Mimi Piga ua, Magufuli namuunga mkono na nitaendelea kumuunga mkono: niulize kwanini?

Unahisi Dar haikujengwa na political interest ya wakoloni?!!!
uhisi kwamba kuendelea ku-invest Dar ni political decision?!!

kwani Madini ya Geita hayana manufaa?

ETI CHATO HAKUNA STRATERGIC INTEREST: YANI!!!!!
E
 
Jamani wapinzani kuweni na Aibu!!!

yani hamuoni maendeleo sehemu zote hizo, dah!

juzi juzi tu nimeona wamejenga mji wa sumbawanga

kuweni basi na aibu kidogo jamani, mpeni hata haki yake maskini
 
Wewe unaonekana huna uelewa kuhusu mambo ya uchumi , mji hua haulazimishwi kujengwa hua unajijenga wenyewe kulingana na geographical location, natural resources na population ya eneo husika , mji kama Kahama pamoja na kua wilaya una nguvu kulko Shinyanga ambao ndio mkoa sàsa utapeleka hayo makitu Chato ambako hakuna mzunguko wa pesa na population ni low itafanya nini?
 

Wala hujakosea Lakini USISAHAU katika vyote hivyo ni lazma uangalie priorities maana kila utachofanya ni lazma wananchi wote watapata impact iwe directly ama indirectly.

Tena kumbuka Serikali inategemea mapato yanayotokana na kodi zetu na pamoja na investment zinazowezeshwa kupitia kodi zetu. Ikikopa ni sisi tunaolipa. Ikiwekeza kama vipofu for whatever reason, ni sisi wananchi ndio tutagharamika nalo. kwa Kifupi wananchi ndio the REAL BOSSES
 
Mkoloni ni bora kuliko huyu wa chato alituletea elimu,Utanzania,miundo mbinu,mikopa na wilaya na utawala wa sheria.
nyie ndo huwa nawapenda: wapenda utumwa na ukoloni

Eti alileta Elimu, elimu gani

kalibia asilimi 80% ya watanzania walikuwa hawajui kusuma na kuandika
rasiliamali silepelekwa ulaya wa wazungu
kulikuwa na madkatari wawili weusi nchi nzima
Dar kuluwa na nyumba za kuti na mapipa (kwa watu weusi)

Maendelea ya kunyonyaji sio maendeleo: ni sawa na kumshukuru kibaka kwa kununua kondom

na hii ndo fikra ya wapinzani, yani mnavyopenda wakoloni...
 
Tundu Lissu hamyumbishi mtu ila kwa wasiojiamini wanaona anawayumbisha kwa sababu ya siasa chafu za akina kagame,mseveni na burundi kutawala awamu hii ya tano,walimpiga risasi nyingi lakini ni mzima kwa uwezo wa mungu.
 
Kwani hayo mapato yanatokana na nini kama sio investment

ondoa bara bara, hospitali, na kiwanja cha ndege tuone kama Dar italeta hayo mapato

yani fikra finyo saaana!!

usiweke mayai yote kwenye kapu moja anko, likidondoka nchi inabaki hoi
 
Jamani wapinzani kuweni na Aibu!!!

yani hamuoni maendeleo sehemu zote hizo, dah!

juzi juzi tu nimeona wamejenga mji wa sumbawanga

kuweni basi na aibu kidogo jamani, mpeni hata haki yake maskini

Aibu kwao ni msamiati wa kigiriki


1.Kama waliweza kutetea na kulilia mikataba mibovu isivunjwe

2.Wakaweza kufurahia ndege za serikali kushikiliwa kule Canada

3.Wakaweza kutamani watanzania wengi wafe kwa corona hadi tushindwe kuzikana ilk rais awe amefail

4.Wakaweza andika barua world bank ili nchi inyimwe pesa ya elimu

5.Wakaweka kwenye ilani yao kwamba watakaposhika dola wataweka madini yetu rehani kwa wale mabwana ili wapewe pesa ya kuendesha serikali

Comred Hisha Sorel hawa watu hawatokaa wawe na aibuuuuu milele
 
Tundu Lissu hamyumbishi mtu ila kwa wasiojiamini wanaona anawayumbisha kwa sababu ya siasa chafu za akina kagame,mseveni na burundi kutawala awamu hii ya tano,walimpiga risasi nyingi lakini ni mzima kwa uwezo wa mungu.
tundulisu si ndi yule baba aliepokea tuzo ya thatcher na bush, yule conservative

hivi nyie chadema mnajua siasa za conservative movement?!
jamani muwe mnatumia google

ni siasa za kibaguzi, na kinyonyaji: fuatilia siasa za republican party na conservative paty cha UK ujue
hao ndo rafiki wa tundulisu

yani CHADEMA bwana.. hahaha
 
Jamani wapinzani kuweni na Aibu!!!

yani hamuoni maendeleo sehemu zote hizo, dah!

juzi juzi tu nimeona wamejenga mji wa sumbawanga

kuweni basi na aibu kidogo jamani, mpeni hata haki yake maskini
We hujitambui mkoa wa Geita una wilaya 5, lkn kila kitu chato tu, uwanja wa ndege tayari umejenga chato, haya sisi wa mbogwe au bukombe njoo utujengee hiyo hospital ya rufaa au sisi sio sehemu ya Geita/tz, chato umeshawapa airport basi na sie nkome/ Geita vijijini tujengee hicho chuo cha uvuvi au sisi sio sehemu ya Geita/tz?
 
Comrade mama D angalia comment ya mmoja hapo juu: eti anasema wakoloni ni bora kwani walileta maendeleo

yani ndugu zetu wanapenda utumwa, wanasifu ukoloni, na hawafahamu historia ya ukoloni ndanu ya hii nchi

inatia huruma sana
 
Yes, lakini magufuli na serikali yake ndo wana mandate
wameona Chato ni strategic investment na mimi naunga mkono
sioni tatizo kwani watu wa Chato ni watanzania pia na wanapaswa kupewa chance kama Dar ilivyopewa chance, mwanza na miji mingine iliotimiza strategic interest ya mkoloni.
 
Comrade mama D angalia comment ya mmoja hapo juu: eti anasema wakoloni ni bora kwani walileta maendeleo

yani ndugu zetu wanapenda utumwa, wanasifu ukoloni, na hawafahamu historia ya ukoloni ndanu ya hii nchi

inatia huruma sana

Hawajielewi

Walileta maendeleo au walitengeneza miundombinu ya kuwarahisishia zoezi la kubeba mali zetu?

Hili taifa lina watu wachache wa ajabu sana

Kuna comments ukisoma ndio utajua kwanini rais alisema hapangiwi
 

Kahama sio makao makuu ya mkoa wa shinyanga ila kutokana na kuwa centre ya madini na biashara kuelekea hadi Rwanda. Hii centre imekuwa ikikua kwa kasi na badi inachangia pakubwa kwenye pato la taufa lakini bado serikali haikupata sababu ya kuwekeza such amount kwenye huu mjii muhimu sana

Tukirudi chato, Huu mji geographically upo karibu zaidi na Kagera maana ndio mkoa wake asilia hivyo, point yako ni invalid.

Huu mji haujawahi kuwa centre kubwa katika lake zone , toka mwanza hadi kagera utakutana na centres nyingi zimechangamka ila Chato ni kama mji mfu kiufupi HAUNA ANY ECONOMICAL ADVANTAGE KULIKO HATA BUSERESERE.

Ukisema serikali inawekeza sababu ipo Geita lakini kumbuka Chato si point ambayo inaweza kuufaidisha mkoa mzima wa Geita maana hata si makao makuu ya mkoa so, una justification yoyote zaidi
 
Em toka hapa, eti mji unajijenga
nikiondoa bandari, bara bara, hospitali unafili dar itajijenga tu?

watu ufuata investment
geography na interest uchochea ila investment ndo kitu cha muhimu kuliko vyote

Dubai isingefika hapo kama kusingekuwa na mafuta ya investment
kuna sehem ngapi zinafanana geographically na hazina maendeleo sawa sawa

Kama geography ndo kila kitu basi kila bala lingekuwa na New york, Sydney, au Beijing: kwani geograophy na location ujirudia duniani
 
Wapo ambao wanotoa criticisms zenye haja, but majority about 99% wanajaza server tuu.

Inasikitisha kadiri miaka inavyo ongezeka ndio JF inashindana kwa nguvu zote iishinde Facebook. It a pit to read comments in JF coming from members assembled here as great thinkers pouring stupidity rather than wisdom.
misleading and deceptive political comments is regarded as clever.

Group dynamics often affect individual behaviour. Contributors subordinate their values to group objectives and engage in contributions which they would otherwise regard as dishonourable.

Important information is withheld, distorted and manipulated and falsehoods and propaganda are euphemistically misdescribed as "spin".
It is almost impossible for JF members to distinguish information and rational opinion from nonsense and deceit.

Writing scandals are frequent and Members regularly attribute misconduct to each other, accuse each other of egregious character flaws and assert, in the face of overwhelming evidence to the contrary, that only their opponents act improperly.

Reprehensible conduct, often involving the misuse of insulting words, is falsely denied or excused as "within the rules", which means merely that the conduct is not illegal according to self-indulgent rules which the sub group members themselves determine.
 
Nmegundua nahangaika na mwehu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…