Ridhiwani Kikwete yuko live, anaongea kama Jakaya Kikwete. Like father like son, atatufaa sana in future baada ya zamu yetu!

Wanabodi,

Kwanza watch TBC Live Mubashara
View: https://www.youtube.com/watch?v=wMOElr9lFGI

Japo enzi za Rais Jakaya Mrisho Kikwete, sisi humu JF, tulimpiga spana za kutosha zikiwemo spana zangu, za kumkosoa JK, Mapungufu ya Kikwete: Constructive Criticisim!

Pia JK, alikuwa na mazuri yake pia tulimpongeza Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour" haya mazuri ya Kikwete pia Ridhiwani Kikwete anayo!.

Siku Jakaya anaaga alisema tutamkumbuka, kiukweli aliyefuatia, tulimkumbuka JK! Rais Magufuli, Waliomchagua Wanajuta!, Wasiomchagua Wanamshangilia!. Akishika Chama, Watakoma na kuna watu wa JK walishughulikiwa Hii Tumbua Tumbua ya Rais Magufuli, Hivi Kikwete Anajisikiaje?!. Anajisikia Sifa Au Anajuta?!. pia niliwahi kuuliza, Je, Kila utumbuaji ni wa haki, au kuna kumkomoa Kikwete?!

Hakuna Tanzania nzuri kwa uhuru wa vyombo vya habari uhuru wa kujieleza kama Tanzania ya JK!, ni kipindi hiki PPR ndio ilizaliwa, na kuneemeka!. Media tulikuwa huru hadi kumpiga biti rais wa JMT, enzi za JK Ushauri wa bure kwa Rais Kikwete, muombe msamaha Lowassa kabla ya October 25!, just imagine media tulivyokuwa huru!, leo lile tukio la October 29, watu 518 wamethibitishwa kufa, kuna media yoyote inaweza kukohoa kumwambia Rais Samia awaombe radhi Watanzania kwa kilichotokea, awafariji waliofiwa kwa mauaji ya makosa kama wale watoto wadogo au wale wa kibanda umiza?, enzi za Kikwete, hili lingewezekana, hivyo ikitokea akaja Ridhiwani, enzi za uhuru huu zitarudi, na labda hata PPR chini Pasco Jnr pia itafufuka!

Sasa leo nIkImuangalia Ridhiwani Kikwete live mubashara, kupitia TBC Ridhiwani Kikwete , nimegundua Jakaya Kikwete hapa alijizaa!, Jamaa ni copy right like father like son!, wanafanana mpaka sauti na jinsi anavyoongea, ni kama Jakaya, na vile vineno vya JK hadi raha kumsikiliza!, kitu kikubwa kumhusu Ridhiwani, ana karama ya uongozi, ana kipawa cha uongozi na ana uwezo wa uongozi kama baba yake!, ama kweli mwana wa nyoka ni nyoka!.

Kufuatia Abedi Karume Amani Karume, Ali Hassan Mwinyi, Dr Hussein Mwinyi, then in future huyu Ridhiwani Kikwete atatufaa sana latika lile jambo letu baada ya kukamilika, kwa zamu yetu kwenye lile jambo letu, ili pia tuje kumpata Jakaya Kikwete Ridhiwani Kikwete!
View attachment 3599235View attachment 3599235

Japo mimi Pasco Mayalla nimeisha mfanyia endorsement, huyu kijana, nashauri awamu ijayo apelekwe MFA kumpatia international exposure, ninacho fanya ni ku proposes tuu, anayeamua nani awe, sio mimi, sio wewe wala sio yeye, ni YEYE!, kama huyu yeye ameandikiwa na YEYE, then no one can do anything kuzuia!

Mungu Mbariki Ridhiwani Kikwete

Mungu Ibariki Tanzania

Paskali

Upo serious au unatania
 
Paskali unatoka sehem moja na Kabudi? Haujulikani unasimamia nini? Wasukuma ni majasili wanakawaida ya kusimamia wanachokiamini,kama unajinasibu na uskuma fualilia DNA ujuwe ukweli uafanana mno misimamo yako na Kabudi,bendera ffff
 
Sifa hana kabisa, kwanini anapigiwa upatu mtu asiye na sifa plus ana makandokando lukuki?
Ridhiwani ni uchafu uliooza na unanuka vibaya mno, naona kenge mmejazana kuyapaka rangi mavi yanayonuka from miles away.
Jibidishe ktk kutafuta ridhiki la wanao kama u
Mahakama zipi?

Za JAJI MWANGA, na CHANDE???
Sasa kama majibu unayo, unauliza nini?
 
P are you serious!?🥺🥺🥺
Anapitisha ujumbe wake wa 518 ufike alipotaja! Hata hivyo, sioni tatizo kwa Mheshimiwa Ridhiwan kutabiriwa nafasi hiyo endapo atakidhi vigezo vya kuwa hapo. Ni mtanzania mwenzetu. Kuwa mwanafamilia wa Mheshimiwa Dr. Kikwete kusimnyime furusa ya kutumikia Watanzania katika nafasi hiyo. Cha msingi akidhi vigezo tu.
 
Ni nukuu kutoka kwa kiongozi mmoja nimemsahau. Sijui ni JKN. Alisema hivi. "mtu mwenye akili akikupa wazo la kijinga, ukalitendea kazi wazo lake, huyo aliyekupa wazo hilo atakuona wewe ni mpumbavu kabisa". SASA sijui...
 
Back
Top Bottom