Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mawazo na mtazamo wako jezi ni nzuri sanaaaaSalaam Wana JF,
Japo Mimi sio mzee wa kuleta threads humu jf Kama ndugu yangu @mpyayungu village, ila suala la jezi ya Simba limenichukiza Sana.
Jezi Kama batiki
Ukiangalia kwa mbali kwa hizi jezi zetu kolo fc ...unaweza sema ni batiki lakini ukisogea karibu ni batiki kweli hii ni aibu
Jezi Kama vikapu vya wamama
Mpangilio wa rangi ( color layouts) Ni wazi kwamba designer amekopi rangi za vikapu vya wamama .....hizi ni hujuma
Jezi ni za wanawake
Kutokana na jezi zetu kuwa na rangi rangi zisizo za msingi ( kinyonga) hii ni wazi kuwa jezi zimekuwa designed only for wanawake. Since biologically, socially, wanaume hatupendi vitu vyenye rangi rangi....
So Kama mwanaume ukivaa jezi hizi ntakushangaa Sana
Jezi Ina mistari ya contour[emoji23][emoji23]
Hapa designer alitaka kuonyesha alikuwa kipanga wa GEOGRAPHY
Je, nini kifanyike ili kukwepa aibu ya jezi zetu......by prof. mchambuzi
View attachment 2317651
Siku zote majengo au mji unaonekana kutokea mbali.Ukiangalia kwa mbali....zile za yanga ni Kali kidg
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] product ya Mzumbe, afu Campus ya Mbeya.Eti "Mimi Simba" hata saikolojia ya uandishi hujui