GE2025 Stephen Wasira: Rais Samia anakubalika kwa 70% kuliko hata Trump!

GE2025 Stephen Wasira: Rais Samia anakubalika kwa 70% kuliko hata Trump!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Trump mmeshamuona mjomba wenu..............siku hivi vyuma vikitua hapo Magogoni mtaacha mazoea ya kibwege.
da347eddf71973c4a5a468051017e6b1.jpg
 
Wasira ataka maridhiano Chadema washiriki uchaguzi mkuu, Chadema wanaonekana kama hawataki!.
P
CHADEMA wanataka REFORMS ndo washiriki,yeye hataki REFORMS anataka waingie kwenye maridhiano feki,halafu waue watu wauwawe kwa kulalamikia ukosefu wa haki,wao waingie tu na CHAUMA na vyama vingine shikizi wapite na wawaingize wachache bungeni kuwaridhisha.
 

Promo ya Samia ni kubwa kuliko utendaji wake, Machawa wanamuumbia sifa, Mabango yanamtukuza, Pikipiki zina picha yake, majiko na baiskeli zina nembo yake, na bado ameshindwa kuteka mioyo ya watanzania, Samia watendee mema watanzania masikini ili siku ya umauti wako uombolezwe na watu wengi, kumbuka Magu alipofariki aliliwa na wengi kiasi cha watu 45 kufariki kwa mkanyagano pale uwanja wa Mkapa.
Nimenukuu
 
Nyuma ya kipimdi, mtangazaji, mgeni(wWassira) yupo MTU/kikundi cha Watu ambao wanaendesha "onyesho/igizo" hili.

Unajua meaning Ndugai alimwambia Polepole aachane na kipimdi chake chako cha "shule ya uongozi' au watamuua!
Ulijalibu kujifunza kingereza?
 
Sasa kama anakubalika kwa 70% kwa nini anaogopa kufanya mabadiliko kwenye tume ya uchaguzi?

Kwa nini hakemei watu kupotezwa, kutekwa, kuuwawa, kufungwa kwa wapinzani wake? Kwa nini amewafanyia figisu akina Luhaga Mpina? Kwa nini mabango yake yametapakaa kila kona ya nchi?
 
Back
Top Bottom