sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,704
- 9,932
Padre Kitima ni kiongozi wa kiimani nnae mkubali sana haswa mitazamo yake.
Lakini sikubaliani nae kwenye proposal yake kuwa mchakato wa maridhiano uongozwe na wananchi.
Kwenye theory inasound vizuri, lakini tukija kwa ground inakuwaje?
Wananchi gani? Wanawakilishwaje? Nani anawaita? Nani ana-set agenda za maridhiano? Nani anasimamia mchakato?
Na muhimu zaidi, tuna case study gani ambayo model kama hii imewahi kufanya kazi kwenye mazingira yanayofanana na Tanzania? Au tunazungumzia tu principle nzuri bila kujua implementation yake itakuwaje?
Mimi sioni tatizo wananchi kuhusishwa......hilo ni muhimu. Tatizo langu ni kusema wananchi waongoze bila kueleza mechanism ya hiyo leadership itakuwaje.
Maridhiano ya kitaifa sio wananchi kukaa tu chini na kusema “tusameheane”. Kuna Serikali, vyama vya siasa, taasisi, waathirika wa mauaji, viongozi wa dini, civil society na makundi mengine yenye interests tofauti.
So, kuna case study ya kutuonyesha kwamba hii model inaweza work kwenye Tanzania context au ni idea nzuri zaidi kwenye maandishi kuliko ukweli wa mtaani?