PNA: Makamo wa Rais Dr Nchimbi, atamsaidia sana Rais Samia na Taifa, Ni Mkweli Anayeweza Kumweleza Rais Ukweli!. Ili Kumsaidia Aomba Rais Aombewe!

Wanabodi,

Hii ni safu yangu mpya inayoitwa PMNA, kirefu chake ni Pasco Mayalla News Analysis. Tamka (Piemeniei)

Hapa nitakuwa nawawekea News Analysis ya habari kubwa yoyote yenye maslahi kwa taifa.

PMNA ni kufuatia kuwepo kwa gaps kwenye media zetu, kuanzia mageti, radio, TV na online media, hakuna uchambuzi wa habari on serious issues zinazolikabili taifa letu.

Kufuatia uzoefu wangu wa long experience ya zaidi ya miaka 30 newsroom, nina uwezo wa kufanya News analysis ya habari yoyote.

Kwenye News analysis yangu
  1. Kwanza nitakuwekea News yenyewe
  2. Kisha nitakuchambulia kilichosemwa au kuripotiwa kwenye News hiyo
  3. Nitakuchambulia what does it mean
  4. Mwisho nitamalizia umuhimu wake kwa maslahi ya taifa.
Habari ya kwanza kwa PMNA kwenye bandiko hili ni jinsi Makamo wa Rais Dr Emmanuel Nchimbi, atakavyo msaidia sana Rais Samia, na kulisaidia Taifa, kwasababu huyu ni mtu mkweli asiye papasa wala kumungunya maneno, kwa maoni yangu, huyu ndiye kiongozi pekee anayeweza kumsaidia Rais Samia kwa kumweleza ukweli kuhusu mapungufu yake as a human being, hakuna mkamilifu !.

Katika kumsaidia Rais Samia, Dr Nchimbi amenote madhaifu fulani, hivyo amewaomba viongozi wa dini, wamuombee Rais Samia.

Isikilize hii clip ili ujue VP Dr. Nchimbi ametaka Rais Samia aombewe nini
View: https://youtu.be/-eNen3NlaMc?si=6RgS59my73NLdLwg

Alichosema Makamu wa Rais, Balozi Dr. Emmanuel Nchimbi, anatoa wito kwa viongozi wa dini kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan kwa mambo yafuatayo:
  • Afya na Maisha Marefu: Anawaomba waendelee kumuombea Rais ili Mungu amjalie afya njema na maisha marefu ya kuliongoza taifa [00:39].
  • Busara na Hekima: Ni muhimu kumuombea ili aendelee kupata busara na hekima katika maamuzi yake ya kila siku [00:47].
  • Wasaidizi Waaminifu: Anasisitiza umuhimu wa kumuombea Rais apate wasaidizi ambao ni waaminifu, wakweli, na wanaoipenda nchi kwa dhati, wenye nia ya kuona maendeleo ya kweli [01:03]. Hii maana yake ni Dr Nchimbi, ame note mapungufu kwa baadhi ya wasaidizi wa Rais Samia, sio waaminifu, sio wakweli!. Hili la wasaidizi wa Rais niliwahi kulizungumza humu Wasaidizi wa Magufuli walimuogopa hadi kushindwa kumsaidia, Je Wasaidizi wa Samia wanamsaidia kwa kumweleza ukweli au nao wanamuogopa? Tumsaidie au..? View attachment 3540846
  • Ulinzi dhidi ya Watu Wabaya: Anaomba Mungu ampe Rais "macho ya tai" ili aweze kuwatambua watu wabaya, wachonganishi, mafitini, waongo, na wezi [01:20]. Japo Rais Samia aliwahi kujinasibu kuwa japo macho yake yameregea lakini anaona sana,
    View: https://youtu.be/TaaXyzqd9bQ?si=Y6UjlEzMRUzzNL-w
  • hapa Dr Nchimbi amenote mapungufu ya hayo macho malegevu Rais Samia, hayana uwezo wa kuwabaini na kuwatambua watu wabaya, wachonganishi, mafitini, waongo, na wezi na mafisadi, hivyo ameomba Rais Samia aombewe Mungu ampe jicho la Tai, hili ni jicho la tatu.
  • Usalama wa Ikulu: Dr. Nchimbi anaomba maombi yasaidie "kufunga mageti ya Ikulu" dhidi ya watu wenye nia mbaya, ubadhirifu, au mawazo ya kumwaga damu, ili wasiweze hata kusogea karibu na Rais [01:49]. Hapa Dr Nchimbi anamaanisha pale ikulu kuna watu wenye nia mbaya, ubadhirifu, au mawazo ya kumwaga damu huwa wanaingia hivyo ameomba Mungu alinde geti la Ikulu, watu hao, wasikaribie Ikulu yetu, Mfano yule Bonge Nyanya mmwaga manoti wa Zimbabwe, amekuja mara 4 Ikulu yetu na kupiga mapicha na rais wetu, mapicha mengine ni very compromising, huku hakuna taarifa anakuja kwa issue gani, na siku akiondoka, anamwaga minoti ya dala 💯 💯 airport nzima, watu wanapanga foleni kupokea bakhashsh. Watu wa type hii wasikaribie kabisa patakatifu petu.

Video hii inasisitiza kuwa utulivu wa nchi unategemea sana utulivu na usalama wa Rais [00:30]. Ukimtikisa rais ni umeitikisa nchi!

What does this mean
Rais Samia ni binadamu, ana mapungufu yake, tunapaswa kumuomba Mungu amsaidie na kuisaidia nchi yetu.

My Take,
Japo Makamu Rais Balozi Dr Nchimbi amewaomba viongozi wa dini ndio wamuombee Rais, mimi Pascal Mayalla nasema ni Watanzania wote Wazalendo wa ukweli wa taifa letu, Tumuombee Rais Samia.

Mungu Mbariki Rais Samia

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali

Tulijua na Leo alikuwa anatuma ujumbe mzito
 
Japo Makamu. Rais Balozi Dr Nchimbi amewaomba viongozi wa dini ndio wamuombee Rais, mimi Pascal Mayalla nasema ni Watanzania wote Wazalendo wa ukweli wa taifa letu, Tumuombee Rais Samia.

Mungu Mbariki Rais Samia

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali

We mzee wangu ,nilijua baasha za kipindi kile mmeenda Ruvuma , hata kabla ya uyu , mnaemwita makamu hajawa , so lilikua swala la mda kuuona unafiki wako, sasa tunauona.

Itoshe sema tu we mzee ni tapeli wa fikra za watu/ watanzania , Mungu anakuona , ni ukuu mkubwa anza Shughulika na wewe ,imekua , mpaka nafikia hatua hii kama mzee wangu ninayekuheshimu , nimechoka sana , na nakuchukia, msema ukweli mpenzi wa Mungu
 
Wanabodi,

Hii ni safu yangu mpya inayoitwa PMNA, kirefu chake ni Pasco Mayalla News Analysis. Tamka (Piemeniei)

Hapa nitakuwa nawawekea News Analysis ya habari kubwa yoyote yenye maslahi kwa taifa.

PMNA ni kufuatia kuwepo kwa gaps kwenye media zetu, kuanzia mageti, radio, TV na online media, hakuna uchambuzi wa habari on serious issues zinazolikabili taifa letu.

Kufuatia uzoefu wangu wa long experience ya zaidi ya miaka 30 newsroom, nina uwezo wa kufanya News analysis ya habari yoyote.

Kwenye News analysis yangu
  1. Kwanza nitakuwekea News yenyewe
  2. Kisha nitakuchambulia kilichosemwa au kuripotiwa kwenye News hiyo
  3. Nitakuchambulia what does it mean
  4. Mwisho nitamalizia umuhimu wake kwa maslahi ya taifa.
Habari ya kwanza kwa PMNA kwenye bandiko hili ni jinsi Makamo wa Rais Dr Emmanuel Nchimbi, atakavyo msaidia sana Rais Samia, na kulisaidia Taifa, kwasababu huyu ni mtu mkweli asiye papasa wala kumungunya maneno, kwa maoni yangu, huyu ndiye kiongozi pekee anayeweza kumsaidia Rais Samia kwa kumweleza ukweli kuhusu mapungufu yake as a human being, hakuna mkamilifu !.

Katika kumsaidia Rais Samia, Dr Nchimbi amenote madhaifu fulani, hivyo amewaomba viongozi wa dini, wamuombee Rais Samia.

Isikilize hii clip ili ujue VP Dr. Nchimbi ametaka Rais Samia aombewe nini
View: https://youtu.be/-eNen3NlaMc?si=6RgS59my73NLdLwg

Alichosema Makamu wa Rais, Balozi Dr. Emmanuel Nchimbi, anatoa wito kwa viongozi wa dini kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan kwa mambo yafuatayo:
  • Afya na Maisha Marefu: Anawaomba waendelee kumuombea Rais ili Mungu amjalie afya njema na maisha marefu ya kuliongoza taifa [00:39].
  • Busara na Hekima: Ni muhimu kumuombea ili aendelee kupata busara na hekima katika maamuzi yake ya kila siku [00:47].
  • Wasaidizi Waaminifu: Anasisitiza umuhimu wa kumuombea Rais apate wasaidizi ambao ni waaminifu, wakweli, na wanaoipenda nchi kwa dhati, wenye nia ya kuona maendeleo ya kweli [01:03]. Hii maana yake ni Dr Nchimbi, ame note mapungufu kwa baadhi ya wasaidizi wa Rais Samia, sio waaminifu, sio wakweli!. Hili la wasaidizi wa Rais niliwahi kulizungumza humu Wasaidizi wa Magufuli walimuogopa hadi kushindwa kumsaidia, Je Wasaidizi wa Samia wanamsaidia kwa kumweleza ukweli au nao wanamuogopa? Tumsaidie au..? View attachment 3540846
  • Ulinzi dhidi ya Watu Wabaya: Anaomba Mungu ampe Rais "macho ya tai" ili aweze kuwatambua watu wabaya, wachonganishi, mafitini, waongo, na wezi [01:20]. Japo Rais Samia aliwahi kujinasibu kuwa japo macho yake yameregea lakini anaona sana,
    View: https://youtu.be/TaaXyzqd9bQ?si=Y6UjlEzMRUzzNL-w
  • hapa Dr Nchimbi amenote mapungufu ya hayo macho malegevu Rais Samia, hayana uwezo wa kuwabaini na kuwatambua watu wabaya, wachonganishi, mafitini, waongo, na wezi na mafisadi, hivyo ameomba Rais Samia aombewe Mungu ampe jicho la Tai, hili ni jicho la tatu.
  • Usalama wa Ikulu: Dr. Nchimbi anaomba maombi yasaidie "kufunga mageti ya Ikulu" dhidi ya watu wenye nia mbaya, ubadhirifu, au mawazo ya kumwaga damu, ili wasiweze hata kusogea karibu na Rais [01:49]. Hapa Dr Nchimbi anamaanisha pale ikulu kuna watu wenye nia mbaya, ubadhirifu, au mawazo ya kumwaga damu huwa wanaingia hivyo ameomba Mungu alinde geti la Ikulu, watu hao, wasikaribie Ikulu yetu, Mfano yule Bonge Nyanya mmwaga manoti wa Zimbabwe, amekuja mara 4 Ikulu yetu na kupiga mapicha na rais wetu, mapicha mengine ni very compromising, huku hakuna taarifa anakuja kwa issue gani, na siku akiondoka, anamwaga minoti ya dala 💯 💯 airport nzima, watu wanapanga foleni kupokea bakhashsh. Watu wa type hii wasikaribie kabisa patakatifu petu.

Video hii inasisitiza kuwa utulivu wa nchi unategemea sana utulivu na usalama wa Rais [00:30]. Ukimtikisa rais ni umeitikisa nchi!

What does this mean
Rais Samia ni binadamu, ana mapungufu yake, tunapaswa kumuomba Mungu amsaidie na kuisaidia nchi yetu.

My Take,
Japo Makamu Rais Balozi Dr Nchimbi amewaomba viongozi wa dini ndio wamuombee Rais, mimi Pascal Mayalla nasema ni Watanzania wote Wazalendo wa ukweli wa taifa letu, Tumuombee Rais Samia.

Mungu Mbariki Rais Samia

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali

Hivi kiswahili sanifu cha 'vice' ni 'makamo' au 'makamu'?

Navyoelewa mimi, neno makamo linatumiwa kuelezea kundi la umri wa mtu!

Bakita wanasemaje!
 
Hivi Nchimbi ni wa kumpa sifa zote hizi au 'unamgimba'?

Nchimbi aliyeasisi migogoro ya kitaifa kwa kukataa maridhiano na wapinzani pamoja na maombi yao ya 'tume huru' kwa maelezo kuwa hadi uchaguzi upite, leo kwako kawa mtakatifu kiasi hiki, huoni kuwa unatonesha vidonda!

Ninyi waandishi wa habari, mnawachukuliaje wananchi wa nchi hii?

Migogoro yote ya mauaji ya halaiki ya MO29 chanzo ni yeye kwa kupandisha hasira ya umma, wenye akili wanajua hata wewe pia unajua.

Sasa haya mafuta kwa mgongo wa chupa unampaka kwa faida ya nani na inakusaidia nini wewe binafsi?

Angalia comments za wadau uone namna watu walivyokushusha hadhi na heshima yako kutokana na kukingia kifua utawala huu wa kiharamia!

Nilidhani baada ya mauaji haya ya MO29 utageuka na kuwa upande wa wananchi, lakini wapi!

Hivi huwa mnalishwa nini hadi kukausha kabisa busara mlizojaliwa na Mungu, ni hizo bahasha za khaki?

Muonage aibu!
 
Je huyo Samia yuko tayari kupokea ushauri na kuambiwa ukweli? Huko CCM ukweli hubatizwa na kuitwa uchochezi. Na pia Nchimbi ni Mkatoliki na Samia ameonyesha wazi wazi kuwa ana allergy na Kanisa hilo jee hatachukulia ukweli na ushauri wa Makamu wake kuwa ni ***** ***** za Kanisa Katoliki kwa utawala wake? Pascal Mayalla muongozo tafadhali.
 
Nchimbi hawezi kuua mtu. Nchimbi ni kiongozi kwa kuzaliwa. Nchimbi ni mtu safi.

Nje ya mada: Wanaohusika na Mauaji ya Oktoba 29, ni huyo Bimkubwa, Mstaafu wa Mipango, Aigipii, Dogo Bashungwa, Madelu, Mstaafu Kupata Majaliwa, Bosi wa JW, Spy Chief, RPisii wote, ZCO- Mafwele na Makamanda wote wa Polisi Mwanza, Mbeya na Dar-es-salaam.

Nchimbi hakuwa na kiapo, hakuwa na cheo, mamlaka wala madaraka yeyote ya kuamuru watu wauwawe mchana kweupe. Waliokuwa na vyeo ndio walioua watu. ICC Nchimbi hawezi kupelekwa hakua na kiapo chochote kikatiba.

Utabiri: Nchimbi atakuwa raisi "by de facto" kabla ya 2030.
 
Its a bit too late for this analysis of yours to take effects.

For what has taken place there is no turning back. Waswahili husema ukilikoroga ni lazima ulinywe.
Kiongozi kwanza unatakiwa uwe na fikra maono na maamuzi yako binafsi.na sio kusikiliza akina Bashite. Kwa ukatilia na mambo anayotuhumiwa nayo bashite ambaye ndio muasisi wa matask force ya kubeba bunduki kuvaa nguo nyeusi kutesa watu. Huyu ndio archtecture wa kilichotokea.

Mhusika anayeombewa yuko tayari maana maombi yanahitaji toba ukweli na uwajibikaji.
 
Wanabodi,

Hii ni safu yangu mpya inayoitwa PMNA, kirefu chake ni Pasco Mayalla News Analysis. Tamka (Piemeniei)

Hapa nitakuwa nawawekea News Analysis ya habari kubwa yoyote yenye maslahi kwa taifa.

PMNA ni kufuatia kuwepo kwa gaps kwenye media zetu, kuanzia mageti, radio, TV na online media, hakuna uchambuzi wa habari on serious issues zinazolikabili taifa letu.

Kufuatia uzoefu wangu wa long experience ya zaidi ya miaka 30 newsroom, nina uwezo wa kufanya News analysis ya habari yoyote.

Kwenye News analysis yangu
  1. Kwanza nitakuwekea News yenyewe
  2. Kisha nitakuchambulia kilichosemwa au kuripotiwa kwenye News hiyo
  3. Nitakuchambulia what does it mean
  4. Mwisho nitamalizia umuhimu wake kwa maslahi ya taifa.
Habari ya kwanza kwa PMNA kwenye bandiko hili ni jinsi Makamo wa Rais Dr Emmanuel Nchimbi, atakavyo msaidia sana Rais Samia, na kulisaidia Taifa, kwasababu huyu ni mtu mkweli asiye papasa wala kumungunya maneno, kwa maoni yangu, huyu ndiye kiongozi pekee anayeweza kumsaidia Rais Samia kwa kumweleza ukweli kuhusu mapungufu yake as a human being, hakuna mkamilifu !.

Katika kumsaidia Rais Samia, Dr Nchimbi amenote madhaifu fulani, hivyo amewaomba viongozi wa dini, wamuombee Rais Samia.

Isikilize hii clip ili ujue VP Dr. Nchimbi ametaka Rais Samia aombewe nini
View: https://youtu.be/-eNen3NlaMc?si=6RgS59my73NLdLwg

Alichosema Makamu wa Rais, Balozi Dr. Emmanuel Nchimbi, anatoa wito kwa viongozi wa dini kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan kwa mambo yafuatayo:
  • Afya na Maisha Marefu: Anawaomba waendelee kumuombea Rais ili Mungu amjalie afya njema na maisha marefu ya kuliongoza taifa [00:39].
  • Busara na Hekima: Ni muhimu kumuombea ili aendelee kupata busara na hekima katika maamuzi yake ya kila siku [00:47].
  • Wasaidizi Waaminifu: Anasisitiza umuhimu wa kumuombea Rais apate wasaidizi ambao ni waaminifu, wakweli, na wanaoipenda nchi kwa dhati, wenye nia ya kuona maendeleo ya kweli [01:03]. Hii maana yake ni Dr Nchimbi, ame note mapungufu kwa baadhi ya wasaidizi wa Rais Samia, sio waaminifu, sio wakweli!. Hili la wasaidizi wa Rais niliwahi kulizungumza humu Wasaidizi wa Magufuli walimuogopa hadi kushindwa kumsaidia, Je Wasaidizi wa Samia wanamsaidia kwa kumweleza ukweli au nao wanamuogopa? Tumsaidie au..? View attachment 3540846
  • Ulinzi dhidi ya Watu Wabaya: Anaomba Mungu ampe Rais "macho ya tai" ili aweze kuwatambua watu wabaya, wachonganishi, mafitini, waongo, na wezi [01:20]. Japo Rais Samia aliwahi kujinasibu kuwa japo macho yake yameregea lakini anaona sana,
    View: https://youtu.be/TaaXyzqd9bQ?si=Y6UjlEzMRUzzNL-w
  • hapa Dr Nchimbi amenote mapungufu ya hayo macho malegevu Rais Samia, hayana uwezo wa kuwabaini na kuwatambua watu wabaya, wachonganishi, mafitini, waongo, na wezi na mafisadi, hivyo ameomba Rais Samia aombewe Mungu ampe jicho la Tai, hili ni jicho la tatu.
  • Usalama wa Ikulu: Dr. Nchimbi anaomba maombi yasaidie "kufunga mageti ya Ikulu" dhidi ya watu wenye nia mbaya, ubadhirifu, au mawazo ya kumwaga damu, ili wasiweze hata kusogea karibu na Rais [01:49]. Hapa Dr Nchimbi anamaanisha pale ikulu kuna watu wenye nia mbaya, ubadhirifu, au mawazo ya kumwaga damu huwa wanaingia hivyo ameomba Mungu alinde geti la Ikulu, watu hao, wasikaribie Ikulu yetu, Mfano yule Bonge Nyanya mmwaga manoti wa Zimbabwe, amekuja mara 4 Ikulu yetu na kupiga mapicha na rais wetu, mapicha mengine ni very compromising, huku hakuna taarifa anakuja kwa issue gani, na siku akiondoka, anamwaga minoti ya dala 💯 💯 airport nzima, watu wanapanga foleni kupokea bakhashsh. Watu wa type hii wasikaribie kabisa patakatifu petu.

Video hii inasisitiza kuwa utulivu wa nchi unategemea sana utulivu na usalama wa Rais [00:30]. Ukimtikisa rais ni umeitikisa nchi!

What does this mean
Rais Samia ni binadamu, ana mapungufu yake, tunapaswa kumuomba Mungu amsaidie na kuisaidia nchi yetu.

My Take,
Japo Makamu Rais Balozi Dr Nchimbi amewaomba viongozi wa dini ndio wamuombee Rais, mimi Pascal Mayalla nasema ni Watanzania wote Wazalendo wa ukweli wa taifa letu, Tumuombee Rais Samia.

Mungu Mbariki Rais Samia

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali

Umeezeka vibaya na njaa yako Mayala

Ukweli unaopaswa kuambiwa Samia
Ni kwamba kama amiri Jeshi mkuu ameshindwa kuwalinda raia wake kinyume chake raia wanatekwa na kuuwawa chini ya uongozi wake

Hivyo anapaswa aidha ajiuzulu au atukabidhi watekaji na wauaji mara Moja kwenye mahakama huru
 
Nchimbi hawezi kuua mtu. Nchimbi ni kiongozi kwa kuzaliwa. Nchimbi ni mtu safi.

Nje ya mada: Wanaohusika na Mauaji ya Oktoba 29, ni huyo Bimkubwa, Mstaafu wa Mipango, Aigipii, Dogo Bashungwa, Madelu, Mstaafu Kupata Majaliwa, Bosi wa JW, Spy Chief, RPisii wote, ZCO- Mafwele na Makamanda wote wa Polisi Mwanza, Mbeya na Dar-es-salaam.

Nchimbi hakuwa na kiapo, hakuwa na cheo, mamlaka wala madaraka yeyote ya kuamuru watu wauwawe mchana kweupe. Waliokuwa na vyeo ndio walioua watu. ICC Nchimbi hawezi kupelekwa hakua na kiapo chochote kikatiba.

Utabiri: Nchimbi atakuwa raisi "by de facto" kabla ya 2030.
Na ingependeza angejiuzuru na urais angeupata kiurahisi sana rejea mwinyi labda kama anausubili wakwenye katiba kama atakuwa na code
 
Wanabodi,

Hii ni safu yangu mpya inayoitwa PMNA, kirefu chake ni Pasco Mayalla News Analysis. Tamka (Piemeniei)

Hapa nitakuwa nawawekea News Analysis ya habari kubwa yoyote yenye maslahi kwa taifa.

PMNA ni kufuatia kuwepo kwa gaps kwenye media zetu, kuanzia mageti, radio, TV na online media, hakuna uchambuzi wa habari on serious issues zinazolikabili taifa letu.

Kufuatia uzoefu wangu wa long experience ya zaidi ya miaka 30 newsroom, nina uwezo wa kufanya News analysis ya habari yoyote.

Kwenye News analysis yangu
  1. Kwanza nitakuwekea News yenyewe
  2. Kisha nitakuchambulia kilichosemwa au kuripotiwa kwenye News hiyo
  3. Nitakuchambulia what does it mean
  4. Mwisho nitamalizia umuhimu wake kwa maslahi ya taifa.
Habari ya kwanza kwa PMNA kwenye bandiko hili ni jinsi Makamo wa Rais Dr Emmanuel Nchimbi, atakavyo msaidia sana Rais Samia, na kulisaidia Taifa, kwasababu huyu ni mtu mkweli asiye papasa wala kumungunya maneno, kwa maoni yangu, huyu ndiye kiongozi pekee anayeweza kumsaidia Rais Samia kwa kumweleza ukweli kuhusu mapungufu yake as a human being, hakuna mkamilifu !.

Katika kumsaidia Rais Samia, Dr Nchimbi amenote madhaifu fulani, hivyo amewaomba viongozi wa dini, wamuombee Rais Samia.

Isikilize hii clip ili ujue VP Dr. Nchimbi ametaka Rais Samia aombewe nini
View: https://youtu.be/-eNen3NlaMc?si=6RgS59my73NLdLwg

Alichosema Makamu wa Rais, Balozi Dr. Emmanuel Nchimbi, anatoa wito kwa viongozi wa dini kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan kwa mambo yafuatayo:
  • Afya na Maisha Marefu: Anawaomba waendelee kumuombea Rais ili Mungu amjalie afya njema na maisha marefu ya kuliongoza taifa [00:39].
  • Busara na Hekima: Ni muhimu kumuombea ili aendelee kupata busara na hekima katika maamuzi yake ya kila siku [00:47].
  • Wasaidizi Waaminifu: Anasisitiza umuhimu wa kumuombea Rais apate wasaidizi ambao ni waaminifu, wakweli, na wanaoipenda nchi kwa dhati, wenye nia ya kuona maendeleo ya kweli [01:03]. Hii maana yake ni Dr Nchimbi, ame note mapungufu kwa baadhi ya wasaidizi wa Rais Samia, sio waaminifu, sio wakweli!. Hili la wasaidizi wa Rais niliwahi kulizungumza humu Wasaidizi wa Magufuli walimuogopa hadi kushindwa kumsaidia, Je Wasaidizi wa Samia wanamsaidia kwa kumweleza ukweli au nao wanamuogopa? Tumsaidie au..? View attachment 3540846
  • Ulinzi dhidi ya Watu Wabaya: Anaomba Mungu ampe Rais "macho ya tai" ili aweze kuwatambua watu wabaya, wachonganishi, mafitini, waongo, na wezi [01:20]. Japo Rais Samia aliwahi kujinasibu kuwa japo macho yake yameregea lakini anaona sana,
    View: https://youtu.be/TaaXyzqd9bQ?si=Y6UjlEzMRUzzNL-w
  • hapa Dr Nchimbi amenote mapungufu ya hayo macho malegevu Rais Samia, hayana uwezo wa kuwabaini na kuwatambua watu wabaya, wachonganishi, mafitini, waongo, na wezi na mafisadi, hivyo ameomba Rais Samia aombewe Mungu ampe jicho la Tai, hili ni jicho la tatu.
  • Usalama wa Ikulu: Dr. Nchimbi anaomba maombi yasaidie "kufunga mageti ya Ikulu" dhidi ya watu wenye nia mbaya, ubadhirifu, au mawazo ya kumwaga damu, ili wasiweze hata kusogea karibu na Rais [01:49]. Hapa Dr Nchimbi anamaanisha pale ikulu kuna watu wenye nia mbaya, ubadhirifu, au mawazo ya kumwaga damu huwa wanaingia hivyo ameomba Mungu alinde geti la Ikulu, watu hao, wasikaribie Ikulu yetu, Mfano yule Bonge Nyanya mmwaga manoti wa Zimbabwe, amekuja mara 4 Ikulu yetu na kupiga mapicha na rais wetu, mapicha mengine ni very compromising, huku hakuna taarifa anakuja kwa issue gani, na siku akiondoka, anamwaga minoti ya dala 💯 💯 airport nzima, watu wanapanga foleni kupokea bakhashsh. Watu wa type hii wasikaribie kabisa patakatifu petu.

Video hii inasisitiza kuwa utulivu wa nchi unategemea sana utulivu na usalama wa Rais [00:30]. Ukimtikisa rais ni umeitikisa nchi!

What does this mean
Rais Samia ni binadamu, ana mapungufu yake, tunapaswa kumuomba Mungu amsaidie na kuisaidia nchi yetu.

My Take,
Japo Makamu Rais Balozi Dr Nchimbi amewaomba viongozi wa dini ndio wamuombee Rais, mimi Pascal Mayalla nasema ni Watanzania wote Wazalendo wa ukweli wa taifa letu, Tumuombee Rais Samia.

Mungu Mbariki Rais Samia

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali

wewe ndio wale mliobakia mnasimulia tu baba yetu alikuwaga mtu wa system!

kila.kitu mnaona kama nyie tu ndio wakongwe kazini kumbe ushamba tu
 
Mfano yule Bonge Nyanya mmwaga manoti wa Zimbabwe, amekuja mara 4 Ikulu yetu na kupiga mapicha na rais wetu, mapicha mengine ni very compromising, huku hakuna taarifa anakuja kwa issue gani, na siku akiondoka, anamwaga minoti ya dala 💯 💯 airport nzima, watu wanapanga foleni kupokea bakhashsh. Watu wa type hii wasikaribie kabisa patakatifu
Be Careful...

Polepole aliongelea hilo akapotea mpaka kesho na JF kufungiwa.
 
Asante, nimeupokea ushauri wako, nitauzingatia!, kumbe kuna uwezekano kupotea kwa Polepole ni kutokana na kulizungumzia lile Bonge Nyanya!. Niko very careful, sijataja jina la mtu!.
P
 
Wanabodi,

Hii ni safu yangu mpya inayoitwa PMNA, kirefu chake ni Pasco Mayalla News Analysis. Tamka (Piemeniei)

Hapa nitakuwa nawawekea News Analysis ya habari kubwa yoyote yenye maslahi kwa taifa.

PMNA ni kufuatia kuwepo kwa gaps kwenye media zetu, kuanzia mageti, radio, TV na online media, hakuna uchambuzi wa habari on serious issues zinazolikabili taifa letu.

Kufuatia uzoefu wangu wa long experience ya zaidi ya miaka 30 newsroom, nina uwezo wa kufanya News analysis ya habari yoyote.

Kwenye News analysis yangu
  1. Kwanza nitakuwekea News yenyewe
  2. Kisha nitakuchambulia kilichosemwa au kuripotiwa kwenye News hiyo
  3. Nitakuchambulia what does it mean
  4. Mwisho nitamalizia umuhimu wake kwa maslahi ya taifa.
Habari ya kwanza kwa PMNA kwenye bandiko hili ni jinsi Makamo wa Rais Dr Emmanuel Nchimbi, atakavyo msaidia sana Rais Samia, na kulisaidia Taifa, kwasababu huyu ni mtu mkweli asiye papasa wala kumungunya maneno, kwa maoni yangu, huyu ndiye kiongozi pekee anayeweza kumsaidia Rais Samia kwa kumweleza ukweli kuhusu mapungufu yake as a human being, hakuna mkamilifu !.

Katika kumsaidia Rais Samia, Dr Nchimbi amenote madhaifu fulani, hivyo amewaomba viongozi wa dini, wamuombee Rais Samia.

Isikilize hii clip ili ujue VP Dr. Nchimbi ametaka Rais Samia aombewe nini
View: https://youtu.be/-eNen3NlaMc?si=6RgS59my73NLdLwg

Alichosema Makamu wa Rais, Balozi Dr. Emmanuel Nchimbi, anatoa wito kwa viongozi wa dini kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan kwa mambo yafuatayo:
  • Afya na Maisha Marefu: Anawaomba waendelee kumuombea Rais ili Mungu amjalie afya njema na maisha marefu ya kuliongoza taifa [00:39].
  • Busara na Hekima: Ni muhimu kumuombea ili aendelee kupata busara na hekima katika maamuzi yake ya kila siku [00:47].
  • Wasaidizi Waaminifu: Anasisitiza umuhimu wa kumuombea Rais apate wasaidizi ambao ni waaminifu, wakweli, na wanaoipenda nchi kwa dhati, wenye nia ya kuona maendeleo ya kweli [01:03]. Hii maana yake ni Dr Nchimbi, ame note mapungufu kwa baadhi ya wasaidizi wa Rais Samia, sio waaminifu, sio wakweli!. Hili la wasaidizi wa Rais niliwahi kulizungumza humu Wasaidizi wa Magufuli walimuogopa hadi kushindwa kumsaidia, Je Wasaidizi wa Samia wanamsaidia kwa kumweleza ukweli au nao wanamuogopa? Tumsaidie au..? View attachment 3540846
  • Ulinzi dhidi ya Watu Wabaya: Anaomba Mungu ampe Rais "macho ya tai" ili aweze kuwatambua watu wabaya, wachonganishi, mafitini, waongo, na wezi [01:20]. Japo Rais Samia aliwahi kujinasibu kuwa japo macho yake yameregea lakini anaona sana,
    View: https://youtu.be/TaaXyzqd9bQ?si=Y6UjlEzMRUzzNL-w
  • hapa Dr Nchimbi amenote mapungufu ya hayo macho malegevu Rais Samia, hayana uwezo wa kuwabaini na kuwatambua watu wabaya, wachonganishi, mafitini, waongo, na wezi na mafisadi, hivyo ameomba Rais Samia aombewe Mungu ampe jicho la Tai, hili ni jicho la tatu.
  • Usalama wa Ikulu: Dr. Nchimbi anaomba maombi yasaidie "kufunga mageti ya Ikulu" dhidi ya watu wenye nia mbaya, ubadhirifu, au mawazo ya kumwaga damu, ili wasiweze hata kusogea karibu na Rais [01:49]. Hapa Dr Nchimbi anamaanisha pale ikulu kuna watu wenye nia mbaya, ubadhirifu, au mawazo ya kumwaga damu huwa wanaingia hivyo ameomba Mungu alinde geti la Ikulu, watu hao, wasikaribie Ikulu yetu, Mfano lile Bonge Nyanya limwaga minoti ya doleri, limekuja mara 4 pale patakatifu petu na kupiga mapicha na mtu wetu, huku mapicha mengine ni very compromising positions, huku hakuna taarifa yoyote kutoka popote, linakuja kufanya nini au kwa issue gani!, na siku linaondoka, linamwaga minoti ya dala 💯 💯 airport nzima!, wafanyakazi wa eapoti wanapanga foleni kupokea bakhashish. Watu wa type hii wasikaribie kabisa lango la patakatifu petu.

Video hii inasisitiza kuwa utulivu wa nchi unategemea sana utulivu na usalama wa Rais [00:30]. Ukimtikisa rais ni umeitikisa nchi!

What does this mean
Rais Samia ni binadamu, ana mapungufu yake, tunapaswa kumuomba Mungu amsaidie na kuisaidia nchi yetu.

My Take,
Japo Makamu Rais Balozi Dr Nchimbi amewaomba viongozi wa dini ndio wamuombee Rais, mimi Pascal Mayalla nasema ni Watanzania wote Wazalendo wa ukweli wa taifa letu, Tumuombee Rais Samia.

Mungu Mbariki Rais Samia

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali

Screenshot_20251219-132538~2.png
 
Back
Top Bottom