Ridhiwani Kikwete yuko live, anaongea kama Jakaya Kikwete. Like father like son, atatufaa sana in future baada ya zamu yetu!

Mimi zamani nilijua wasomi wote wana akili kuna msemo nenda shule kaondoe ujinga huu msemo ni fix aisee

Mimi sio msomi ila vitu vidogo kama hivi nikiangalia naona kabisa ni ujinga

Then unamuona mtu mwenye degree anakuja kuandika hivišŸ¤”
Kazi yenu kutia ujinga watu wenye mitizamo tofauti nanyi,grow up you phuckers
 
Kufanana ni suala mtambuka, kufanana nini!?..mleta mada kamaanisha kufanana uzungumzaji,hiyo siyo sifa,ila kama ana kipawa cha uongozi kama baba yake ni jambo zuri, maana nchi hii hapajatokea kiongozi wa maana kuzidi jakaya

Umemuelewa mtoa mada au unakurupuka tu, soma hedingii! kama kwa akili yako hakuna kiongozi kama jakaya basi nimekosea thread itakuwa ni ya group la apes tu! Sorry am out...
 
Pasco,
Kwa hiyo huyo bwana kuongea kama baba yake, ndio kimekufanya wewe kuona kama ni "Presidential material" na kuchukua kalamu kuandika kwamba anafaa!!!

Nje ya mada: Pasco, wewe kwa sasa ni Public figure, Columnist, jitofautishe na makasuku, jamii inakuchukulia wewe kama kwa uzito na kama kioo, kuna watu wengi wanakufauatilia na wenda wanaweza kufanya maamuzi kupitia wewe. Mimi Mzee wangu, yupo kwenye 70's kuna siku nimekuta kaweka YouTube anakusikiliza wewe.

Huwezi tuambia sisi watu wazima namna hii! Yaanj suitable presidential candidate, kwa nchi kama yetu yenye matatizo lukuki ya kimfumo, tumpime kwa kuongea kama baba yake?.
Huyu kashapotea na hata hajui status yake kwenye jamii
Na kwa sababu hajui status yake hachagui cha kuongea wapi na kwa wakati gani
Ni wakupuuzwa
 
Wanabodi,

Japo enzi za Rais Jakaya Mrisho Kikwete, sisi humu JF, tulimpiga spana za kutosha zikiwemo spana zangu,

Siku Jakaya anaaga alisema tutamkumbuka, kiukweli aliyefuatia, tulimkumbuka JK!

Hakuna Tanzania nzuri kwa uhuru wa vyombo vya habari uhuru wa kujieleza kama Tanzania ya JK!, ni kipindi hiki PPR ndio ilizaliwa, na kuneemeka!.

Sasa leo nokomuangalia Ridhiwani Kikwete live mubashara, kupitia TBC Ridhiwani Kikwete , nimegundua Jakaya Kikwete hapa alijizaa!, Jamaa ni copy right Like Father Like Son!, wanafanana mpaka sauti na jinsi anavyoongea, ni kama Jakaya, na vile vineno vya JK hadi raha kumsikiliza!.

Kufuatia Abedi Karume Amani Karume, Ali Hassan Mwinyi, Dr Hussein Mwinyi, then in future huyu Ridhiwani Kikwete atatufaa sana latika lile jambo letu baada ya kukamilika, kwa zamu yetu kwenye lile jambo letu, ili pia tuje kumpata Jakaya Kikwete Ridhiwani Kikwete!

Mimi Pascal Mayalla nimeisha muendorse, awamu ijayo apelekwe MFA kumpatia inte4national exposure

Mungu Mbariki Ridhiwani Kikwete

Mungu Ibariki Tanzania

Paskali

Mzee wangu paskali šŸ˜„ Yan mtu anaweza kutufaa kwa kuongea tu kama baba yake?

Yan kuongea tu
 
naunga mkono hoja šŸ¤
 
PPR ilikunemesha sana ndio hivyo muda haurudi nyuma
 
Huyu kashapotea na hata hajui status yake kwenye jamii
Na kwa sababu hajui status yake hachagui cha kuongea wapi na kwa wakati gani
Ni wakupuuzwa

Mimi nimemfahamu Pasco kwa siku nyingi, kuna sehemu nimeona clip yake ya YouTube ina viewers 200k.
Hapa JF, akianzisha uzi huwa unafikia mpaka 3k and counting.
Ni Mwanamakala/Columnist makala zake husomwa nchi nzima na watu wa rika zote. Kalamu ina nguvu sana.

Anaweza kuwa anamkubali huyo bwana, lakini atafute namna ya kumwelezea, badae atasema ana baraka za baba yake! 😊
 
Issue sio mifano

wekeni mzani sawa wq kisiasa
acheni kuminya kukandamiza watu pindi tu mnapogundua wana akili kubwa kama mlivyofanya kwa TL

Wekeni ngoma uwanjani ichezwe utawaona watu wenye uwezo na wapo wengi sana ni vile for now mmeshika mpini
Yaani unaonaje TL anafaa kuwa rais,uko mbali sana kifikra binti!..

Nyi mnadhani urais ni sawa na kuongoza taasisi ya harakati?
 
Mimi nimemfahamu Pasco kwa siku nyingi, kuna sehemu nimeona clip yake ya YouTube ina viewers 200k.
Hapa JF, akianzisha uzi huwa unafikia mpaka 3k and counting.
Ni Mwanamakala/Columnist makala zake husomwa nchi nzima na watu wa rika zote. Kalamu ina nguvu sana.

Anaweza kuwa anamkubali huyo bwana, lakini atafute namna ya kumwelezea, badae atasema ana baraka za baba yake! 😊
Atafute namna gani ya kummwagia maua ?
Au aseme anabubujikwa machozi kama Luka
 
Back
Top Bottom