Hapana mkuu...labda kwa ile jezi nyekundu jersey Ni Kali mnooooo.....ila hizi zngine hapana kwa kweliNaona umeandika kwa uchungu Sana huku kinyesi kinagonga kyupi , machozi yanabubujika , kamasi zinatiririka puani , huku moyo unadunda kwa kasi sababu ya uzuri wa jezi ya simba.
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Ungenielewa ningekuongeza wa tatuKivip mkuu ....sijakuelewa hapa
Jezi zetu ni nzuri na zimetulia. Hatuna stress.Bora hata umekuja kunipa support.....najua hata wewe hiz jezi zimekukela[emoji23][emoji23]
3rd kit, afu ndo unyama sana hii yaan.Assume umevaa hii jersey ......alafu uwe mweusi Kama mimi
Expectations za watu zitakuwa
a) fundi rangi
b) mganga wa jadi
c) kigagula ( kibwengo)[emoji23][emoji23][emoji23]
......kwa hizi jezi hapanaaaView attachment 2317881
Somo la contoursSalaam Wana JF,
Japo Mimi sio mzee wa kuleta threads humu jf Kama ndugu yangu @mpyayungu village, ila suala la jezi ya Simba limenichukiza Sana.
Jezi Kama batiki
Ukiangalia kwa mbali kwa hizi jezi zetu kolo fc ...unaweza sema ni batiki lakini ukisogea karibu ni batiki kweli hii ni aibu
Jezi Kama vikapu vya wamama
Mpangilio wa rangi ( color layouts) Ni wazi kwamba designer amekopi rangi za vikapu vya wamama .....hizi ni hujuma
Jezi ni za wanawake
Kutokana na jezi zetu kuwa na rangi rangi zisizo za msingi ( kinyonga) hii ni wazi kuwa jezi zimekuwa designed only for wanawake. Since biologically, socially, wanaume hatupendi vitu vyenye rangi rangi....
So Kama mwanaume ukivaa jezi hizi ntakushangaa Sana
Jezi Ina mistari ya contour[emoji23][emoji23]
Hapa designer alitaka kuonyesha alikuwa kipanga wa GEOGRAPHY
Je, nini kifanyike ili kukwepa aibu ya jezi zetu......by prof. mchambuzi
View attachment 2317651
Jezi imetoka, designer hajapata tabu kueleza kwa umma, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Aiseee elimu inahitajika.....kutambua vitu gan vizuri na vibaya
Najua unavyosononeka kumoyo ....na mijezi mibovu...baada ya post purchase evaluation [emoji23][emoji23]Jezi imetoka, designer hajapata tabu kueleza kwa umma, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Huko kwingne ni mwendo wa kutoa lecture kwa umma. Weraaaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niko kwa mkapa tayariii, sema nimekosa jezi zimeisha.Piga picha umevaa jezi yeyote ya Simba.....Kama itakutoa chaap nakupeleka kwa mkapa ......for free[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jezi zetu zimeuwa mnooo. Yaan mnateseka na, kuumia sana.Najua unavyosononeka kumoyo ....na mijezi mibovu...baada ya post purchase evaluation [emoji23][emoji23]
Salaam Wana JF,