Mimi Piga ua, Magufuli namuunga mkono na nitaendelea kumuunga mkono: niulize kwanini?


Nchi haipo chini ya chama, ipo chini ya Central Government ambayo inasimamiwa na katiba ya nchi. Hatuendeshwi kwa maamuzi ya chama, tunaendeshwa kwa Serikali ambayo ipo madarakani kutona na chama flani kushinda

Lipo bunge ambalo kwa kiasi kikubwa ndio sauti za wananchi maana ndipo viongozi waliochaguliwa na wananchi walipo (Only if uchaguzi ulikuwa wa HURU NA HAKI).
Kitu kinapojadiliwa bungeni kwa maslahi ya wananchi hiyo ndio inakuwa sauti ya wananchi and not the otherwise


MR HARD FACT, Ulisema wenzio hawana FACTS na unasimamia FACTS. Mwisho wa siku na wewe umeanza hadi kutumia hisia binafsi na vijembe kama back Up, Next time uwe na respect kwa Maoni ya binadamu wenzio pasipo kujimwambafai vile usivyostahili
 
unaongelea ukabila kwani ni kinyume cha sheria we kuamia chato

yani mi sielewagi wapinzani kabisa, yani magufuli akiokota peni mnasema anaokota silaha

kujenga miundombinu Tanzania na kwa waTanzania, mshasema "UKABILA!!!" " KAMA KENYA"

Nchi ngapi zinajenga mindombinu sehemu ambapo hakuna watun wengu wa sababu fulani: Angalia history ya las vegas
 
Nadharia za uongozi upinga maendeleo ya kibaguzi,ni kupanda mbegu mbaya,so unasapoti KILA ajae ajenge kwao kuwa kutumia Kodi za nchi nzima?
Tatizo lipo wapi, si waTanzania wote au tatizo lipo wapi!!!
miundombinu ni miundombinu; kikubwa mtanzania anufaike issue iko wapi

utasema wanadai visa kwenda eneo fulani la Tanzania
 
Hahahahaaaaaaaa!! Huu mchanganuo wako ungekuwa ndiyo ukweli wenyewe basi ningependekeza vyuo vifungwe tu!! Ufundishe wewe!!! Yaani hapa ndiyo umemwaga takataka kabisa,kwa hiyo ukigundua kuwa hao wasomi wa kufikirika watapenda kuenjoy casino basi unaandaa na ma casino kabisa, na maduka ya magari, na luxury points za kutosha zikiwangoja hao viumbe wa kufikirika? Kumbe maujinga tu hapa
 

The likes of Nyerere and Kwame wakisoma mawazo kama haya wanaweza kujuta kwa nini hata walipoteza energy yao kutafuta uhuru kwa watu ambao wanaogopa hata kuwa Huru kimawazo baada ya miaka zaidi ya 50 ya Uhuru...
 
Nchi inaendeshwa na wabunge na executive wanaowakilisha vyama vyao vyenye mitazamo flani.

mbunge au raisi akishachaguliwa inakuwa ni ruksa juu ya sera za chama (ndo maana kampeni wanavaa kijani)

Chama ndo kinandaa Policies, na policies ndo zinaendesha nchi

sasa kama CCM policies zinalenga rural areas investment; nchi itafocus kwenye rural areas investment bila kujali ni sehem gani

Kikwazo cha sera za chama ni sheria na katiba pekee:

sasa hii ndo point yangu: kwa uwelewa wako wewe, na ushahidi wako wewe: ni sheria gani Mh. Magufuli na serikali yake imevunja kwa kuwekeza kwenye ardhi ya Tanzania?
 
Oooh! Kumbe huna logic unaongozwa na hisia!?

Kitu chochote inachofanya serikali lazima kiwe kina manufaa kiuchumi

Na hiyo ndio logic inaongoza serikali yoyote duniani

Sasa km mnawekeza chato kwa sababu Tu! Mnataka iendelee km dar bila kuangalia factors nyingine za uchumi, kwa vyovyote vile hyo itakuwa ni wrong strategy
 
Kwa point hii wangepaswa kuwekeza geita mjini na sio kijijini chato
 
The likes of Nyerere and Kwame wakisoma mawazo kama haya wanaweza kujuta kwa nini hata walipoteza energy yao kutafuta uhuru kwa watu ambao wanaogopa hata kuwa Huru kimawazo baada ya miaka zaidi ya 50 ya Uhuru...
How?!!

Mi napinga judgement ya nepotism kwani sioni kwanini public infastructure iwe nepotism,
we una-argue kuwepo kwa nepotism kisa raisi ametokea eneo hilo na pia huoni (in your opinion) umuhimu wa eneo hilo

sasa nyerere atasikitika kisa nini?
kwamba mtu hakubariani na economic assessment yako, au?

I am so confused!!
 
sababu we ndo mdai iabidi utoe ushahidi unaonesha kwamba investment Chato, kulingana na government assessment, hauwezi kuzaa return ndani ya mda ulio-reasonable.

mi najaribu kujifanya nina Data ambazo sina: hii inaitwa integrity.

point yangu ni simple: Chato ni Tanzania, wananchi wake ni WaTanzania, ipo kwenye eneo lenye industry
kwa sababu hizi Chato inasababu kuzingatiwa wakati wa strategic investment

so sio lazima kuwepo kwa nepotism wakati wa investment decision
 

Mkuu nilichoelewa ni unafanya kusudi kutokuelewa na kama umeshindwa kunielewa bhasi hujataka tu kuelewa na huwezi elewa.. Endelea na imani yako maana unaweza kuipigania na kuilinda blindly .
Uwe na weekend njema
 
Chato ndiyo nyumbani kwa Magufuli,full stop,isingekuwa hivyo tungeendelea kuisoma tu kwa kupitia sababu nyingine za kawaida,ila imekuwa special tu kwa kuwa ndiko anakotokea rais wa tanzania,nyingine zote ni bla blah za hapa na pale,,tuendelee na blah blah sasa!!
 
Sijui hata criticism yako inabase wapi:
unasemema kwamba industry aisukumi watu?

Tuongelee Sicon valley: kwanini unafikili kwanini tech companies yapo concentrated california na sio Alabama


kukua kwa mji ni complex: lakini kiuwepesi ni industry--> workers-->infastructure-->workers-->infastructure--> and so on
watu ufuata kazi pamoja na mazingira hasa hasa skilled workers



 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
 
Chato haijaguswa,na sijawahi kukataa kuwa maeneo karibu yote( mengine) yameguswa kimaendeleo, ila chato haijaishia tu kuguswa,chato imekumbatiwa,siyo wapinzani wanaoonyesha kwenye tbc kila siku miradi mipya inayosukumizwa huko chato,na wapinzani sijawasikia wakisema isipelekwe huko chato,ila wanauliza "mbona chato ipate 70 kati ya 100?halafu hizo 30 ndiyo ziguseguse sehemu zingine? Hebu na wewe jiulize
 
Hongera
 
Kwani hayo mapato yanatokana na nini kama sio investment

ondoa bara bara, hospitali, na kiwanja cha ndege tuone kama Dar italeta hayo mapato

yani fikra finyo saaana!!

usiweke mayai yote kwenye kapu moja anko, likidondoka nchi inabaki hoi
Kweli kichwa hiki ni kibovu chanzo cha kukua kwa Dar es Salaam ni bandari na mji mkuu wa kiserikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…