sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,704
- 9,932
changamoto ya Fr.Charles Kitima ni udini uliomjaa nafsini mwake.Padre Kitima ni kiongozi wa kiimani nnae mkubali sana haswa mitazamo yake.
Lakini sikubaliani nae kwenye proposal yake kuwa mchakato wa maridhiano uongozwe na wananchi.
Kwenye theory inasound vizuri, lakini tukija kwa ground inakuwaje?
Wananchi gani? Wanawakilishwaje? Nani anawaita? Nani ana-set agenda za maridhiano? Nani anasimamia mchakato?
Na muhimu zaidi, tuna case study gani ambayo model kama hii imewahi kufanya kazi kwenye mazingira yanayofanana na Tanzania? Au tunazungumzia tu principle nzuri bila kujua implementation yake itakuwaje?
Mimi sioni tatizo wananchi kuhusishwa......hilo ni muhimu. Tatizo langu ni kusema wananchi waongoze bila kueleza mechanism ya hiyo leadership itakuwaje.
Maridhiano ya kitaifa sio wananchi kukaa tu chini na kusema “tusameheane”. Kuna Serikali, vyama vya siasa, taasisi, waathirika wa mauaji, viongozi wa dini, civil society na makundi mengine yenye interests tofauti.
So, kuna case study ya kutuonyesha kwamba hii model inaweza work kwenye Tanzania context au ni idea nzuri zaidi kwenye maandishi kuliko ukweli wa mtaani?
Who are you again? Hizo so called vyama vya siasa viko drived na nani? Hizo taasis zingine ziko drived na nani?Padre Kitima ni kiongozi wa kiimani nnae mkubali sana haswa mitazamo yake.
Lakini sikubaliani nae kwenye proposal yake kuwa mchakato wa maridhiano uongozwe na wananchi.
Kwenye theory inasound vizuri, lakini tukija kwa ground inakuwaje?
Wananchi gani? Wanawakilishwaje? Nani anawaita? Nani ana-set agenda za maridhiano? Nani anasimamia mchakato?
Na muhimu zaidi, tuna case study gani ambayo model kama hii imewahi kufanya kazi kwenye mazingira yanayofanana na Tanzania? Au tunazungumzia tu principle nzuri bila kujua implementation yake itakuwaje?
Mimi sioni tatizo wananchi kuhusishwa......hilo ni muhimu. Tatizo langu ni kusema wananchi waongoze bila kueleza mechanism ya hiyo leadership itakuwaje.
Maridhiano ya kitaifa sio wananchi kukaa tu chini na kusema “tusameheane”. Kuna Serikali, vyama vya siasa, taasisi, waathirika wa mauaji, viongozi wa dini, civil society na makundi mengine yenye interests tofauti.
So, kuna case study ya kutuonyesha kwamba hii model inaweza work kwenye Tanzania context au ni idea nzuri zaidi kwenye maandishi kuliko ukweli wa mtaani?
Lini na wapi ulisikia wananchi walifarakana hapa Tanzania??Who are you again? Hizo so called vyama vya siasa viko drived na nani? Hizo taasis zingine ziko drived na nani?
Wananchi ndio msingi bila wao maridhiano yatakuwa baina ya viongoz na wanasiasa si wananchi
Serikali ya wananchi ni ile iliyochaguliwa kwa HAKI na wananchi na hiyo ndiyo itakayokuwa inayafahamu matakwa ya wananchi. Vinginevyo kama ilivyo ya MALAWI ni ubatili.changamoto ya Fr.Charles Kitima ni udini uliomjaa nafsini mwake.
anawachukia mno viongozi, hasa wa serikali kuu ambao sio wa dini yake na kabisa hana imani nao.
na anasahau kwamba serikali ni ya wananchi wote wa Tanzania, na ndio pekee inaweza kuanzisha mchakato wa maridhiano ya wananchi kadiri ya matakwa ya wananchi wenyewe.
Yule ni Daktari ana PhD wewe umeishia la ngapi? La 3C?So, kuna case study ya kutuonyesha kwamba hii model inaweza work kwenye Tanzania context au ni idea nzuri zaidi kwenye maandishi kuliko ukweli wa mtaani?
waliouwawa ni wanyama?Lini na wapi ulisikia wananchi walifarakana hapa Tanzania??
Kuna watu wanafikiri kwa kutumia kile kitundu kilichopo matakoni nimeanza kuaminiLini na wapi ulisikia wananchi walifarakana hapa Tanzania??
Hoja ya maridhiano ni ya kitaifa, dini zote zinataka watu kukaa chini na kuelewana. Kitima ni kiongozi wa dini ila sijawai kumsikia akitoa kauli za kumbagua mtu au kumshambulia mtu sababu ya imani yake.changamoto ya Fr.Charles Kitima ni udini uliomjaa nafsini mwake.
anawachukia mno viongozi, hasa wa serikali kuu ambao sio wa dini yake na kabisa hana imani nao.
na anasahau kwamba serikali ni ya wananchi wote wa Tanzania, na ndio pekee inaweza kuanzisha mchakato wa maridhiano ya wananchi kadiri ya matakwa ya wananchi wenyewe.
Shida sio mchakato kuwa wa wananchi hao wananchi wanausikaje?Who are you again? Hizo so called vyama vya siasa viko drived na nani? Hizo taasis zingine ziko drived na nani?
Wananchi ndio msingi bila wao maridhiano yatakuwa baina ya viongoz na wanasiasa si wananchi
Wananchi walipigwa risasi za moto na serikali yao. Na wakauwawa maelfu kwa maelfu.Lini na wapi ulisikia wananchi walifarakana hapa Tanzania??
Wananchi wa mtaa upi walifarakana na mtaa upi??Wananchi walipigwa risasi za moto na serikali yao. Na wakauwawa maelfu kwa maelfu.
Kwa context ya Tanzania utaletewa wale wazee wa Dar es Salaam, wamachinga waliomchukulia fomu Samia na vijana kina Kiliba wa Tahliso.Ila proposal ya wanasiasa kuongoza maridhiano unaikubali kwamba ndio uwakilishi mpana?
Ukijiuliza Kati ya waTz zaidi ya ml 60 ni wangapi wanachama wa hivyo vyama? Hawafiki hata ml 10.
Pia jiulize je madhila ya matukio wakati wa uchaguzi yaliathiri watu kulingana na vyama vyao? Jibu ni hapana.
Kuhusu uwakilishi WA wananchi Wala sio ishu, hapo kunatakiwa kuwe na mawanda mapana ya uwakilishi.
Wananchi wapo kwenye makundi mbalimbali mfano dini, wazee, vijana, walemavu, wasomi, wamachinga, wanasiasa nk. Sasa kuwa Fanya wanasiasa pekee kuwakilisha makundi yote Kuna kitu kitakosekana.
Hapo ndipo hoja ya kitima ilipo. Na sio lazima iwe imeshafanyika mahala kwengine hata sisi tunaweza tukawa wa kwanza kuja na hii model then ikawa adopted kungine.
Hahaha then tutakuwa hatujaamua kwa dhati hayo maridhiano. Maana hata kuwaacha Hawa wanasiasa pekee Yao bado ni ubabaishaji tuu ndio mana CDM hawatakiKwa context ya Tanzania utaletewa wale wazee wa Dar es Salaam, wamachinga waliomchukulia fomu Samia na vijana kina Kiliba wa Tahliso.
Unaelewa maana ya wananchi kufarakana?waliouwawa ni wanyama?
Kwa hiyo hapa kulikuwa na mfarakano kati ya waislamu vs wakristo au weusi dhidi ya weupe au gongo la mboto dhidi ya chanika??