Wanabodi,
Kwanza watch TBC Live Mubashara
View: https://www.youtube.com/watch?v=wMOElr9lFGI
Japo enzi za Rais Jakaya Mrisho Kikwete, sisi humu JF, tulimpiga spana za kutosha zikiwemo spana zangu, za kumkosoa JK, Mapungufu ya Kikwete: Constructive Criticisim!
Pia JK, alikuwa na mazuri yake pia tulimpongeza Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour" haya mazuri ya Kikwete pia Ridhiwani Kikwete anayo!.
Siku Jakaya anaaga alisema tutamkumbuka, kiukweli aliyefuatia, tulimkumbuka JK! Rais Magufuli, Waliomchagua Wanajuta!, Wasiomchagua Wanamshangilia!. Akishika Chama, Watakoma na kuna watu wa JK walishughulikiwa Hii Tumbua Tumbua ya Rais Magufuli, Hivi Kikwete Anajisikiaje?!. Anajisikia Sifa Au Anajuta?!. pia niliwahi kuuliza, Je, Kila utumbuaji ni wa haki, au kuna kumkomoa Kikwete?!
Hakuna Tanzania nzuri kwa uhuru wa vyombo vya habari uhuru wa kujieleza kama Tanzania ya JK!, ni kipindi hiki PPR ndio ilizaliwa, na kuneemeka!. Media tulikuwa huru hadi kumpiga biti rais wa JMT, enzi za JK Ushauri wa bure kwa Rais Kikwete, muombe msamaha Lowassa kabla ya October 25!, just imagine media tulivyokuwa huru!, leo lile tukio la October 29, watu 518 wamethibitishwa kufa, kuna media yoyote inaweza kukohoa kumwambia Rais Samia awaombe radhi Watanzania kwa kilichotokea, awafariji waliofiwa kwa mauaji ya makosa kama wale watoto wadogo au wale wa kibanda umiza?, enzi za Kikwete, hili lingewezekana, hivyo ikitokea akaja Ridhiwani, enzi za uhuru huu zitarudi, na labda hata PPR chini Pasco Jnr pia itafufuka!
Sasa leo nIkImuangalia Ridhiwani Kikwete live mubashara, kupitia TBC Ridhiwani Kikwete , nimegundua Jakaya Kikwete hapa alijizaa!, Jamaa ni copy right like father like son!, wanafanana mpaka sauti na jinsi anavyoongea, ni kama Jakaya, na vile vineno vya JK hadi raha kumsikiliza!, kitu kikubwa kumhusu Ridhiwani, ana karama ya uongozi, ana kipawa cha uongozi na ana uwezo wa uongozi kama baba yake!, ama kweli mwana wa nyoka ni nyoka!.
Kufuatia Abedi Karume Amani Karume, Ali Hassan Mwinyi, Dr Hussein Mwinyi, then in future huyu Ridhiwani Kikwete atatufaa sana latika lile jambo letu baada ya kukamilika, kwa zamu yetu kwenye lile jambo letu, ili pia tuje kumpata Jakaya Kikwete Ridhiwani Kikwete!
View attachment 3599235View attachment 3599235
Japo mimi Pasco Mayalla nimeisha mfanyia endorsement, huyu kijana, nashauri awamu ijayo apelekwe MFA kumpatia international exposure, ninacho fanya ni ku proposes tuu, anayeamua nani awe, sio mimi, sio wewe wala sio yeye, ni YEYE!, kama huyu yeye ameandikiwa na YEYE, then no one can do anything kuzuia!
Mungu Mbariki Ridhiwani Kikwete
Mungu Ibariki Tanzania
Paskali

Anafanya makusudi si Bure!Kwani nchi ya watu zaidi ya milioni 60 ni lazima itawaliwe na watu wale wale miaka nenda? Mbona tunapenda sana kuyatukuza mambo yasiyo na mashiko kwa maendeleo ya nchi yetu!!
Shemeji kuna wakati unazingua sana.
Mungu yupo,huoni moto unavyomuakia kabla ya jehanamu!Ndio maana tunaitwa shithole na low IQ creatures, reasoning yetu ipo flawed sana wandugu, yani kwa kuwa anafanana na babake basi anafaa kuwa rais? Pathetic akili za wasomi wa kibongo, why did I become part of this society Lord?
Dah kama upo Mungu saidia hii jamii,
Amen
Usomi ni namba tuu, Babu yangu hakusoma,lakini Naona ufahamu kamzidi Pascal Dar_Malawi!Mimi zamani nilijua wasomi wote wana akili kuna msemo nenda shule kaondoe ujinga huu msemo ni fix aisee
Mimi sio msomi ila vitu vidogo kama hivi nikiangalia naona kabisa ni ujinga
Then unamuona mtu mwenye degree anakuja kuandika hivi🤔
waeleze wadau wa JF kwa kina kifupi ili wakuelewe vizuri gentleman😄 🤣 😂 😆 kaka so very possible wanu akawa Rais coz anafanana kila kitu na mama yake

Noma sana mkuuUsomi ni namba tuu, Babu yangu hakusoma,lakini Naona ufahamu kamzidi Pascal Dar_Malawi!
Wanabodi,
Kwanza watch TBC Live Mubashara
View: https://www.youtube.com/watch?v=wMOElr9lFGI
Japo enzi za Rais Jakaya Mrisho Kikwete, sisi humu JF, tulimpiga spana za kutosha zikiwemo spana zangu, za kumkosoa JK, Mapungufu ya Kikwete: Constructive Criticisim!
Pia JK, alikuwa na mazuri yake pia tulimpongeza Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour" haya mazuri ya Kikwete pia Ridhiwani Kikwete anayo!.
Siku Jakaya anaaga alisema tutamkumbuka, kiukweli aliyefuatia, tulimkumbuka JK! Rais Magufuli, Waliomchagua Wanajuta!, Wasiomchagua Wanamshangilia!. Akishika Chama, Watakoma na kuna watu wa JK walishughulikiwa Hii Tumbua Tumbua ya Rais Magufuli, Hivi Kikwete Anajisikiaje?!. Anajisikia Sifa Au Anajuta?!. pia niliwahi kuuliza, Je, Kila utumbuaji ni wa haki, au kuna kumkomoa Kikwete?!
Hakuna Tanzania nzuri kwa uhuru wa vyombo vya habari uhuru wa kujieleza kama Tanzania ya JK!, ni kipindi hiki PPR ndio ilizaliwa, na kuneemeka!. Media tulikuwa huru hadi kumpiga biti rais wa JMT, enzi za JK Ushauri wa bure kwa Rais Kikwete, muombe msamaha Lowassa kabla ya October 25!, just imagine media tulivyokuwa huru!, leo lile tukio la October 29, watu 518 wamethibitishwa kufa, kuna media yoyote inaweza kukohoa kumwambia Rais Samia awaombe radhi Watanzania kwa kilichotokea, awafariji waliofiwa kwa mauaji ya makosa kama wale watoto wadogo au wale wa kibanda umiza?, enzi za Kikwete, hili lingewezekana, hivyo ikitokea akaja Ridhiwani, enzi za uhuru huu zitarudi, na labda hata PPR chini Pasco Jnr pia itafufuka!
Sasa leo nIkImuangalia Ridhiwani Kikwete live mubashara, kupitia TBC Ridhiwani Kikwete , nimegundua Jakaya Kikwete hapa alijizaa!, Jamaa ni copy right like father like son!, wanafanana mpaka sauti na jinsi anavyoongea, ni kama Jakaya, na vile vineno vya JK hadi raha kumsikiliza!, kitu kikubwa kumhusu Ridhiwani, ana karama ya uongozi, ana kipawa cha uongozi na ana uwezo wa uongozi kama baba yake!, ama kweli mwana wa nyoka ni nyoka!.
Kufuatia Abedi Karume Amani Karume, Ali Hassan Mwinyi, Dr Hussein Mwinyi, then in future huyu Ridhiwani Kikwete atatufaa sana latika lile jambo letu baada ya kukamilika, kwa zamu yetu kwenye lile jambo letu, ili pia tuje kumpata Jakaya Kikwete Ridhiwani Kikwete!
View attachment 3599235View attachment 3599235
Japo mimi Pasco Mayalla nimeisha mfanyia endorsement, huyu kijana, nashauri awamu ijayo apelekwe MFA kumpatia international exposure, ninacho fanya ni ku proposes tuu, anayeamua nani awe, sio mimi, sio wewe wala sio yeye, ni YEYE!, kama huyu yeye ameandikiwa na YEYE, then no one can do anything kuzuia!
Mungu Mbariki Ridhiwani Kikwete
Mungu Ibariki Tanzania
Paskali
Yeye Mwenyewe ni mjinga?Mnapofagilia watoto wa viongozi ina maana watoto wenu ni wajinga?
Ni Aibu sana kwa mtu Mzee kuwa chawa
Pascal Mayalla natania tu mheshimiwa, sina experience na vita wala mazoezi ya jeshi“UNAJUA KULE KWETU MAYALA MAANA YAKE NI NJAA” in Magufuli voice
Niseme tu ukweli. Mi nalipenda sana li Wanu maana ni lizuri kweli kweli. Likipewa umakamu hata uwaziri mkuu mwaka 2030 kwa kweli mi sitapinga. Mchengerwa dah! Akijichanganya tu mi nalioa li Wanu! 😂🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️Itaenda na kwa Abdul
Wanabodi,
Kwanza watch TBC Live Mubashara
View: https://www.youtube.com/watch?v=wMOElr9lFGI
Japo enzi za Rais Jakaya Mrisho Kikwete, sisi humu JF, tulimpiga spana za kutosha zikiwemo spana zangu, za kumkosoa JK, Mapungufu ya Kikwete: Constructive Criticisim!
Pia JK, alikuwa na mazuri yake pia tulimpongeza Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour" haya mazuri ya Kikwete pia Ridhiwani Kikwete anayo!.
Siku Jakaya anaaga alisema tutamkumbuka, kiukweli aliyefuatia, tulimkumbuka JK! Rais Magufuli, Waliomchagua Wanajuta!, Wasiomchagua Wanamshangilia!. Akishika Chama, Watakoma na kuna watu wa JK walishughulikiwa Hii Tumbua Tumbua ya Rais Magufuli, Hivi Kikwete Anajisikiaje?!. Anajisikia Sifa Au Anajuta?!. pia niliwahi kuuliza, Je, Kila utumbuaji ni wa haki, au kuna kumkomoa Kikwete?!
Hakuna Tanzania nzuri kwa uhuru wa vyombo vya habari uhuru wa kujieleza kama Tanzania ya JK!, ni kipindi hiki PPR ndio ilizaliwa, na kuneemeka!. Media tulikuwa huru hadi kumpiga biti rais wa JMT, enzi za JK Ushauri wa bure kwa Rais Kikwete, muombe msamaha Lowassa kabla ya October 25!, just imagine media tulivyokuwa huru!, leo lile tukio la October 29, watu 518 wamethibitishwa kufa, kuna media yoyote inaweza kukohoa kumwambia Rais Samia awaombe radhi Watanzania kwa kilichotokea, awafariji waliofiwa kwa mauaji ya makosa kama wale watoto wadogo au wale wa kibanda umiza?, enzi za Kikwete, hili lingewezekana, hivyo ikitokea akaja Ridhiwani, enzi za uhuru huu zitarudi, na labda hata PPR chini Pasco Jnr pia itafufuka!
Sasa leo nIkImuangalia Ridhiwani Kikwete live mubashara, kupitia TBC Ridhiwani Kikwete , nimegundua Jakaya Kikwete hapa alijizaa!, Jamaa ni copy right like father like son!, wanafanana mpaka sauti na jinsi anavyoongea, ni kama Jakaya, na vile vineno vya JK hadi raha kumsikiliza!, kitu kikubwa kumhusu Ridhiwani, ana karama ya uongozi, ana kipawa cha uongozi na ana uwezo wa uongozi kama baba yake!, ama kweli mwana wa nyoka ni nyoka!.
Kufuatia Abedi Karume Amani Karume, Ali Hassan Mwinyi, Dr Hussein Mwinyi, then in future huyu Ridhiwani Kikwete atatufaa sana latika lile jambo letu baada ya kukamilika, kwa zamu yetu kwenye lile jambo letu, ili pia tuje kumpata Jakaya Kikwete Ridhiwani Kikwete!
View attachment 3599235View attachment 3599235
Japo mimi Pasco Mayalla nimeisha mfanyia endorsement, huyu kijana, nashauri awamu ijayo apelekwe MFA kumpatia international exposure, ninacho fanya ni ku proposes tuu, anayeamua nani awe, sio mimi, sio wewe wala sio yeye, ni YEYE!, kama huyu yeye ameandikiwa na YEYE, then no one can do anything kuzuia!
Mungu Mbariki Ridhiwani Kikwete
Mungu Ibariki Tanzania
Paskali
Hatufai mtoto wa nyoka ni nyoka tuRidhiwani Kikwete anafaa, sasa hivi amekomaa, kuna mambo mengi sana amejifunza nahisi hata akija pewa nafasi ata fix ambapo baba yake alikosea na hao wengine.. Naungana na wewe 100%