Ridhiwani Kikwete yuko live, anaongea kama Jakaya Kikwete. Like father like son, atatufaa sana in future baada ya zamu yetu!

mtoto wa gadafi saif al islam kapigwa risasi juzi kati tena akiwa nyumbani kwake na kuhitimisha islamic terror iliyodumu kwa miaka zaidi ya 40, hata tanzagiza watapukutishwa mmoja baada ya mwingine kama wao walivyopukutisha pia na tuanze upya.

tanzagiza will never be an islamic sharia caliphate, ever …
 
Wanabodi,

Japo enzi za Rais Jakaya Mrisho Kikwete, sisi humu JF, tulimpiga spana za kutosha zikiwemo spana zangu, za kumkosoa JK, Mapungufu ya Kikwete: Constructive Criticisim!

Pia JK, alikuwa na mazuri yake pia tulimpongeza Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour" haya mazuri ya Kikwete pia Ridhiwani Kikwete anayo!.

Siku Jakaya anaaga alisema tutamkumbuka, kiukweli aliyefuatia, tulimkumbuka JK!

Hakuna Tanzania nzuri kwa uhuru wa vyombo vya habari uhuru wa kujieleza kama Tanzania ya JK!, ni kipindi hiki PPR ndio ilizaliwa, na kuneemeka!.

Sasa leo nokomuangalia Ridhiwani Kikwete live mubashara, kupitia TBC Ridhiwani Kikwete , nimegundua Jakaya Kikwete hapa alijizaa!, Jamaa ni copy right Like Father Like Son!, wanafanana mpaka sauti na jinsi anavyoongea, ni kama Jakaya, na vile vineno vya JK hadi raha kumsikiliza!.

Kufuatia Abedi Karume Amani Karume, Ali Hassan Mwinyi, Dr Hussein Mwinyi, then in future huyu Ridhiwani Kikwete atatufaa sana latika lile jambo letu baada ya kukamilika, kwa zamu yetu kwenye lile jambo letu, ili pia tuje kumpata Jakaya Kikwete Ridhiwani Kikwete!

Mimi Pascal Mayalla nimeisha muendorse, awamu ijayo apelekwe MFA kumpatia inte4national exposure

Mungu Mbariki Ridhiwani Kikwete

Mungu Ibariki Tanzania

Paskali
Maskini huyu bwana alipigwa pini na maCCM sasa hivi amekuwa mtu wa kutumia nguvu kusaka tonge chini ya maCCM. Hongera utakumbukwa
 
Wanabodi,

Japo enzi za Rais Jakaya Mrisho Kikwete, sisi humu JF, tulimpiga spana za kutosha zikiwemo spana zangu, za kumkosoa JK, Mapungufu ya Kikwete: Constructive Criticisim!

Pia JK, alikuwa na mazuri yake pia tulimpongeza Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour" haya mazuri ya Kikwete pia Ridhiwani Kikwete anayo!.

Siku Jakaya anaaga alisema tutamkumbuka, kiukweli aliyefuatia, tulimkumbuka JK!

Hakuna Tanzania nzuri kwa uhuru wa vyombo vya habari uhuru wa kujieleza kama Tanzania ya JK!, ni kipindi hiki PPR ndio ilizaliwa, na kuneemeka!.

Sasa leo nokomuangalia Ridhiwani Kikwete live mubashara, kupitia TBC Ridhiwani Kikwete , nimegundua Jakaya Kikwete hapa alijizaa!, Jamaa ni copy right Like Father Like Son!, wanafanana mpaka sauti na jinsi anavyoongea, ni kama Jakaya, na vile vineno vya JK hadi raha kumsikiliza!.

Kufuatia Abedi Karume Amani Karume, Ali Hassan Mwinyi, Dr Hussein Mwinyi, then in future huyu Ridhiwani Kikwete atatufaa sana latika lile jambo letu baada ya kukamilika, kwa zamu yetu kwenye lile jambo letu, ili pia tuje kumpata Jakaya Kikwete Ridhiwani Kikwete!

Mimi Pascal Mayalla nimeisha muendorse, awamu ijayo apelekwe MFA kumpatia inte4national exposure

Mungu Mbariki Ridhiwani Kikwete

Mungu Ibariki Tanzania

Paskali
We mzee unalaana sio bure
 
Kule Kenya kulikua na kitabu kimoja, nimekisahau, lakini nakumbuka "character" mmoja alikuwa common man, unakumbuka, au bado ulikua mdogo?, maana zamani sana.
 
Wanabodi,

Japo enzi za Rais Jakaya Mrisho Kikwete, sisi humu JF, tulimpiga spana za kutosha zikiwemo spana zangu, za kumkosoa JK, Mapungufu ya Kikwete: Constructive Criticisim!

Pia JK, alikuwa na mazuri yake pia tulimpongeza Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour" haya mazuri ya Kikwete pia Ridhiwani Kikwete anayo!.

Siku Jakaya anaaga alisema tutamkumbuka, kiukweli aliyefuatia, tulimkumbuka JK!

Hakuna Tanzania nzuri kwa uhuru wa vyombo vya habari uhuru wa kujieleza kama Tanzania ya JK!, ni kipindi hiki PPR ndio ilizaliwa, na kuneemeka!.

Sasa leo nokomuangalia Ridhiwani Kikwete live mubashara, kupitia TBC Ridhiwani Kikwete , nimegundua Jakaya Kikwete hapa alijizaa!, Jamaa ni copy right Like Father Like Son!, wanafanana mpaka sauti na jinsi anavyoongea, ni kama Jakaya, na vile vineno vya JK hadi raha kumsikiliza!.

Kufuatia Abedi Karume Amani Karume, Ali Hassan Mwinyi, Dr Hussein Mwinyi, then in future huyu Ridhiwani Kikwete atatufaa sana latika lile jambo letu baada ya kukamilika, kwa zamu yetu kwenye lile jambo letu, ili pia tuje kumpata Jakaya Kikwete Ridhiwani Kikwete!

Mimi Pascal Mayalla nimeisha muendorse, awamu ijayo apelekwe MFA kumpatia inte4national exposure

Mungu Mbariki Ridhiwani Kikwete

Mungu Ibariki Tanzania

Paskali
Najua umeandika ili kuchokonoa hisia za watu.....japo unajua watu watasema nini kuhusu Ridhiwani..
i have to exercise restraint and reserve what I was about to say regarding this Msoga boy otherwise my blessed and clean mouth might've been coerced to unleash insults of unspeakable proportions
 
Yaani unaonaje TL anafaa kuwa rais,uko mbali sana kifikra binti!..

Nyi mnadhani urais ni sawa na kuongoza taasisi ya harakati?
Humu kuna ushabiki ni sawa ni maono yao

Ila Sijawahi kudhani Eti sisi TZ tutakomboka na zimwi hili kwa kukataa uongozi

Siasa ni kama mpira refa akisema hii ni penati ni penati hata unune

Hooo ile offside watu washasema ni penati, we unakazana ni goalkick Utajua mwenyewe

Vijana wanadhani ufisadi ni kuibua hela kuziweka bila akili

Mtu ili uhisi unaibiwa ilitakiwa mwizi wako akiiba anaongezeka ukubwa

Kwamba mimi nakula ugali Dagaa ndio mana fidodido

Yeye akila kuku anenepe kuliko tembo huo ndio ufisadi

Mtu anaiba na bado ana mwili kama wangu.! Ni ufisadi au ujinga

Na hata akifanya hivyo bado ni mjinga haimpi uhalali wa kuwa timamu

Ufisadi ni dhana inayowatisha watu dhaifu na dhalili duniani

Narudia Hata Rais awe nani wenyewe tusipobadilika ni kufata upepo hakuna jipya

Kitachongwa kinyago kipya kwa dogoli la kale
 
Wanabodi,

Japo enzi za Rais Jakaya Mrisho Kikwete, sisi humu JF, tulimpiga spana za kutosha zikiwemo spana zangu, za kumkosoa JK, Mapungufu ya Kikwete: Constructive Criticisim!

Pia JK, alikuwa na mazuri yake pia tulimpongeza Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour" haya mazuri ya Kikwete pia Ridhiwani Kikwete anayo!.

Siku Jakaya anaaga alisema tutamkumbuka, kiukweli aliyefuatia, tulimkumbuka JK!

Hakuna Tanzania nzuri kwa uhuru wa vyombo vya habari uhuru wa kujieleza kama Tanzania ya JK!, ni kipindi hiki PPR ndio ilizaliwa, na kuneemeka!.

Sasa leo nokomuangalia Ridhiwani Kikwete live mubashara, kupitia TBC Ridhiwani Kikwete , nimegundua Jakaya Kikwete hapa alijizaa!, Jamaa ni copy right Like Father Like Son!, wanafanana mpaka sauti na jinsi anavyoongea, ni kama Jakaya, na vile vineno vya JK hadi raha kumsikiliza!.

Kufuatia Abedi Karume Amani Karume, Ali Hassan Mwinyi, Dr Hussein Mwinyi, then in future huyu Ridhiwani Kikwete atatufaa sana latika lile jambo letu baada ya kukamilika, kwa zamu yetu kwenye lile jambo letu, ili pia tuje kumpata Jakaya Kikwete Ridhiwani Kikwete!

Mimi Pascal Mayalla nimeisha muendorse, awamu ijayo apelekwe MFA kumpatia inte4national exposure

Mungu Mbariki Ridhiwani Kikwete

Mungu Ibariki Tanzania

Paskali
Achana nao
 
Mkuuu kwahiyo siku hizi Kuongea kama Baba yako ndio Sifa ya kua Rais?
 
Mentality ya kutawala watu badala ya kuwaongoza itawatafuna wengi. Siku zote mtawala anahofia alivyovikusanya kupitia madaraka visije vikamtoka hivyo huhangaika kuandaa warithi ili kuvilinda.

Nachelea kusema hayo ni zaidi ya mateso. Haya vipi mpango wa kurithisha mpendwa wako ukibuma hasa ukizingatia kwamba life is full of uncertainties?
 
Back
Top Bottom