Mimi Simba, ila jezi zetu ni kichekesho ni mbaya sana

Ukilinganisha na ya Yanga ile yenye majengo mengi ipi unadhani ni bora?
Mkuu....yanga wameharibu jezi moja tu..... lakini sisi KOLO tumeharibu jezi mbili..
 
Ata ikiwa na rangi moja mtavaaa vinyesi fc ?, mbona husemi jessy ya makumbusho ya taifa yenu.
Ile nayo walizingua mkuu.... lakini hizi zetu simba tumezingua zaidi
 
Ni mawazo na mtazamo wako jezi ni nzuri sanaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…