Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,684
Ni kweli kabisa
Tunaomba sasa waweke tume huru
Ulitaka asemeje wakati Samia kampa ugali?Wasira kampasua polepole kuhusu awamu.
Ni mambo ya ajabu sana yanatokea hapa -- mimi kukubaluana na wasira
Awamu ni nini? Umekuwa defined wapi? Je, madiwani na wabunge ni wa awamu ipi?Wasira kampasua polepole kuhusu awamu.
Ni mambo ya ajabu sana yanatokea hapa -- mimi kukubaluana na wasira
Comrade, hii haina tofauti na yale matukio ya utekaji na kupotea kwa baadhi ya watu. Kama kiongozi amechagua kunyamaza kimya, maana yake yanamfurahisha/anayaunga mkono.Mkuu Shemeji Tate, Tate Mkuu vitu vingine ni kumuonea tuu bure!, kwani hayo mabango ameweka yeye?!. Mabango waweke wengine kwanini aulizwe yeye?!
P
Awamu ni term limit ya kiongozi mkuu tuu, akifa, awamu yake inakuwa imekatishwa, inaanza awamu mpya ya kiongozi mpya.Awamu ni nini? Umekuwa defined wapi? Je, madiwani na wabunge ni wa awamu ipi?
Ni kweli Samia kampa ugali --- lakini hoja aliyotumia imejibu swali la polepole mkuu.Ulitaka asemeje wakati Samia kampa ugali?
Naam, wewe umetafakari vyema --- kama hakuna sehemu maalumu inayotupa muongozo rasmi awamu ni nini, basi yeyote mwenye ubavu anaweza toa muongozo wa "awamu" ni nini.Awamu ni nini? Umekuwa defined wapi? Je, madiwani na wabunge ni wa awamu ipi?
Huu muongozo unanukuu kutoka wapi? Tupe chanzo.Awamu ni term limit ya kiongozi mkuu tuu, akifa, awamu yake inakuwa imekatishwa, inaanza awamu mpya ya kiongozi mpya.
Kwa Bunge, wabunge na madiwani wao awamu yao inaendelea!
Huu ndio msimamo wa CCM !
Ukweli ni Rais Samia ameingia kuikamilisha awamu ya 5, japo serikali yake inaitwa awamu ya 6, ukweli ni serikali ya mpito kukamilisha awamu ya 5, hata ilani ni ilani ya awamu ya 5. Awamu ya 6 ndio inakwenda kuanza.
P
Wapambe wake ndio wanamshawishi na kudeal na critics wote wa mama.mara nyingi ukipata uongozi kimazabe unakuwa hujiamini unaanza kutengeneza makundi,ushirikina hata vikundi vya kunyamazisha wapinzani wako.Haahaa sasa kwa nn awabambikizie wapinzani wake kesi za uwongo?
Bila ushirikina na wizi CCM hutoboiWapambe wake ndio wanamshawishi na kudeal na critics wote wa mama.mara nyingi ukipata uongozi kimazabe unakuwa hujiamini unaanza kutengeneza makundi,ushirikina hata vikundi vya kunyamazisha wapinzani wako.
Kweli tupu.The east african wameandika juzi kuwa wabunge wa afrika mashariki wapo tayari kuua ili wapate ubunge kwa sababu watapora na kuuza ardhi,mikopo benki na kila aina ya uharamia pasipo kuchukuliwa hatua.Bila ushirikina na wizi CCM hutoboi
Hahahaha nacheka kama mazuri. Nadhani ni muda wa kutumia kauli nzuri.Huyu sokwe kuna siku atakuja kuingizwa kidole sehemu ya haja kubwa
Wanabodi
Watch TBC live
Akizungumza katika kipindi cha MIZANI, Stephen Wasira amesema alitembea kanda zote za Tanzania kupima joto la siasa. Aidha amesema kwa utafiti wa AfroBarometer uliofanyika mwaka 2024 umeonesha kuwa Rais Samia anakubalika kwa 70% wakati Rais wa Marekani, Donald Trump anakubalika kwa 36%
View: https://www.youtube.com/live/ErtbayqwtiA?si=ddylr7cVS6mltSIL
Paskali
Wanabodi
Watch TBC live
Akizungumza katika kipindi cha MIZANI, Stephen Wasira amesema alitembea kanda zote za Tanzania kupima joto la siasa. Aidha amesema kwa utafiti wa AfroBarometer uliofanyika mwaka 2024 umeonesha kuwa Rais Samia anakubalika kwa 70% wakati Rais wa Marekani, Donald Trump anakubalika kwa 36%
View: https://www.youtube.com/live/ErtbayqwtiA?si=ddylr7cVS6mltSIL
Paskali