Mimi Piga ua, Magufuli namuunga mkono na nitaendelea kumuunga mkono: niulize kwanini?


Nchi inaweza kuendeshwa bila viongozi lakini haiwezi kuendeshwa bila wananchi. We are the soul and centre of this nation, Bila sisi hakuna nchi RESPECT THAT

Kwa ulivyoongea tu inaonekana chato unaisoma mtandaoni na lake zone yenyewe huijui vizuri. Kiufupi hakuna SOLID REASON unaweza kupata kwa kuhalalisha Chato kupata such investments.

nakiri Kama ni maendeleo sipingi, patakua tu kutokana na hiyo investment, kama dodoma imekua, why not Chato. Kuhusu impact au return ya hiyo investment katika uchumi is still quiestionable
 
That is your opinion, na rais ambaye an mandate ya ku-stratergise hakubaliani ya outlook yako

so tough luck

Point yangu ipo pale pale:
Chato ni mji wa Tanzania so investment ni appropriate,
mbili investment ita-boost capacity ya mji inturn increase revenue so current assessment haireflect future yeild
Chato pia ipo Geita amabapo industry ya mining ipo-centralised so kuna optimism
 
Hiki kipindi sio chakuonyesha mahaba maana unaye muonyesha mahaba anajuwa unampaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Kila kitu kipo postive hakuna kilichotabiriwa ndani ya uchumi hakijatokea. Ole wao walio mlisha mkuu tango pori... Watafurahi. Mm nimefunga mdomo nasema kidumu chama cha mapinduzi.
 
wananchi wakishapiga kura decision ya chama kilichochaguliwa inakuwa-assumed kuwa ni decision la wananchi: ndo maana ya representative democracy. Na ndo maana ya mandate

Nchi yoyote lazima iwe na mgongano wa mitazamo, hakuna policy ya nchi ambayo in 100% approval
lakini hiyo sio sufficient argument ya impropriety

nyie semeni tu "mtazamo wangu wa kisiasa na kiuchumi unafanya nisipende investment North of Tanzania" basi.

Lakini msianze kulia nepotism: nepotism kweye public infastructure, beneficiary wakiwa Watanzania wenzenu, tena hata wewe waweza kwenda ku-benefit ukisikia:

ingekuwa nyumba yake binafsi si mngeandamana
 
Kwa hiyo miji midogo= chato!! Maendeleo= chato!! Eneo lenye watanzania wazawa=chato! Eneo la kimkakati= chato! Eneo la majaribio = chato!!! Na wewe mwana chato huoni kama kuna tatizo hapo!! Nakuhakikishia kabisa kuwa hata hapo chato penyewe pana watu wenye akili ambao hawapendezwi na upendeleo huu,mtu mwenye akili nzuri hawezi kufurahia upendeleo(nepotism) hata kama huo upendeleo una m favor yeye,naamini hata magu mwenyewe huwa anatamani watu wasijue anachokifanya huko kijijini kwao ila tu anajisemea "potelea mbali,hata kama wanasema acha waseme,lazima nipendelee ndugu zangu" na anapotokea bwege akamuunga mkono ndiyo naye anajisemea " kumbe mapimbi yenyewe hata hayajashtuka? Ngoja nihamishie na bajeti yote ya wizara huko kwetu"
 
Factor za investment hazikuangaliwa
 
Acheni kujibumbia adui

hivi amuoni maendeleo sehemu nyingine!!!?

yani Chato ikiguswa tu, mnaandamana


ndo tatizo la upinzani, mnaluka mapema sana mwishowe mechi ikianza mnakuwa mmeshachoka
hamna ajenda mpaka sasa zaidi ya kuunganisha hoja za kubumba

Chato ni Tanzania, na itapata maendeleo kulingana na mikakati ya chama tawala
upendi, nenda kapige kura 2025, simple
 
Matumizi mabaya ya Kodi zetu, haipo kwenye Ilani
 


Rais hakubaliani !!!

Tough Luck na wao wapo Futuristic, IT'S OK.. Haya nijibu MR HARD FACTS

Chato ipo Geita yenye mining centre.
Sasa kwa nini huo uwekezaji usiwekwe Geita ama yenyewe haina mji wenye uhitaji, population na potential ya kuwa kitu kikubwa zaidi kuliko chato.

Yaani kuna ulazima gani kuitumia Geita kwenye utetezi wako ilhali Geita ina mji wake na labda uniambie Geita mjini imekosa nini na Chato ina advantage gani kubwa zaidi hadi investments zipelekwe huko
 
Nadharia za uongozi upinga maendeleo ya kibaguzi,ni kupanda mbegu mbaya,so unasapoti KILA ajae ajenge kwao kuwa kutumia Kodi za nchi nzima?
 
Matumizi mabaya ya Kodi zetu, haipo kwenye Ilani
kwahiyo ilani nzima haikusema ujenzi wa airport, bara bara, umeme, mbuga za wanyama?!!
em acha kutuzingua bwana

au unataka ilani iseme mpaka eneo ambapo miundombinu itajengwa

kwani Chato hawalipi kodi au sio watanzania?!
 
Wakoloni wazungu walichagua katikati ya nchi ili iwe vigumu maadui kushambulia,pia iwe rahisi kutawala na kusambza huduma.
Lakini Dodoma ilikataliwa sababu ya kitaalamu,wakaamua Dar.
Swali la kuendeleza Chato kuliko maeneo mengine linahitaji mjadala wa pammoja ni kipi kifanyike na ni kipi kisifanyike.Hasa pale fedha za serikali zinapotumika kutekeleza miradi hiyo.
 
Chukua chako mapema mda umebaki mchache labda tu Kama ni sehemu ya kupigia.
 
Unahisi Dar haikujengwa na political interest ya wakoloni?!!!
uhisi kwamba kuendelea ku-invest Dar ni political decision?!!

kwani Madini ya Geita hayana manufaa?

ETI CHATO HAKUNA STRATERGIC INTEREST: YANI!!!!!
EView attachment 1678996
Sijui kama umeweza pata point yangu vyema.....why chato now not before?,was it planned before?,is it for the benefits of all Tanzanians?,How about Dodoma?,what does Tanzania's economic plan and city investment say about this abrupt move to Chato?,For a city to be invested on what are the criteria need to be considered first....hebu jaribu kwanza kujibu haya maswali yangu then nadhani ndo tunaweza elewana!!!.....tuweke siasa na mihemuko pembeni na ushabiki utopolo pembeni...haya pangua hoja hizo sasa.
 
Kwenye
kwahiyo ilani nzima haikusema ujenzi wa airport, bara bara, umeme, mbuga za wanyama?!!
em acha kutuzingua bwana

au unataka ilani iseme mpaka eneo ambapo miundombinu itajengwa

kwani Chato hawalipi kodi au sio watanzania?!
Kwenye na sio kujenga kijijini,we uoni population tu ya watumishi itakayotakiwa huko itaizidi hata population ya wakazi wote wa huko.
 
Sawa mkuu,unaweza kuhitimisha kwa kutuambia tu kuwa chato ina nini cha zaidi kushinda mahali pengine( ukiachilia mbali dar=commercial city! Na dodoma=ambalo ni jiji la kisiasa,) huko chato kuna nini kikubwa hadi papendelewe kuwa the next commercial hub na isiwe pengine? Kuna mahali umekoroga kwa kuuliza eti ni nani walipiga kura kuipitisha dar kuwa jiji kuu la nchi,sijui kama pia utaweza kutuambia hizo kura za kuipaisha chato zilipigwa wapi? Ila,,,,,nyie sombeni tu kila kitu,nchi yenu hii,ila muombe Mungu huyu nepotist asitoke madarakani,na hivi atakuwa ameshatengeneza legacy ya kila mtawala kuhamishia uchumi kijijini kwake,hatutakuwa na la kusema huyo ajaye atakapofanya mara kumi ya huyu,maana huyu alisha set mfumo huo,na mukaukubali,sasa akija mhaya itakuwa ni zamu ya wahaya kula,akija mmbulu wambulu wamelamba dume, ndicho kinachoendelea kenya,mjaluo hamchagui mkikuyu kwa kuwa mkikuyu hana faida kwa mjaluo ila kwa wakikuyu wenzake,hatari sana.
 
nashangaa ujaniuliza Kuhusu Chato Quatery revenue au growth projection ya miaka 10!? kwani swali hili linge-achieve kitu kile kile.

mi sina Data kuhusu government internal working na decision process ya kuchagua Chato, pia sina Data kuhusu kwanini Daraja kigamboni lilijengwa: point yangu ni nini?

Shangaa hatujui kwanini A imechaguliwa dhidi ya B: hatuwezi kusema kwamba A imechaguliwa kisa nepotism kwani kuna sababu zaidi ya moja kwanini mtu anaweza kuchagua Chato.
Kama Chato kungekuwa hakuta chochote ningekuunga mkono, lakini sababu nilizotaja kwa haraka inaonesha kwamba Chato ni valid option out of many.

We assessment yako inasema Chato sio valid, mwingine anaweza sema tofauti: decision ya kuchagua kati ya two argument ni ya yule alie pewa mandate.
 
sawa basi ndio zamu ya maeneo mengine nayo kupata maendeleo dar inatosha.by the way mirad mbona ipo kila kona ya nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…