as beggars as we were, we had no choice but to bow down to IMF and World Bank and beg for mercy.

That was then, Nyerere aliwahi kuwakatalia Waingereza kutuingilia, wakati wa mgogoro wa Jimbo la Biafra nchini Nigeria, na akarejesha misaada yao, na kuvunja uhusiano wetu na wao wa kibalozi.

Pia Nyerere aliwahi kuwakatalia Wajerumani walipotaka kutuchagulia marafiki. Kabla ya Muungano, Tanzania ilikuwa na Ubalozi wa Ujerumani Magharibi, na Zanzibar ilikuwa na ubalozi wa Ujerumani Mashariki. Kutokana na ugomvi wao, hadi kujenga ukuta jiji la Berlin, kila watu na upande wao, nchi ikiwa na ubalozi wa nchi moja nyingine inajitoa. Hiyo tulipoungana na Zanzibar, Tanzania tukawa na balozi zote mbili, Ujerumani Magharibu wakatulazimisha kuwafukuza Ujerumani Mashariki, Nyerere aliwagomea, akawarudishia misaada yao na kuwaambia kama hawataki wao ndio waondoke.

Hata mashirika ya kibeberu ya IMF na WB, aliwakatalia kutokana na masharti yao, ila kibano kilipozidi akaamua, kuliko kugeuka nyuma akageuka jiwe la chumvi, bora ang'atuke na kupisha wengine, Mwinyi alipoingia, Ali bow down kwa kufungulia ruhsa zote.

Mambo ya Nyerere na Mashirika ya kimataifa kama World Bank, yakarejea wakati wa Rais Magufuli tangu ameingia, amebana mianya yote ya upigaji hadi vyuma vimekaza, sasa haya mashirika kwa kuanzia na WB wakaleta za kuleta kwa kutishia nyau watu wazima. Baada ya kukosa mahali popote pa kumshikia bango rais Magufuli, wakatumia baadhi ya kauli zake kama bangusilo la kutunyima mikopo.
Kama hii taarifa ya CNN eti World Bank wanatunyima mkopo wa dola Milioni 300 kuboresha elimu, kwa sababu Rais Magufuli alisema mwanafunzi atakaeshika ujauzito akiwa shule, masomo basi. Serikali yake haitasomesha.

Mwalimu Nyerere aliwahi kuwagomea mabeberu hawa na Mashirika yao ya kimataifa, IMF na WB, japo tuliteseka, bora tuteseke huru kuliko kulishwa tukashibishwa utumwani!. Magufuli aliwagomea na Samia asiwakubalie!

Watanzania tusimame na rais wetu, Samia, kamwe tusikubali, nchi yetu na
rais wetu kupangiwa nini cha kufanya kisa kuogopa kunyimwa mikopo na misaada yenye masharti.

Kama fedha hizo ni za kununulia makatasi ya kura, ballot papers, then tupigie kura uwanjani, watu wasimame nyuma ya mgombea, kwenye urais tuweke picha!, hawa mabeberu wakwende zao na Their blood stinking money!.

Lakini hili la nchi yetu kupangiwa nini cha kufanya ili kuwafurahisha mabeberu, tusilikubali asilan!

Mwalimu Nyerere alipowagomea IMF na World Bank, enzi zile, Tanzania tuliteseka kwa sababu tulikuwa nchi changa, nchi masikini with nothing, lakini sasa Tanzania sio changa tena, sasa Tanzania ni nchi tajiri with everything, madini, gesi asili, ardhi yenye rutuba, vyanzo lukuki vya maji, maliasli za kutosha, watu tunao etc, hivyo hatuwezi kutishwa na yeyote kwa nchi yetu kupangiwa cha kufanya!

Jumatano Njema.
Paskali
Kucheza kwenye mdundiko, (dance to their tunes)

Simba aliyeko kwenye ngome mbona alijua kwamba atawekwa kwenye 'cage'
 
maswala ya tanzania yatatatuliwa na watanzania full stop, na hawana usafi wa kuongelea kuhusu haki sehemu yoyote duniani kwa ushenzi wanaofanya kwa kuuwa watu kila siku na kulinda wahalifu kwa maslahi ya pesa
Juzi imegundulika kampuni ya blair inahusika na kupewa tender kuwahamisha wapalestina na kujenga nyumba za waisrael gaza , watu kama hawa ambao wanaua watu wazi wazi for monry wakae kimya
Mambo ya Gaza pereka misikitini huko ili miles vizuri.
Hapa ni mambo ya Tanzania. Ungekuwa muungwana kuongelea waTz wanaopotezwa, kutekwa na kuuliwa siyo mambo ya WaPalestina. Hayatuhusu.

After all WaPalestina wanaishi kwa msaada wa wazungu haohao. Hawawezi kujilisha wale, wanawaza kujilipua na visasi visivyoisha dhidi ya wayahudi.
 
Walengwa hasa wa hii misaada na grants ni wale wanaovaa suti na wanatembelea gari zero km je wako tayari kubana mikanda
 
This article reflects shallow thinking because the author is trying to caution against accepting foreign aid with strings attached while citing an example way back in the early to mid eighties when the then president the late Julius Nyerere refused the IMF/WB loan that came with stringent conditionalities.

However, in the year 1985 when the late president Ali Hassan Mwinyi assumed office he hurriedly accepted the same conditionalities that his predecessor rebuffed.

It goes a long way to show that the poor underdeveloped countries like Tanzania usually have no alternative when it comes to issues of economic survival.

The author is trying to mislead that the late president John Magufuli never borrowed funds during his authoritarian rule that lasted for five years something that is completely false.

There is a clear evidence that the infrastructural projects that he initiated were financed with the borrowed funds and that's why there was a dramatic rise in the country's foreign debt during his term in office.

Needless to say, president Samia's government has arguably borrowed more than presidents Kikwete and Magufuli combined in the period of about five years that she has been running the country meaning the country will soon be declared uncreditworthy by the international lending agencies.

So by saying that president Samia should not accept conditional aids is a self deception because this country can never stand on its own feet when it comes to economic management issues and if president Samia can decide to jump the gun then she might be digging her own grave based on the fact that her government cannot do without handouts from the multilateral donors.
 
Wanabodi

Leo naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ni aibu kwa nchi tajiri wa rasilimali kama Tanzania kuwa beggers!, ombaomba!.

Tuliambiwa tutafanya uchaguzi mkuu wetu kwa fedha za ndani, bila kutegemea fedha za wafadhili!, leo mabeberu wa ulaya EU, wamekutana na kutusingizia kuwa eti serikali yetu imewaomba mabeberu $ millioni 8 kugharimia uchaguzi wetu!, hivyo wanatupangia masherti, lazima kale ka Simba ka Kizimkazi kaachiliwe kutoka kwenye ile cage, na kundi lao waruhusiwe kushiriki uchaguzi, ndipo watupe hizo fedha!.

Kuna msemo "beggars cannot be choosers" kumaanisha ukiwa omba omba, huwezi kuchagua usaidiwe na nani na usaidiwe nini, wewe kazi yako ni kutembeza tuu bakuli kuomba tuu, chochote utakachopewa au kusaidiwa unapokea na kazi yako ni kusema tuu "hewala*, " asante". Hivyo Tanzania as beggars as we were, we had no choice but to bow down to IMF and World Bank and beg for mercy.

That was then, Nyerere aliwahi kuwakatalia Waingereza kutuingilia, wakati wa mgogoro wa Jimbo la Biafra nchini Nigeria, na akarejesha misaada yao, na kuvunja uhusiano wetu na wao wa kibalozi.

Pia Nyerere aliwahi kuwakatalia Wajerumani walipotaka kutuchagulia marafiki. Kabla ya Muungano, Tanzania ilikuwa na Ubalozi wa Ujerumani Magharibi, na Zanzibar ilikuwa na ubalozi wa Ujerumani Mashariki. Kutokana na ugomvi wao, hadi kujenga ukuta jiji la Berlin, kila watu na upande wao, nchi ikiwa na ubalozi wa nchi moja nyingine inajitoa. Hiyo tulipoungana na Zanzibar, Tanzania tukawa na balozi zote mbili, Ujerumani Magharibu wakatulazimisha kuwafukuza Ujerumani Mashariki, Nyerere aliwagomea, akawarudishia misaada yao na kuwaambia kama hawataki wao ndio waondoke.

Hata mashirika ya kibeberu ya IMF na WB, aliwakatalia kutokana na masharti yao, ila kibano kilipozidi akaamua, kuliko kugeuka nyuma akageuka jiwe la chumvi, bora ang'atuke na kupisha wengine, Mwinyi alipoingia, Ali bow down kwa kufungulia ruhsa zote.

Mambo ya Nyerere na Mashirika ya kimataifa kama World Bank, yakarejea wakati wa Rais Magufuli tangu ameingia, amebana mianya yote ya upigaji hadi vyuma vimekaza, sasa haya mashirika kwa kuanzia na WB wakaleta za kuleta kwa kutishia nyau watu wazima. Baada ya kukosa mahali popote pa kumshikia bango rais Magufuli, wakatumia baadhi ya kauli zake kama bangusilo la kutunyima mikopo.
Kama hii taarifa ya CNN eti World Bank wanatunyima mkopo wa dola Milioni 300 kuboresha elimu, kwa sababu Rais Magufuli alisema mwanafunzi atakaeshika ujauzito akiwa shule, masomo basi. Serikali yake haitasomesha.

Mwalimu Nyerere aliwahi kuwagomea mabeberu hawa na Mashirika yao ya kimataifa, IMF na WB, japo tuliteseka, bora tuteseke huru kuliko kulishwa tukashibishwa utumwani!. Magufuli aliwagomea na Samia asiwakubalie!

Watanzania tusimame na rais wetu, Samia, kamwe tusikubali, nchi yetu na
rais wetu kupangiwa nini cha kufanya kisa kuogopa kunyimwa mikopo na misaada yenye masharti.

Kama fedha hizo ni za kununulia makatasi ya kura, ballot papers, then tupigie kura uwanjani, watu wasimame nyuma ya mgombea, kwenye urais tuweke picha!, hawa mabeberu wakwende zao na Their blood stinking money!.

Lakini hili la nchi yetu kupangiwa nini cha kufanya ili kuwafurahisha mabeberu, tusilikubali asilan!

Mwalimu Nyerere alipowagomea IMF na World Bank, enzi zile, Tanzania tuliteseka kwa sababu tulikuwa nchi changa, nchi masikini with nothing, lakini sasa Tanzania sio changa tena, sasa Tanzania ni nchi tajiri with everything, madini, gesi asili, ardhi yenye rutuba, vyanzo lukuki vya maji, maliasli za kutosha, watu tunao etc, hivyo hatuwezi kutishwa na yeyote kwa nchi yetu kupangiwa cha kufanya!

Hitimisho
Kwa vile Rais Nyerere na Rais Magufuli walikataa, je tumshauri Rais Samia asikubali misaada ya nchi
mabeberu, yenye masherti itakayo ingilia sovereignty yetu, au kwa vile ni sisi wenyewe ndio tumewaomba msaada wa $ milioni 8 hawa mabereru zitusaidie kwenye uchaguzi, hivyo kwa vile wenye shida ni sisi, hatuna jinsi ni lazima tujinyenyekeze tusaidiwe, na kama sherti ni ka Simba ka Kizimkazi kaachiliwe kutoka kwenye ile cage, nacho kajivinjari kwenye lile jambo letu, then kaachiliwe tuu?.

Jumatano Njema.
Paskali
Alipotaka kupinduliwa akawaita hao hao mabeberu wakazuia jaribio la kumpindua. Sijawahi mwelewa Nyerere maana anaongea hiki na kesho ana jirudia kupinga falsafa zake. Katuachia haya matatizo yote. Trash
 
Huyu mwandishi ameishiwa pozi baada ya kunyanyasika na watawala.pia tuwe waangalifu kutoa majina kwa watoto wetu ya maana nzito sana.majina kama Mayalla,Masumbuko,Mawazo au Shida sio majina ya kuwapa watoto.Sasa mwenzetu nadhani mzimu wa njaa unamuandama njaa inamuuma haelewi asimamie wapi.Tumsamehe tu.
 
Wanabodi

Leo naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ni aibu kwa nchi tajiri wa rasilimali kama Tanzania kuwa beggers!, ombaomba!.

Tuliambiwa tutafanya uchaguzi mkuu wetu kwa fedha za ndani, bila kutegemea fedha za wafadhili!, leo mabeberu wa ulaya EU, wamekutana na kutusingizia kuwa eti serikali yetu imewaomba mabeberu $ millioni 8 kugharimia uchaguzi wetu!, hivyo wanatupangia masherti, lazima kale ka Simba ka Kizimkazi kaachiliwe kutoka kwenye ile cage, na kundi lao waruhusiwe kushiriki uchaguzi, ndipo watupe hizo fedha!. Kama tulitangaziwa tutafanya uchaguzi wetu bila kutegemea fedha za wafadhili, halafu mijitu imekaa ulaya na kutusingizia eti tumewaomba fedha!, serikali yetu ikanushe uongo huu!. Ila kama serikali yetu ilituambia tutafanya uchaguzi bila kuwategemea wafadhili, halafu tukawaomba watusaidie, then hakuna jinsi, lazima tuu tukubali matokeo ya umasikini wetu ila tuambiwe na sio kusubiri wazungu waseme ndipo tujue kuwa kumbe sisi bado ni omba omba. Ushauri kwa serikali yetu, ikiwa kuna kitu huna uwezo nacho, hakuna ubaya kuomba kusaidiwa, ila uwe proactive kusema kabla, na sio kusubiri hadi kuaibishwa kwa kuwa ombaomba, ndipo ije kuwa reactive kuwa tuliomba!.

Tunaweza jenga matundu ya vyoo?
 
Chawa wa mama umeamua kuja humu jukwaani kuuanika uchawa wako. Nakereka na jinsi unavyoamia kujitoa ufahamu. Hayo mambo waachie akina Lucas Mwanshambwa, not a legend like you
 
Mgomo wake uliishia wapi ?
Huwezi kuleta kiburi huku watu wako Wana Njaa. . Guys let's be honest & serious about people's lives. We need to end poverty, we need to end famine, we need to end starvation & hunger. We need to fuel capital generation for the destiny of our people.
Best Resources in the world;-are people with best brains, technology & innovation. The so- called Natural Resources are nothing over people with technology. Problem hii Nchi ina Watu "TUMBO" wakishiba wanapiga makofi after shibe NJAA ikiuma na wasiposhibishwa Kwa kiasi wanachohitaji WANA- LEFT.
 
NI sawa na mimi nakudai million moja inatakiwa unilipe halafu kesho nakuja nakuambia niuzie mbuzi wako kwa laki unasema hutaki mashart yaani unasahau kbs deni langu la million hahahah
 
Ndiyo tujifunze sasa!
Kama nchi inanuka Ufisadi,rushwa,matumizi holela ya fedha,hasara na ubadhirifu wa fedha,nk kama CAG alivyoripoti! Na Mama hakutaka ripoti ijadiliwe bungeni ili kuwaajibisha wahusika wa ubadhirifu huo! Mama anaanzia wapi kukataa misaada?
Nyerere na Magufuri walikataa misaada ya masharti lakini angalau walipiga vita Ufisadi na rushwa,nk
Walipokopa fedha ilitumika kama ilivyokusudiwa! Vipi Mama anaanzia wapi kukataa misaada?
Nasikia hata bajeti 2025/2026,14t/= zitategemea misaada ya hao jamaa.Mama anaanzia wapi kukataa?
Mugabe na Zibambwe alibana pumzi lakini aliyefuata aliachia nchi ikiwa hoi!
Mkuu kwa nini Wananchi tuteseke just for the sake of CCM? Ziko wapi 4R?
 
Mkubwa watu kuhamasisha muheshimu sheria zenu nalo ni tatizo? Watu kuwahamasisha mfanye uchaguzi huru na wa haki kuna ubaya? Ni sovereignity gani kuumiza watu wako kwakua mmetofautiana kitazamo ndio huo zmnaona uhuru kwenu? Hii nchi yetu sote ikiharibika haichagui sisiemu au CDM na by the way wananchi wengi hawana vyama huu Uchawa hautupeleki popote

No reform No Election
Huyu Pascal ni CHAWA ingawa ukimwambia ataanza kurukaruka kama bisi, mbaya zaidi anajiona anasema kwa maslahi ya taifa, pity.

Kwa yanayofanyika kwa upinzani na kiongozi mkuu wa chama cha upinzani yeye anaona sawa, na wazungu wanaotusaidia wamesema mnakiuka haki yeye kwake kwa uchawa wake inakuwa nongwa.

Margaret Thatcher aliyekuwa waziri mkuu wa uingereza wakati fulani alisema kwa Afrika ukitaka kuwa mwanasiasa maarufu utoe matamko makali dhidi ya former colonial masters, ndicho anachofanya CHAWA Pascal.

Hivi haoni mambo yanayofanywa na serikali ya Samia? Ni kutaka teuzi au Kuna deficiency nyingine?
 
Ndio maana nasema hata kama tukiongelea ya tz ni sawa ila hawa wanaonuka damu za watu hawapaswi kuzungumzia haki maana siyo watu wa haki bali wapo kimaslahi , wanapata wapi nguvu ya kuongelea jambo liliopo mahakamani? Huku muhalifu anayeua watoto kila siku wakimtumia silaha kila siku, mtu mjinga tu anayeweza kuwasikiliza hawa mashetani wa ulaya na kuwakna eti ndio watu wa haki
Utakuwa ni ujinga maradufu kuwaona ulaya hawastahili kukemea mabaya wakati hapo unapoishi kuna mabaya hayo hayo yanafanyika unayowashutumu ulaya kuyafadhili lakini wewe hutaki kuyakemea..hadi ulaya wanaingilia kuyakemea, huwezi kujali watu usiowajua wakati umeshindwa kujali watu unaowaona na kuishi nao wakitendewa sivyo na serikali yako.
 
Wanabodi

Leo naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ni aibu kwa nchi tajiri wa rasilimali kama Tanzania kuwa beggers!, ombaomba!.

Tuliambiwa tutafanya uchaguzi mkuu wetu kwa fedha za ndani, bila kutegemea fedha za wafadhili!, leo mabeberu wa ulaya EU, wamekutana na kutusingizia kuwa eti serikali yetu imewaomba mabeberu $ millioni 8 kugharimia uchaguzi wetu!, hivyo wanatupangia masherti, lazima kale ka Simba ka Kizimkazi kaachiliwe kutoka kwenye ile cage, na kundi lao waruhusiwe kushiriki uchaguzi, ndipo watupe hizo fedha!. Kama tulitangaziwa tutafanya uchaguzi wetu bila kutegemea fedha za wafadhili, halafu mijitu imekaa ulaya na kutusingizia eti tumewaomba fedha!, serikali yetu ikanushe uongo huu!. Ila kama serikali yetu ilituambia tutafanya uchaguzi bila kuwategemea wafadhili, halafu tukawaomba watusaidie, then hakuna jinsi, lazima tuu tukubali matokeo ya umasikini wetu ila tuambiwe na sio kusubiri wazungu waseme ndipo tujue kuwa kumbe sisi bado ni omba omba. Ushauri kwa serikali yetu, ikiwa kuna kitu huna uwezo nacho, hakuna ubaya kuomba kusaidiwa, ila uwe proactive kusema kabla, na sio kusubiri hadi kuaibishwa kwa kuwa ombaomba, ndipo ije kuwa reactive kuwa tuliomba!.

Kuna msemo "beggars cannot be choosers" kumaanisha ukiwa omba omba, huwezi kuchagua usaidiwe na nani na usaidiwe nini, wewe kazi yako ni kutembeza tuu bakuli kuomba tuu, chochote utakachopewa au kusaidiwa unapokea na kazi yako ni kusema tuu "hewala*, " asante". Hivyo Tanzania as beggars as we were, we had no choice but to bow down to IMF and World Bank and beg for mercy.

That was then, Nyerere aliwahi kuwakatalia Waingereza kutuingilia, wakati wa mgogoro wa Jimbo la Biafra nchini Nigeria, na akarejesha misaada yao, na kuvunja uhusiano wetu na wao wa kibalozi.

Pia Nyerere aliwahi kuwakatalia Wajerumani walipotaka kutuchagulia marafiki. Kabla ya Muungano, Tanzania ilikuwa na Ubalozi wa Ujerumani Magharibi, na Zanzibar ilikuwa na ubalozi wa Ujerumani Mashariki. Kutokana na ugomvi wao, hadi kujenga ukuta jiji la Berlin, kila watu na upande wao, nchi ikiwa na ubalozi wa nchi moja nyingine inajitoa. Hiyo tulipoungana na Zanzibar, Tanzania tukawa na balozi zote mbili, Ujerumani Magharibu wakatulazimisha kuwafukuza Ujerumani Mashariki, Nyerere aliwagomea, akawarudishia misaada yao na kuwaambia kama hawataki wao ndio waondoke.

Hata mashirika ya kibeberu ya IMF na WB, aliwakatalia kutokana na masharti yao, ila kibano kilipozidi akaamua, kuliko kugeuka nyuma akageuka jiwe la chumvi, bora ang'atuke na kupisha wengine, Mwinyi alipoingia, Ali bow down kwa kufungulia ruhsa zote.

Mambo ya Nyerere na Mashirika ya kimataifa kama World Bank, yakarejea wakati wa Rais Magufuli tangu ameingia, amebana mianya yote ya upigaji hadi vyuma vimekaza, sasa haya mashirika kwa kuanzia na WB wakaleta za kuleta kwa kutishia nyau watu wazima. Baada ya kukosa mahali popote pa kumshikia bango rais Magufuli, wakatumia baadhi ya kauli zake kama bangusilo la kutunyima mikopo.
Kama hii taarifa ya CNN eti World Bank wanatunyima mkopo wa dola Milioni 300 kuboresha elimu, kwa sababu Rais Magufuli alisema mwanafunzi atakaeshika ujauzito akiwa shule, masomo basi. Serikali yake haitasomesha.

Mwalimu Nyerere aliwahi kuwagomea mabeberu hawa na Mashirika yao ya kimataifa, IMF na WB, japo tuliteseka, bora tuteseke huru kuliko kulishwa tukashibishwa utumwani!. Magufuli aliwagomea na Samia asiwakubalie!

Watanzania tusimame na rais wetu, Samia, kamwe tusikubali, nchi yetu na
rais wetu kupangiwa nini cha kufanya kisa kuogopa kunyimwa mikopo na misaada yenye masharti.

Kama fedha hizo ni za kununulia makatasi ya kura, ballot papers, then tupigie kura uwanjani, watu wasimame nyuma ya mgombea, kwenye urais tuweke picha!, hawa mabeberu wakwende zao na Their blood stinking money!.

Lakini hili la nchi yetu kupangiwa nini cha kufanya ili kuwafurahisha mabeberu, tusilikubali asilan!

Mwalimu Nyerere alipowagomea IMF na World Bank, enzi zile, Tanzania tuliteseka kwa sababu tulikuwa nchi changa, nchi masikini with nothing, lakini sasa Tanzania sio changa tena, sasa Tanzania ni nchi tajiri with everything, madini, gesi asili, ardhi yenye rutuba, vyanzo lukuki vya maji, maliasli za kutosha, watu tunao etc, hivyo hatuwezi kutishwa na yeyote kwa nchi yetu kupangiwa cha kufanya!

Hitimisho
Kwa vile Rais Nyerere na Rais Magufuli walikataa, je tumshauri Rais Samia asikubali misaada ya nchi
mabeberu, yenye masherti itakayo ingilia sovereignty yetu, au kwa vile ni sisi wenyewe ndio tumewaomba msaada wa $ milioni 8 hawa mabereru zitusaidie kwenye uchaguzi, hivyo kwa vile wenye shida ni sisi, hatuna jinsi ni lazima tujinyenyekeze tusaidiwe, na kama sherti ni ka Simba ka Kizimkazi kaachiliwe kutoka kwenye ile cage, nacho kajivinjari kwenye lile jambo letu, then kaachiliwe tuu?.

Jumatano Njema.
Paskali
Ndugu Mayalla ujue ukiandika upuuzi huwa nasikitika sana? Wewe akili unazo ila kuna wakati unazivua ili tu uvae ujinga. Ukitulia naomba usome kwa umakini uone ulichoandika.
 
Tafadhali Mayala, mtendee haki Mwalimu Nyerere, kwa vyovyote vile epuka kabisa kumlinganisha mwanadamu yule wa Mungu na hawa mashetani ya sasa.

Mwalimu Nyerede alikuwa na msimamo usioyumba kwenye masuala ya msingi siyo kwenye ushetani kama huu wa sasa.

Hamuna sovereignity kwenye kuua binadamu wenzako. Baada ya tumio lile la kinyama la Rwanda, Umoja wa mataifa ulipitisha azimio kwa Taifa lolote kuingilia kati kwenye Taifa lolote alimradi kama uingiliaji kati huo ni kwaajili ya kuokoa maisha yaliyo hatarini kupotezwa. Azimio lile linaruhusu hata kutumia nguvu za kijeshi. Ndiyo maana umesikia kuwa Israel imeishambulia Syria kwaajili ya kuwatetea wale Duze ambao wamekuwa wakiuawawa na washirika wa Serikali.

Mathalani watawala wanavyoendelea kuyaweka maisha ya Lisu hatarini, mtu asiye na hatia, itakuwa ni halali kwa nchi yoyote kuwashambulia watawala kijeshi ili kuyanusuru maisha ya Lusu.
 
Back
Top Bottom