Mimi sikubaliani na mtazamo wa Padre Kitima kwamba wananchi ndio waongoze mchakato wa maridhiano

Mimi sikubaliani na mtazamo wa Padre Kitima kwamba wananchi ndio waongoze mchakato wa maridhiano

Hoja ya maridhiano ni ya kitaifa, dini zote zinataka watu kukaa chini na kuelewana. Kitima ni kiongozi wa dini ila sijawai kumsikia akitoa kauli za kumbagua mtu au kumshambulia mtu sababu ya imani yake.
mfuatilie vizuri gentleman utanielewa ,
tazama hata safu ya uongozi wa chadema taifa Fr.Kitima ndie mastermind kama ulikua hujui. Hakuna ambae asie mkristo hata moja. Kitima anatamani mno Tanzania iwe nchi ya dini yake na dhehebu lake ndio liongoze nchi:1Head:
 
Serikali ya wananchi ni ile iliyochaguliwa kwa HAKI na wananchi na hiyo ndiyo itakayokuwa inayafahamu matakwa ya wananchi. Vinginevyo kama ilivyo ya MALAWI ni ubatili.
Gentleman,
Tanzania kila baada ya miaka mi5,
huingia kwenye uchaguzi huru, wa haki na wa wazi kwa mujibu wa katiba ya nchi yao, kuchagua viongozi wa kuongoza taifa lao. Full stop. :NoGodNo:
 
Back
Top Bottom