Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete ni lazima aje kuwa Rais wa Tanzania

Na sio mwisho tu, bali ni mwisho mwema pia.Najua YANA MWISHO.
Hayawezi KUDUMU
Ridhiwani ni uozo unaonuka, kuanzia mbeleko inayombeba, kwenye madawa ya kulevya(mpaka yeye na baba yake walishaiingiza nchi kwenye hekaheka na kadhia kulinda mauchafu ya Ridhiwani), hana charisma wala uwezo and that's very obvious.Jibidishe ktk kutafuta ridhiki la wanao kama u
Sasa kama majibu unayo, unauliza nini?
He cant be, labda kama kama wanamtumia P kwenye hitimisho la mpango wa muda mrefu. Akumbuke tu kuna watu huu mpango uliwa-cost maisha. Kina January kuwekwa kando wakiwa hai ili kuupisha ni ahueni sana kwao, the fortunate fewP are you serious!?🥺🥺🥺
Kwa maamuzi ya Allah Samia na Allah KikweteNa sio mwisho tu, bali ni mwisho mwema pia.
Umefilisika kichwani mkuu.Kwa maamuzi ya Allah Samia na Allah Kikwete
Wanabodi,
Kwanza watch TBC Live Mubashara
View: https://www.youtube.com/watch?v=wMOElr9lFGI
Japo enzi za Rais Jakaya Mrisho Kikwete, sisi humu JF, tulimpiga spana za kutosha zikiwemo spana zangu, za kumkosoa JK, Mapungufu ya Kikwete: Constructive Criticisim!
Pia JK, alikuwa na mazuri yake pia tulimpongeza Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour" haya mazuri ya Kikwete pia Ridhiwani Kikwete anayo!, ni mtu rahimu sana, cool, humble na down to earth!, japo ni mtoto wa rais, sio mtu wa kujimwambafy kama nanii!. Mungu ambariki sana!.
Siku Jakaya anaaga alisema tutamkumbuka, kiukweli aliyefuatia, tulimkumbuka JK! Rais Magufuli, Waliomchagua Wanajuta!, Wasiomchagua Wanamshangilia!. Akishika Chama, Watakoma na kuna watu wa JK walishughulikiwa Hii Tumbua Tumbua ya Rais Magufuli, Hivi Kikwete Anajisikiaje?!. Anajisikia Sifa Au Anajuta?!. pia niliwahi kuuliza, Je, Kila utumbuaji ni wa haki, au kuna kumkomoa Kikwete?!
Hakuna Tanzania nzuri kwa uhuru wa vyombo vya habari uhuru wa kujieleza kama Tanzania ya JK!, ni kipindi hiki PPR ndio ilizaliwa, na kuneemeka!. Media tulikuwa huru hadi kumpiga biti rais wa JMT, enzi za JK Ushauri wa bure kwa Rais Kikwete, muombe msamaha Lowassa kabla ya October 25!, just imagine media tulivyokuwa huru!, leo lile tukio la October 29, watu 518 wamethibitishwa kufa, kuna media yoyote inaweza kujitokeza hata kuuliza tuu, aliyetoa amri ile ni nani?, ukiondoa JF kuulizia hoja kaa hii PostGE2025 - Voices from Within: Mauaji ya wananchi Dar, tusiwalaumu Polisi. Je Amri ya kuua Ilitoka kwa muuaji huyu? kuna media yoyote imeweza kukohoa na kufanya IJ yoyote ya kilichotokea au hata kumwambia Rais Samia ili angalau kuonyesha ameguswa, awaombe radhi Watanzania kwa kilichotokea, awafariji waliofiwa kwa mauaji ya makosa kama wale watoto wadogo au wale wa kibanda umiza kule Mwanza?, enzi za Kikwete, hili lingewezekana, tungemshuhudia JK akitembelea majeruhi Muhimbili, JK angewaomba wasaidizi wake watatu, CDF, IGP na DGIS, wakae pembeni kupisha uchunguzi, hivyo ikitokea akaja Ridhiwani, enzi za uhuru huu wa habari na uhuru wa kujieleza, zitarudi kama enzi za Jakaya, na tukio kama la October, lisingeweza kutokea!, na labda hata PPR chini Pasco Jnr pia itafufuka!.
Sasa leo nIkImuangalia Ridhiwani Kikwete live mubashara, kupitia TBC Ridhiwani Kikwete , nimegundua Jakaya Kikwete hapa alijizaa!, Jamaa ni copy right like father like son!, wanafanana mpaka sauti na jinsi anavyoongea, ni kama Jakaya, na vile vineno vya JK hadi raha kumsikiliza!, kitu kikubwa kumhusu Ridhiwani, ana karama ya uongozi, ana kipawa cha uongozi na ana uwezo wa uongozi kama baba yake!, ama kweli mwana wa nyoka ni nyoka!.
Kufuatia Abedi Karume Amani Karume, Ali Hassan Mwinyi, Dr Hussein Mwinyi, then in future huyu Ridhiwani Kikwete atatufaa sana latika lile jambo letu baada ya kukamilika, kwa zamu yetu kwenye lile jambo letu, ili pia tuje kumpata Jakaya Kikwete Ridhiwani Kikwete!
View attachment 3599484
Hii sio marayangu ya kwanza, kuwanenea watu huwa, wawe na wakawa,
Japo mimi Pasco Mayalla nimeisha mfanyia endorsement yangu huyu kijana kwa kushauri awamu ijayo apelekwe MFA kumpatia an international exposure, mimi ni nobody, na ninachofanya hapa ni ku proposes tuu, anayeamua nani awe, sio mimi, sio wewe wala sio yeye, ni YEYE!, kama huyu yeye ameandikiwa na YEYE, kuwa siku moja atakuwa, then no one can do anything kuzuia asiwe!.
- GE2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli
- Pascal Mayalla alitabiri mwaka 2017 kuwa Samia atakuwa Rais wa JMT baada ya 2020
- Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
- Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...
Mungu Mbariki Ridhiwani Kikwete
Mungu Ibariki Tanzania
Paskali
hapo ndipo penye purukushani !Najua YANA MWISHO.
Hayawezi KUDUMU
P anazengua sana huyu broo.Kwani nchi ya watu zaidi ya milioni 60 ni lazima itawaliwe na watu wale wale miaka nenda? Mbona tunapenda sana kuyatukuza mambo yasiyo na mashiko kwa maendeleo ya nchi yetu!!
Shemeji kuna wakati unazingua sana.

What is the problem kumsifia Riz1?.Pascal Mayalla nadhani kuna tatizo pahala hususan baada ya kusoma andiko unamsifia Kikwete Jr
Mambo mawili yametokea kwa kufuatana karibu karibu sana !What is the problem kumsifia Riz1?.
P
Both are two different events, not related, ila mimi ni muumini wa quantum physics, there is no coincidence in life, every thing that happens is premeditated events, and it has happened the way it was destined to happens.Mambo mawili yametokea kwa kufuatana karibu karibu sana !
Kwanza Riz 1 then Yuda , coincidence ?
Wanabodi,
Kwanza watch TBC Live Mubashara
View: https://www.youtube.com/watch?v=wMOElr9lFGI
Japo enzi za Rais Jakaya Mrisho Kikwete, sisi humu JF, tulimpiga spana za kutosha zikiwemo spana zangu, za kumkosoa JK, Mapungufu ya Kikwete: Constructive Criticisim!
Pia JK, alikuwa na mazuri yake pia tulimpongeza Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour" haya mazuri ya Kikwete pia Ridhiwani Kikwete anayo!, ni mtu rahimu sana, cool, humble na down to earth!, japo ni mtoto wa rais, sio mtu wa kujimwambafy kama nanii!. Mungu ambariki sana!.
Siku Jakaya anaaga alisema tutamkumbuka, kiukweli aliyefuatia, tulimkumbuka JK! Rais Magufuli, Waliomchagua Wanajuta!, Wasiomchagua Wanamshangilia!. Akishika Chama, Watakoma na kuna watu wa JK walishughulikiwa Hii Tumbua Tumbua ya Rais Magufuli, Hivi Kikwete Anajisikiaje?!. Anajisikia Sifa Au Anajuta?!. pia niliwahi kuuliza, Je, Kila utumbuaji ni wa haki, au kuna kumkomoa Kikwete?!
Hakuna Tanzania nzuri kwa uhuru wa vyombo vya habari uhuru wa kujieleza kama Tanzania ya JK!, ni kipindi hiki PPR ndio ilizaliwa, na kuneemeka!. Media tulikuwa huru hadi kumpiga biti rais wa JMT, enzi za JK Ushauri wa bure kwa Rais Kikwete, muombe msamaha Lowassa kabla ya October 25!, just imagine media tulivyokuwa huru!, leo lile tukio la October 29, watu 518 wamethibitishwa kufa, kuna media yoyote inaweza kujitokeza hata kuuliza tuu, aliyetoa amri ile ni nani?, ukiondoa JF kuulizia hoja kaa hii PostGE2025 - Voices from Within: Mauaji ya wananchi Dar, tusiwalaumu Polisi. Je Amri ya kuua Ilitoka kwa muuaji huyu? kuna media yoyote imeweza kukohoa na kufanya IJ yoyote ya kilichotokea au hata kumwambia Rais Samia ili angalau kuonyesha ameguswa, awaombe radhi Watanzania kwa kilichotokea, awafariji waliofiwa kwa mauaji ya makosa kama wale watoto wadogo au wale wa kibanda umiza kule Mwanza?, enzi za Kikwete, hili lingewezekana, tungemshuhudia JK akitembelea majeruhi Muhimbili, JK angewaomba wasaidizi wake watatu, CDF, IGP na DGIS, wakae pembeni kupisha uchunguzi, hivyo ikitokea akaja Ridhiwani, enzi za uhuru huu wa habari na uhuru wa kujieleza, zitarudi kama enzi za Jakaya, na tukio kama la October, lisingeweza kutokea!, na labda hata PPR chini Pasco Jnr pia itafufuka!.
Sasa leo nIkImuangalia Ridhiwani Kikwete live mubashara, kupitia TBC Ridhiwani Kikwete , nimegundua Jakaya Kikwete hapa alijizaa!, Jamaa ni copy right like father like son!, wanafanana mpaka sauti na jinsi anavyoongea, ni kama Jakaya, na vile vineno vya JK hadi raha kumsikiliza!, kitu kikubwa kumhusu Ridhiwani, ana karama ya uongozi, ana kipawa cha uongozi na ana uwezo wa uongozi kama baba yake!, ama kweli mwana wa nyoka ni nyoka!.
Kufuatia Abedi Karume Amani Karume, Ali Hassan Mwinyi, Dr Hussein Mwinyi, then in future huyu Ridhiwani Kikwete atatufaa sana latika lile jambo letu baada ya kukamilika, kwa zamu yetu kwenye lile jambo letu, ili pia tuje kumpata Jakaya Kikwete Ridhiwani Kikwete!
View attachment 3599484
Hii sio marayangu ya kwanza, kuwanenea watu huwa, wawe na wakawa,
Japo mimi Pasco Mayalla nimeisha mfanyia endorsement yangu huyu kijana kwa kushauri awamu ijayo apelekwe MFA kumpatia an international exposure, mimi ni nobody, na ninachofanya hapa ni ku proposes tuu, anayeamua nani awe, sio mimi, sio wewe wala sio yeye, ni YEYE!, kama huyu yeye ameandikiwa na YEYE, kuwa siku moja atakuwa, then no one can do anything kuzuia asiwe!.
- GE2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli
- Pascal Mayalla alitabiri mwaka 2017 kuwa Samia atakuwa Rais wa JMT baada ya 2020
- Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
- Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...
Mungu Mbariki Ridhiwani Kikwete
Mungu Ibariki Tanzania
Paskali
I feel you.Ndio maana tunaitwa shithole na low IQ creatures, reasoning yetu ipo flawed sana wandugu, yani kwa kuwa anafanana na babake basi anafaa kuwa rais? Pathetic akili za wasomi wa kibongo, why did I become part of this society Lord?
Dah kama upo Mungu saidia hii jamii,
Amen