GE2025 Stephen Wasira: Rais Samia anakubalika kwa 70% kuliko hata Trump!

GE2025 Stephen Wasira: Rais Samia anakubalika kwa 70% kuliko hata Trump!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wasira ataka maridhiano Chadema washiriki uchaguzi mkuu, Chadema wanaonekana kama hawataki!.
P
alinya study ya aina gani?
alifanya lini na wapi ?
lengo lake lilikuwa nini?
aliwauliza watu maswali ya namna gani
aliwauliza watu wenye umri gani, elimu gani, wako wapi?
sample ilikuwa na watu wangapi?
alifanyia wapi study yake na ilikuwa lini hadi lini?
aliuliza maswali gani yako wapi kwa uthibitisho
takwimu zilichambuliwaje na nani
je alizingatia miiko ya utafiti? kama vile kutokutaja na kutoa taarifa za washiriki nk
maswali ni mengi, itoshe tu kusema WASIRA HAJUI LOLOTE KUHUSU UTAFITI
 
Wanabodi
Watch TBC live

Akizungumza katika kipindi cha MIZANI, Stephen Wasira amesema alitembea kanda zote za Tanzania kupima joto la siasa. Aidha amesema kwa utafiti wa AfroBarometer uliofanyika mwaka 2024 umeonesha kuwa Rais Samia anakubalika kwa 70% wakati Rais wa Marekani, Donald Trump anakubalika kwa 36%



View: https://www.youtube.com/live/ErtbayqwtiA?si=ddylr7cVS6mltSIL

Paskali

ANakubalika na nani..? Hawa wababu ndio Mungu atusaidie kuwapumzisha kwa lazima
 
Kweli tupu.The east african wameandika juzi kuwa wabunge wa afrika mashariki wapo tayari kuua ili wapate ubunge kwa sababu watapora na kuuza ardhi,mikopo benki na kila aina ya uharamia pasipo kuchukuliwa hatua.
Sure unadhani wanakimbilia nini bungeni? kwenda kuiba mali za umma na kutajirika
 
Wanabodi
Watch TBC live

Akizungumza katika kipindi cha MIZANI, Stephen Wasira amesema alitembea kanda zote za Tanzania kupima joto la siasa. Aidha amesema kwa utafiti wa AfroBarometer uliofanyika mwaka 2024 umeonesha kuwa Rais Samia anakubalika kwa 70% wakati Rais wa Marekani, Donald Trump anakubalika kwa 36%

View: https://www.youtube.com/live/ErtbayqwtiA?si=ddylr7cVS6mltSIL

Paskali

Ni katika kukumbushana tuu, with 7 days to go kabla ya Uchaguzi, nawakumbusha tuu niliwahi kiandika nini humu kumhusu Rais Samia Suluhu Hassan, na uwezo wake wa urais wa JMT.

Hiyo October 29 tukiamua kumpa tena mitano mingine, then atafanya better and better!
Tumpe!.

Paskali.
 
Wanabodi
Watch TBC live

Akizungumza katika kipindi cha MIZANI, Stephen Wasira amesema alitembea kanda zote za Tanzania kupima joto la siasa. Aidha amesema kwa utafiti wa AfroBarometer uliofanyika mwaka 2024 umeonesha kuwa Rais Samia anakubalika kwa 70% wakati Rais wa Marekani, Donald Trump anakubalika kwa 36%

Paskali
Hili linakwenda kuthibitika October 29
P
 
Back
Top Bottom