kata tuchat
Senior Member
- Mar 8, 2026
- 188
- 348
NonsenseWanabodi,
Watch TBC Mubashara, Ridhiwani Kikwete Yuko Live, Anaongea Kama Jakaya Kikwete!, Like Father Like Son, Atatufaa Sana In Future Baada ya Zamu Yetu!.
P
NonsenseWanabodi,
Watch TBC Mubashara, Ridhiwani Kikwete Yuko Live, Anaongea Kama Jakaya Kikwete!, Like Father Like Son, Atatufaa Sana In Future Baada ya Zamu Yetu!.
P
Kama ana sifa asidhulumiwe kisa baba alikua kiongoziHuyo Ridhiwani akiwekwa kwenye agenda we huoni sura ni zile zile ?
Alianza Mzee wa ruksa saivi anapigiwa chapuo Ridhiwani
Itaenda na kwa Abdul
Iuzwe mara ngapi? Na wenye chao wameshachukua,Nchi iuzwe kila mtu apewe chake
hahahaaa...naona upo kazini sio...unatafiti nini sasa hapo?Wanabodi,
Watch TBC Mubashara, Ridhiwani Kikwete Yuko Live, Anaongea Kama Jakaya Kikwete!, Like Father Like Son, Atatufaa Sana In Future Baada ya Zamu Yetu!.
P
Familia imejaa uroho wa madaraka mpaka basi! Imagine huyo mama kila mwezi anapokea mafao ya mke wa mstaafu! Na bado anapokea posho na mshahara wa ubunge!Upumbavu aiseee mke kagoma kustaafu na mume wake et karudi bungeni🙌
Umekuwa dodoki kamili unakosa sabuni tu.Wanabodi,
Watch TBC Mubashara, Ridhiwani Kikwete Yuko Live, Anaongea Kama Jakaya Kikwete!, Like Father Like Son, Atatufaa Sana In Future Baada ya Zamu Yetu!.
P
Aisee mbona watu wengine wapo wapewe nafasi hii nchii sio ya ki falmeKama ana sifa asidhulumiwe kisa baba alikua kiongozi
Amen 😢Ndio maana tunaitwa shithole na low IQ creatures, reasoning yetu ipo flawed sana wandugu, yani kwa kuwa anafanana na babake basi anafaa kuwa rais? Pathetic akili za wasomi wa kibongo, why did I become part of this society lord? Dar kama upo Mungu saidia hii jamii,
Amen
Watu wengine akina nani?Aisee mbona watu wengine wapo wapewe nafasi hii nchii sio ya ki falme
Amen 😢
Hawa watu aina ya Pascal wanakua wamelishwa nini?
Au ni vipofu?
Hata sifa hanaKama sifa anazo, mashaka yanatoka wapi!?, chuki ni mbolea ya umasikini.
Mimi najiuliza hawaoni aibu au pesa unavyozidi kuimiliki inakuzuzuaFamilia imejaa uroho wa madaraka mpaka basi! Imagine huyo mama kila mwezi anapokea mafao ya mke wa mstaafu! Na bado anapokea posho na mshahara wa ubunge!
Mpaka inasikitisha.
Ni matajiri wa kutupwa lakini hawatosheki!
Kama ana sifa asidhulumiwe kisa baba alikua kiongozi
Mimi zamani nilijua wasomi wote wana akili kuna msemo nenda shule kaondoe ujinga huu msemo ni fix aiseeNdio wasomi wenyewe wa nchi, haya mawazo angetoa mzee wangu kule kijijini aliyekosa hata darasa moja ningeelewa ila kwa hawa wanaojiita learned ndio shida kubwa ya nchi yetu na ilipofikia, naanza kumuelewa msukuma na Kishimba sasa, elimu ya magharibi haijawahi kumbadilisha mtu mweusi kabisa!
Kufanana ni suala mtambuka, kufanana nini!?..mleta mada kamaanisha kufanana uzungumzaji,hiyo siyo sifa,ila kama ana kipawa cha uongozi kama baba yake ni jambo zuri, maana nchi hii hapajatokea kiongozi wa maana kuzidi jakayaSifa ya kufanana na babake?
Wivu unakusumbua.Hata sifa hana
Watu wengine hata wewe piaWatu wengine akina nani?