Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
- Thread starter
- #221
Wanabodi, ukisikia mabandiko yana impact, ndio bandiko kama hili, kuna mdada wa JF, inaonekana alikuwa anamzimikia sana huyu dogo, kafa kaoza, alitamani dogo amtokee, ili awe nanii wake, kwa vile jamaa katulia sio ile type ya pita pita, hivyo huyu binti sasa amemjengea chuki kijana wa watu, ili kuficha chuki zake, akaamua kunianzishia mimi thread Paschal Mayala acha kutumika na Ridhiwan Kikwete maji yamekorogekaWanabodi,
Sasa leo nIkImuangalia Ridhiwani Kikwete live mubashara, kupitia TBC Ridhiwani Kikwete , nimegundua Jakaya Kikwete hapa alijizaa!, Jamaa ni copy right like father like son!, wanafanana mpaka sauti na jinsi anavyoongea, ni kama Jakaya, na vile vineno vya JK hadi raha kumsikiliza!, kitu kikubwa kumhusu Ridhiwani, ana karama ya uongozi, ana kipawa cha uongozi na ana uwezo wa uongozi kama baba yake!, ama kweli mwana wa nyoka ni nyoka!.
Japo mimi Pasco Mayalla nimeisha mfanyia endorsement yangu huyu kijana kwa kushauri awamu ijayo apelekwe MFA kumpatia an international exposure, mimi ni nobody, na ninachofanya hapa ni ku proposes tuu, anayeamua nani awe, sio mimi, sio wewe wala sio yeye, ni YEYE!, kama huyu yeye ameandikiwa na YEYE, kuwa siku moja atakuwa, then no one can do anything kuzuia asiwe!.
Mungu Mbariki Ridhiwani Kikwete
Mungu Ibariki Tanzania
Paskali
Mkuu Binti Mrembo Etwe, Etwege , kwa vile umesema una taarifa za uhakika, nakuomba weka na uthibitisho!, niliwahi kushauri humu, Hongera JF kwa Whistleblow, JF tubadilike, tusichafue majina ya Watu kwa tuhuma za Hearsay zisizo na Uthibitisho, Ukituhumu, Weka UthibitishoKwa taarifa za uhakika ni kwamba mwandishi nguli wa habari Paschal Mayala amenasa kwenye kundi la ccm mtandao ambalo kazi yao ni moja tu kubagaza na kubananga rasilimali za Watanzania.
naomba usichafue jina langu na jina la mtoto wa watu. Nitakushukuri pia ukionyesha jinsi huyu dogo kubagaza na kubananga rasilimali za Watanzania.
Hii si kweli, rais wetu wa 2030 tayari yupo anasubiri. tuu kukamilisha taratibu, na bahati nzuri mimi namjua na sio huyu dogo!, Trends Reading: Japo Rais wa 2030 Namjua, Simtaji ili Kumlinda!. Be The First to Know Good News Kawe-2030, MB.ni Mwanamke!, Kawe Itapaa kwa Maendeleo!Paschal Mayala amepewa kazi maalum ya kumnadi na kumsafishia njia Ridhiwan Kikwete ili apate taswira nzuri mbele ya macho ya watanzania ili kwenye uchaguzi mkuu wa 2030 achaguliwe kuwa Rais wa awamu ya 7 ya jamhuri ya muungano wa Tanzania hivyo kufuata nyayo za baba yake Jakaya Kikwete.
Eleza ni kivipi Ridhiwan Kikwete hana hadhi wala maadili ya kuwa Rais wa nchi yetu?Kwa sisi wapenda maendeleo na wazalendo wa nchi yetu Tanzania tunamuonya Paschal Mayala kuwa Ridhiwan Kikwete hana hadhi wala maadili ya kuwa Rais wa nchi yetu,
Unaweza kututajia hayo madudu na machafu aliyoyafanya baba yake?. Je unamhukumu mtoto kwa makosa ya Baba yake?.madudu na machafu aliyoyafanya baba yake yanatosha kabisa kumwondolea sifa ya kuchaguliwa kwani hataenda kufanya kazi za Watanzania badala yake ataenda kulinda biashara na masilahi ya baba yake.
We Etwe, kama unampenda dogo umekosa sasa unaugulia wivu, na ili kujifariji, ndio unaona bora umchafulie na kunichafulia na mimi?.
Kwa mabandiko yangu humu jf na makala zangu, mimi naweza kutumwa na mtu yeyote?.
Mimi huwa situmwi na yeyote bali najituma tuu, na ukiona kuna kitu nimekiandika, hicho kitu ni cha kweli!.
Na kumhusu huyu dogo, nimesema nIkImuangalia Ridhiwani Kikwete, nimegundua Jakaya Kikwete hapa alijizaa!, Jamaa ni copy right like father like son!, wanafanana mpaka sauti na jinsi anavyoongea, ni kama Jakaya, na vile vineno vya JK hadi raha kumsikiliza!, kitu kikubwa kumhusu Ridhiwani, ana karama ya uongozi, ana kipawa cha uongozi na ana uwezo wa uongozi kama baba yake!, ama kweli mwana wa nyoka ni nyoka!.
Japo mimi Pasco Mayalla nimeisha mfanyia endorsement yangu huyu kijana kwa kushauri awamu ijayo apelekwe MFA kumpatia an international exposure, mimi ni nobody, na ninachofanya hapa ni ku proposes tuu, anayeamua nani awe, sio mimi, sio wewe wala sio yeye, ni YEYE!, kama huyu yeye ameandikiwa na YEYE, kuwa siku moja atakuwa, then no one can do anything kuzuia asiwe!.
Mzee Pasco.