Ridhiwani Kikwete yuko live, anaongea kama Jakaya Kikwete. Like father like son, atatufaa sana in future baada ya zamu yetu!

Wanabodi,

Japo enzi za Rais Jakaya Mrisho Kikwete, sisi humu JF, tulimpiga spana za kutosha zikiwemo spana zangu, za kumkosoa JK, Mapungufu ya Kikwete: Constructive Criticisim!

Pia JK, alikuwa na mazuri yake pia tulimpongeza Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour" haya mazuri ya Kikwete pia Ridhiwani Kikwete anayo!.

Siku Jakaya anaaga alisema tutamkumbuka, kiukweli aliyefuatia, tulimkumbuka JK! Rais Magufuli, Waliomchagua Wanajuta!, Wasiomchagua Wanamshangilia!. Akishika Chama, Watakoma na kuna watu wa JK walishughulikiwa Hii Tumbua Tumbua ya Rais Magufuli, Hivi Kikwete Anajisikiaje?!. Anajisikia Sifa Au Anajuta?!. pia niliwahi kuuliza, Je, Kila utumbuaji ni wa haki, au kuna kumkomoa Kikwete?!

Hakuna Tanzania nzuri kwa uhuru wa vyombo vya habari uhuru wa kujieleza kama Tanzania ya JK!, ni kipindi hiki PPR ndio ilizaliwa, na kuneemeka!. Media tulikuwa huru hadi kumpiga biti rais wa JMT, enzi za JK Ushauri wa bure kwa Rais Kikwete, muombe msamaha Lowassa kabla ya October 25!, just imagine media tulivyokuwa huru!, leo lile tukio la October 29, watu 518 wamethibitishwa kufa, kuna media yoyote inaweza kukohoa kumwambia Rais Samia awaombe radhi Watanzania kwa kilichotokea, awafariji waliofiwa kwa mauaji ya makosa kama wale watoto wadogo au wale wa kibanda umiza?, enzi za Kikwete, hili lingewezekana, hivyo ikitokea akaja Ridhiwani, enzi za uhuru huu zitarudi, na labda hata PPR chini Pasco Jnr pia itafufuka!

Sasa leo nIkImuangalia Ridhiwani Kikwete live mubashara, kupitia TBC Ridhiwani Kikwete , nimegundua Jakaya Kikwete hapa alijizaa!, Jamaa ni copy right like father like son!, wanafanana mpaka sauti na jinsi anavyoongea, ni kama Jakaya, na vile vineno vya JK hadi raha kumsikiliza!, kitu kikubwa kumhusu Ridhiwani, ana karama ya uongozi, ana kipawa cha uongozi na ana uwezo wa uongozi kama baba yake!, ama kweli mwana wa nyoka ni nyoka!.

Kufuatia Abedi Karume Amani Karume, Ali Hassan Mwinyi, Dr Hussein Mwinyi, then in future huyu Ridhiwani Kikwete atatufaa sana latika lile jambo letu baada ya kukamilika, kwa zamu yetu kwenye lile jambo letu, ili pia tuje kumpata Jakaya Kikwete Ridhiwani Kikwete!

Japo mimi Pasco Mayalla nimeisha mfanyia endorsement, huyu kijana, nashauri awamu ijayo apelekwe MFA kumpatia international exposure, ninacho fanya ni ku proposes tuu, anayeamua nani awe, sio mimi, sio wewe wala sio yeye, ni YEYE!, kama huyu yeye ameandikiwa na YEYE, then no one can do anything kuzuia!

Mungu Mbariki Ridhiwani Kikwete

Mungu Ibariki Tanzania

Paskali
I can't believe that it's you who has written this 💩, seriously from the bottom of my heart unless if a fat ✉️ is involved.
Where there is smoke, there is fire. Huyo dogo hapana ni hafai hafai hafai hafai. Ukiachilia kuwa TZ si monarch lakini we all know kuwa isingekuwa mbeleko ya baba yake hawezi hata kuwa katibu kata, kashfa alizonazo(though not proven) kwenye siasa ni doa kubwa mno. Nguvu inayotumika kumsafisha huwa ni kubwa mno mpaka kila mwenye akili timamu hujiuliza maswali mengi.
 
Mentality ya kutawala watu badala ya kuwaongoza itawatafuna wengi. Siku zote mtawala anahofia alivyovikusanya kupitia madaraka visije vikamtoka hivyo huhangaika kuandaa warithi ili kuvilinda.

Nachelea kusema hayo ni zaidi ya mateso. Haya vipi mpango wa kurithisha mpendwa wako ukibuma hasa ukizingatia kwamba life is full of uncertainties?

Sisi wengine pia tuna mentality ya kutawaliwa na kuamini hamna mtawala atatokea nje ya koo za watawala waliotangulia. Nyerere alijaribu sana kuondoa hii mentality kwa wabongo na kwa familia yake lakini waliofuata wote wanaona utawala ni trait na wamezaliwa nayo na watawaliwa wa kisasa pia wanaona kwamba wao na koo zao walizaliwa kutumika tu hawana uwezo wowote zaidi ya kutawaliwa na kuimbia sifa watawala...
 
maamuzi mengine nafikiri watu hawakirii sana, kwa mfano siku mleta mada akifariki ukichukulia kajianika open na id yake, nafikiri familia yake itakaa mbali na jf kwa miaka bila kufungua kwa jinsi watu watakavyoshangilia yeye (mleta mada) kutwaliwa kwa ujinga anaouandika hapa kila siku …
 
Kuendelea kuwawaza watu walewale Karne na Karne nadhani ni utumwa wa fikra, mtu mwenye akili timamu huwezi ukawa unaanza kupigia debe utawala wa baba na mtoto ktk taifa lenye watu zaidi ya milioni 70... Huo ni utumwa hata kama umelipwa ili kuanza kupigia kampeni ila huu si uzalendo Wala SI matumizi sahihi ya akili za kibinadamu...tuendelee kufikiria nje ya box, tusifungie akili zetu jamani
 
Wanabodi,

Kwanza watch TBC Live Mubashara
View: https://www.youtube.com/watch?v=wMOElr9lFGI

Japo enzi za Rais Jakaya Mrisho Kikwete, sisi humu JF, tulimpiga spana za kutosha zikiwemo spana zangu, za kumkosoa JK, Mapungufu ya Kikwete: Constructive Criticisim!

Pia JK, alikuwa na mazuri yake pia tulimpongeza Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour" haya mazuri ya Kikwete pia Ridhiwani Kikwete anayo!.

Siku Jakaya anaaga alisema tutamkumbuka, kiukweli aliyefuatia, tulimkumbuka JK! Rais Magufuli, Waliomchagua Wanajuta!, Wasiomchagua Wanamshangilia!. Akishika Chama, Watakoma na kuna watu wa JK walishughulikiwa Hii Tumbua Tumbua ya Rais Magufuli, Hivi Kikwete Anajisikiaje?!. Anajisikia Sifa Au Anajuta?!. pia niliwahi kuuliza, Je, Kila utumbuaji ni wa haki, au kuna kumkomoa Kikwete?!

Hakuna Tanzania nzuri kwa uhuru wa vyombo vya habari uhuru wa kujieleza kama Tanzania ya JK!, ni kipindi hiki PPR ndio ilizaliwa, na kuneemeka!. Media tulikuwa huru hadi kumpiga biti rais wa JMT, enzi za JK Ushauri wa bure kwa Rais Kikwete, muombe msamaha Lowassa kabla ya October 25!, just imagine media tulivyokuwa huru!, leo lile tukio la October 29, watu 518 wamethibitishwa kufa, kuna media yoyote inaweza kukohoa kumwambia Rais Samia awaombe radhi Watanzania kwa kilichotokea, awafariji waliofiwa kwa mauaji ya makosa kama wale watoto wadogo au wale wa kibanda umiza?, enzi za Kikwete, hili lingewezekana, hivyo ikitokea akaja Ridhiwani, enzi za uhuru huu zitarudi, na labda hata PPR chini Pasco Jnr pia itafufuka!

Sasa leo nIkImuangalia Ridhiwani Kikwete live mubashara, kupitia TBC Ridhiwani Kikwete , nimegundua Jakaya Kikwete hapa alijizaa!, Jamaa ni copy right like father like son!, wanafanana mpaka sauti na jinsi anavyoongea, ni kama Jakaya, na vile vineno vya JK hadi raha kumsikiliza!, kitu kikubwa kumhusu Ridhiwani, ana karama ya uongozi, ana kipawa cha uongozi na ana uwezo wa uongozi kama baba yake!, ama kweli mwana wa nyoka ni nyoka!.

Kufuatia Abedi Karume Amani Karume, Ali Hassan Mwinyi, Dr Hussein Mwinyi, then in future huyu Ridhiwani Kikwete atatufaa sana latika lile jambo letu baada ya kukamilika, kwa zamu yetu kwenye lile jambo letu, ili pia tuje kumpata Jakaya Kikwete Ridhiwani Kikwete!
View attachment 3599235View attachment 3599235

Japo mimi Pasco Mayalla nimeisha mfanyia endorsement, huyu kijana, nashauri awamu ijayo apelekwe MFA kumpatia international exposure, ninacho fanya ni ku proposes tuu, anayeamua nani awe, sio mimi, sio wewe wala sio yeye, ni YEYE!, kama huyu yeye ameandikiwa na YEYE, then no one can do anything kuzuia!

Mungu Mbariki Ridhiwani Kikwete

Mungu Ibariki Tanzania

Paskali

Kwahiyo speciql point anaongea kama babake? Ana act kama baba ake? Then what? Itasaidia nn nchi hii?
 
Back
Top Bottom