Ridhiwani Kikwete yuko live, anaongea kama Jakaya Kikwete. Like father like son, atatufaa sana in future baada ya zamu yetu!

Ridhiwani Kikwete yuko live, anaongea kama Jakaya Kikwete. Like father like son, atatufaa sana in future baada ya zamu yetu!

Pasco,
Kwa hiyo huyo bwana kuongea kama baba yake, ndio kimekufanya wewe kuona kama ni "Presidential material" na kuchukua kalamu kuandika kwamba anafaa!!!

Nje ya mada: Pasco, wewe kwa sasa ni Public figure, Columnist, jitofautishe na makasuku, jamii inakuchukulia wewe kama kwa uzito na kama kioo, kuna watu wengi wanakufauatilia na wenda wanaweza kufanya maamuzi kupitia wewe. Mimi Mzee wangu, yupo kwenye 70's kuna siku nimekuta kaweka YouTube anakusikiliza wewe.

Huwezi tuambia sisi watu wazima namna hii! Yaanj suitable presidential candidate, kwa nchi kama yetu yenye matatizo lukuki ya kimfumo, tumpime kwa kuongea kama baba yake?.
Unatwanga maji kwenye kinu.
 
1780592581555.png

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Jakaya Mrisho Kikwete amewahi kusema kuwa ni mkusanyiko wa upuuzi mtupu madai kuwa yeye alishiriki kumwokoa mtoto wake, ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete ambaye alikuwa amekamatwa na madawa ya kulevya nje ya nchi.
Aidha, Rais Kikwete alisema kuwa Urais ni taasisi kubwa sana nchini na hivyo yeye akiwa Rais hawezi kujiingiza katika ubishani na watu wa mtaani, kama ambavyo wanataka baadhi ya watu wanamsukuma ili ashiriki katika maneno hayo ya mitaani.
"This is nonsense – ni mkusanyiko wa upuuzi. Sina muda wala siwezi kupoteza nguvu yangu kujadili upuuzi na ujinga wa namna hiyo," alisema Kikwete usiku wa Jumamosi, Agosti 2, 2014, wakati alipozungumza na Watanzania wanaoishi Marekani kwenye Hoteli ya Marriot Washington, mjini Washington D.C.
Mh. Jakaya Kikwete ambaye alikuwa katika ziara ya kikazi ya siku tisa Marekani alitoa majibu hayo baada ya kulizwa kuhusu madai yaliyotole Julai Mosi, mwaka 2012 na aloyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha CHADEMA, Wilbroad Slaa, madai hayo yalimpeleka mahakamani.
Rais Kikwete: "Hatuwezi sisi kujiingiza katika shughuli ya kupoteza muda kwa kushiriki upuuzi na ujinga. Haya ni maneno ya kipuuzi yanayosemwa na watu ambao kazi yao usiku na mchana ni kuota jinsi ya kuyumbisha ajenda yetu ambayo imefanikiwa sana katika kubadilisha hali ya maisha ya Watanzania.'
Alisisitiza Jakaya Kikwete: "Urais ni taasisi kubwa sana. Rais wa nchi yetu hawezi kujiingiza katika ubishani na watu wa mitaani. Kwanza huyo Ridhiwani amemfikisha Slaa kortini na mpaka leo hata kesi yenyewe haijatajwa."
Kuhusu swali jingine aliloulizwa kuhusu suala hilo, kuwa Mh. Jakaya Kikwete alitia saini mikataba 12 na uongozi wa Jamhuri ya Watu wa China kama sehemu ya masharti ya kuachiwa kwa Ridhiwani, Rais Kikwete amesema:
"Naipenda nchi yangu kiasi cha kwamba siwezi kufikiria hata kuiweka rehani. Haya ni maneno ya kipuuzi tu, yenye kutafuta kututoa kwenye ajenda zetu nzuri. Hatuna muda nayo, sisi tunaelekeza nguvu zetu kwenye mambo ya maana ya kuleta mabadikio katika ustawi wa Watanzania." Chanzo.Kanyamala Media
 
Kweli wewe P unaona ni sawa kumsifia Rizi-one? Kwa lipi hasa, kwa vile anavyoongea? kwani wewe ni LGBTQ kaka au? Keep your status quo my brother.
Mimi ni free thinker na niko very open to speak my mind, mtu akiongea vizuri, nampongeza!, siujui umri wako, wala sijui 2005 wewe ulikuwa na umri gani, lakini kilichomfanya JK kuwapiku washindani na yeye kuchaguliwa kuwa mgombea wa CCM, ni cheko na bashasha zake!.

Kama nilimsifu JK 14 years ago, Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour" leo nimegundua like father like son, kuna ubaya gani kumsifia?

P
 
Wanabodi,

Kwanza watch TBC Live Mubashara
View: https://www.youtube.com/watch?v=wMOElr9lFGI

Japo enzi za Rais Jakaya Mrisho Kikwete, sisi humu JF, tulimpiga spana za kutosha zikiwemo spana zangu, za kumkosoa JK, Mapungufu ya Kikwete: Constructive Criticisim!

Pia JK, alikuwa na mazuri yake pia tulimpongeza Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour" haya mazuri ya Kikwete pia Ridhiwani Kikwete anayo!, ni mtu rahimu sana, cool, humble na down to earth!, japo ni mtoto wa rais, sio mtu wa kujimwambafy kama nanii!. Mungu ambariki sana!.

Siku Jakaya anaaga alisema tutamkumbuka, kiukweli aliyefuatia, tulimkumbuka JK! Rais Magufuli, Waliomchagua Wanajuta!, Wasiomchagua Wanamshangilia!. Akishika Chama, Watakoma na kuna watu wa JK walishughulikiwa Hii Tumbua Tumbua ya Rais Magufuli, Hivi Kikwete Anajisikiaje?!. Anajisikia Sifa Au Anajuta?!. pia niliwahi kuuliza, Je, Kila utumbuaji ni wa haki, au kuna kumkomoa Kikwete?!

Hakuna Tanzania nzuri kwa uhuru wa vyombo vya habari uhuru wa kujieleza kama Tanzania ya JK!, ni kipindi hiki PPR ndio ilizaliwa, na kuneemeka!. Media tulikuwa huru hadi kumpiga biti rais wa JMT, enzi za JK Ushauri wa bure kwa Rais Kikwete, muombe msamaha Lowassa kabla ya October 25!, just imagine media tulivyokuwa huru!, leo lile tukio la October 29, watu 518 wamethibitishwa kufa, kuna media yoyote inaweza kujitokeza hata kuuliza tuu, aliyetoa amri ile ni nani?, ukiondoa JF kuulizia hoja kaa hii PostGE2025 - Voices from Within: Mauaji ya wananchi Dar, tusiwalaumu Polisi. Je Amri ya kuua Ilitoka kwa muuaji huyu? kuna media yoyote imeweza kukohoa na kufanya IJ yoyote ya kilichotokea au hata kumwambia Rais Samia ili angalau kuonyesha ameguswa, awaombe radhi Watanzania kwa kilichotokea, awafariji waliofiwa kwa mauaji ya makosa kama wale watoto wadogo au wale wa kibanda umiza kule Mwanza?, enzi za Kikwete, hili lingewezekana, tungemshuhudia JK akitembelea majeruhi Muhimbili, JK angewaomba wasaidizi wake watatu, CDF, IGP na DGIS, wakae pembeni kupisha uchunguzi, hivyo ikitokea akaja Ridhiwani, enzi za uhuru huu wa habari na uhuru wa kujieleza, zitarudi kama enzi za Jakaya, na tukio kama la October, lisingeweza kutokea!, na labda hata PPR chini Pasco Jnr pia itafufuka!.

Sasa leo nIkImuangalia Ridhiwani Kikwete live mubashara, kupitia TBC Ridhiwani Kikwete , nimegundua Jakaya Kikwete hapa alijizaa!, Jamaa ni copy right like father like son!, wanafanana mpaka sauti na jinsi anavyoongea, ni kama Jakaya, na vile vineno vya JK hadi raha kumsikiliza!, kitu kikubwa kumhusu Ridhiwani, ana karama ya uongozi, ana kipawa cha uongozi na ana uwezo wa uongozi kama baba yake!, ama kweli mwana wa nyoka ni nyoka!.

Kufuatia Abedi Karume Amani Karume, Ali Hassan Mwinyi, Dr Hussein Mwinyi, then in future huyu Ridhiwani Kikwete atatufaa sana latika lile jambo letu baada ya kukamilika, kwa zamu yetu kwenye lile jambo letu, ili pia tuje kumpata Jakaya Kikwete Ridhiwani Kikwete!
View attachment 3599484
Hii sio marayangu ya kwanza, kuwanenea watu huwa, wawe na wakawa,
Japo mimi Pasco Mayalla nimeisha mfanyia endorsement yangu huyu kijana kwa kushauri awamu ijayo apelekwe MFA kumpatia an international exposure, mimi ni nobody, na ninachofanya hapa ni ku proposes tuu, anayeamua nani awe, sio mimi, sio wewe wala sio yeye, ni YEYE!, kama huyu yeye ameandikiwa na YEYE, kuwa siku moja atakuwa, then no one can do anything kuzuia asiwe!.

Mungu Mbariki Ridhiwani Kikwete

Mungu Ibariki Tanzania

Paskali

Yaani why familia moja tu🙌🙌🙌
 
Pamoja na kujikomba kote huko mkuu utakuwa umeshazeeka sana wakati huo wala hutapata uteuzi! Na utakuwa unasubiri kufariki tu! Hivi sisi Watanzania kwa nini tumekuwa majitu ya hovyo hivyo? Kwa hiyo tumejisalimisha kwamba Sisi ni wa kutawaliwa tu? Yaani kufanana na babake ndiyo iwe tiketi ya kugombea urais? Hebu tuache ujinga!
 
Hivi sisi Watanzania kwa nini tumekuwa majitu ya hovyo hivyo? Kwa hiyo tumejisalimisha kwamba Sisi ni wa kutawaliwa tu? Yaani kufanana na babake ndiyo iwe tiketi ya kugombea urais? Hebu tuache ujinga!
Mkuu Manjaga, kama baba alikuwa kiongozi mzuri aliyependwa na watu, kisha mtoto wake akafanana copy right na baba yake, then it's likely akiwa rais na yeye atakuwa rais mzuri.

Kama mtoto wa rais ana sifa za urais, na ana kidhi vingezo, kwanini asiwe?.

Hakuna Mtanzania yeyote mwenye sifa na vigezo vya kugombea urais, hata wewe kama unavyo gombea tuu tutakuchagua wewe Manjaga ndio uwe rais wetu, jitokeze tuu, lakini hatuwezi kuacha kumchagua mtu mzuri mwenye uwezo mzuri, na sifa nzuri, eti tu kwasababu baba yake tayari aliisha kuwa rais!, kuna vitu ili uwe, sio sifa tuu vigezo na uwezo!, vitu vingine ni nyota!
P
 
Ridhiwani Kikwete anafaa, sasa hivi amekomaa, kuna mambo mengi sana amejifunza nahisi hata akija pewa nafasi ata fix ambapo baba yake alikosea na hao wengine.. Naungana na wewe 100%
Siwezi kumchukia Ridhiwan, Samia au baba yake (Mzee Kikwete) mpaka siku watakaponikosea wao personally na sio kusikia kupitia maneno ya watu wengine.
 
Back
Top Bottom