Mimi Simba, ila jezi zetu ni kichekesho ni mbaya sana

Naona umeandika kwa uchungu Sana huku kinyesi kinagonga kyupi , machozi yanabubujika , kamasi zinatiririka puani , huku moyo unadunda kwa kasi sababu ya uzuri wa jezi ya simba.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Hapana mkuu...labda kwa ile jezi nyekundu jersey Ni Kali mnooooo.....ila hizi zngine hapana kwa kweli
 
Salaam Wana JF,

Japo Mimi sio mzee wa kuleta threads humu jf Kama ndugu yangu @mpyayungu village, ila suala la jezi ya Simba limenichukiza Sana.

Jezi Kama batiki
Ukiangalia kwa mbali kwa hizi jezi zetu kolo fc ...unaweza sema ni batiki lakini ukisogea karibu ni batiki kweli hii ni aibu

Jezi Kama vikapu vya wamama
Mpangilio wa rangi ( color layouts) Ni wazi kwamba designer amekopi rangi za vikapu vya wamama .....hizi ni hujuma

Jezi ni za wanawake
Kutokana na jezi zetu kuwa na rangi rangi zisizo za msingi ( kinyonga) hii ni wazi kuwa jezi zimekuwa designed only for wanawake. Since biologically, socially, wanaume hatupendi vitu vyenye rangi rangi....
So Kama mwanaume ukivaa jezi hizi ntakushangaa Sana

Jezi Ina mistari ya contour[emoji23][emoji23]
Hapa designer alitaka kuonyesha alikuwa kipanga wa GEOGRAPHY

Je, nini kifanyike ili kukwepa aibu ya jezi zetu......by prof. mchambuzi

View attachment 2317651
Somo la contours
 
Aiseee elimu inahitajika.....kutambua vitu gan vizuri na vibaya
Jezi imetoka, designer hajapata tabu kueleza kwa umma, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Huko kwingne ni mwendo wa kutoa lecture kwa umma. Weraaaaaah
 
3rd kit, afu ndo unyama sana hii yaan.
[emoji881][emoji881][emoji881][emoji881]
Piga picha umevaa jezi yeyote ya Simba.....Kama itakutoa chaap nakupeleka kwa mkapa ......for free[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jezi imetoka, designer hajapata tabu kueleza kwa umma, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Huko kwingne ni mwendo wa kutoa lecture kwa umma. Weraaaaaah
Najua unavyosononeka kumoyo ....na mijezi mibovu...baada ya post purchase evaluation [emoji23][emoji23]
 
Piga picha umevaa jezi yeyote ya Simba.....Kama itakutoa chaap nakupeleka kwa mkapa ......for free[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niko kwa mkapa tayariii, sema nimekosa jezi zimeisha.
 
Najua unavyosononeka kumoyo ....na mijezi mibovu...baada ya post purchase evaluation [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jezi zetu zimeuwa mnooo. Yaan mnateseka na, kuumia sana.
 
Salaam Wana JF,

Japo Mimi sio mzee wa kuleta threads humu jf Kama ndugu yangu @mpyayungu village, ila suala la jezi ya Simba limenichukiza Sana.

Jezi Kama batiki
Ukiangalia kwa mbali kwa hizi jezi zetu kolo fc ...unaweza sema ni batiki lakini ukisogea karibu ni batiki kweli hii ni aibu

Jezi Kama vikapu vya wamama
Mpangilio wa rangi ( color layouts) Ni wazi kwamba designer amekopi rangi za vikapu vya wamama .....hizi ni hujuma

Jezi ni za wanawake
Kutokana na jezi zetu kuwa na rangi rangi zisizo za msingi ( kinyonga) hii ni wazi kuwa jezi zimekuwa designed only for wanawake. Since biologically, socially, wanaume hatupendi vitu vyenye rangi rangi....
So Kama mwanaume ukivaa jezi hizi ntakushangaa Sana

Jezi Ina mistari ya contour[emoji23][emoji23]
Hapa designer alitaka kuonyesha alikuwa kipanga wa GEOGRAPHY

Je, nini kifanyike ili kukwepa aibu ya jezi zetu......by prof. mchambuzi

View attachment 2317651

Daima mbele nyuma mwiko uzi mkali
 
Back
Top Bottom