Khaaaaaaaaaa cocastic unaitwaBinti wa hovyo huyo mkuu....achana nae[emoji23][emoji23]..ameanza kufukunyua Mambo ya ndani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unachekesha wee, sasa nisiwepo lupaso kwa kipi???Huna uwezo huo.....leta picha hapa ukiwa kwa mkapa
Wee utopolooo kaa huko kwako na jezi za historia 2. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mm Simba damu[emoji23][emoji23]nmeamua niseme ukweli....
Sisi tumezipenda tunanunuaSalaam Wana JF,
Japo Mimi sio mzee wa kuleta threads humu jf Kama ndugu yangu @mpyayungu village, ila suala la jezi ya Simba limenichukiza Sana.
Jezi Kama batiki
Ukiangalia kwa mbali kwa hizi jezi zetu kolo fc ...unaweza sema ni batiki lakini ukisogea karibu ni batiki kweli hii ni aibu
Jezi Kama vikapu vya wamama
Mpangilio wa rangi ( color layouts) Ni wazi kwamba designer amekopi rangi za vikapu vya wamama .....hizi ni hujuma
Jezi ni za wanawake
Kutokana na jezi zetu kuwa na rangi rangi zisizo za msingi ( kinyonga) hii ni wazi kuwa jezi zimekuwa designed only for wanawake. Since biologically, socially, wanaume hatupendi vitu vyenye rangi rangi....
So Kama mwanaume ukivaa jezi hizi ntakushangaa Sana
Jezi Ina mistari ya contour[emoji23][emoji23]
Hapa designer alitaka kuonyesha alikuwa kipanga wa GEOGRAPHY
Je, nini kifanyike ili kukwepa aibu ya jezi zetu......by prof. mchambuzi
View attachment 2317651
Na Issa azam veepSikiliza wee bwege, Simba hatunaga mashoga kama wewe
Achana nayo, tunywe tuleKwani alitoa comment gan, mbna sijaona?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa sawaSalaam Wana JF,
Japo Mimi sio mzee wa kuleta threads humu jf Kama ndugu yangu @mpyayungu village, ila suala la jezi ya Simba limenichukiza Sana.
Jezi Kama batiki
Ukiangalia kwa mbali kwa hizi jezi zetu kolo fc ...unaweza sema ni batiki lakini ukisogea karibu ni batiki kweli hii ni aibu
Jezi Kama vikapu vya wamama
Mpangilio wa rangi ( color layouts) Ni wazi kwamba designer amekopi rangi za vikapu vya wamama .....hizi ni hujuma
Jezi ni za wanawake
Kutokana na jezi zetu kuwa na rangi rangi zisizo za msingi ( kinyonga) hii ni wazi kuwa jezi zimekuwa designed only for wanawake. Since biologically, socially, wanaume hatupendi vitu vyenye rangi rangi....
So Kama mwanaume ukivaa jezi hizi ntakushangaa Sana
Jezi Ina mistari ya contour[emoji23][emoji23]
Hapa designer alitaka kuonyesha alikuwa kipanga wa GEOGRAPHY
Je, nini kifanyike ili kukwepa aibu ya jezi zetu......by prof. mchambuzi
View attachment 2317651
Mkuu.....so hamtaki kuambiwa ukweli?