GE2025 Stephen Wasira: Rais Samia anakubalika kwa 70% kuliko hata Trump!

GE2025 Stephen Wasira: Rais Samia anakubalika kwa 70% kuliko hata Trump!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
59,804
Reaction score
134,593
Wanabodi
Watch TBC live

Akizungumza katika kipindi cha MIZANI, Stephen Wasira amesema alitembea kanda zote za Tanzania kupima joto la siasa. Aidha amesema kwa utafiti wa AfroBarometer uliofanyika mwaka 2024 umeonesha kuwa Rais Samia anakubalika kwa 70% wakati Rais wa Marekani, Donald Trump anakubalika kwa 36%



View: https://www.youtube.com/live/ErtbayqwtiA?si=ddylr7cVS6mltSIL

Paskali
 
images (2).jpeg
 
Promo ya Samia ni kubwa kuliko utendaji wake, Machawa wanamuumbia sifa, Mabango yanamtukuza, Pikipiki zina picha yake, majiko na baiskeli zina nembo yake, na bado ameshindwa kuteka mioyo ya watanzania, Samia watendee mema watanzania masikini ili siku ya umauti wako uombolezwe na watu wengi, kumbuka Magu alipofariki aliliwa na wengi kiasi cha watu 45 kufariki kwa mkanyagano pale uwanja wa Mkapa.
 
Back
Top Bottom