Mimi Simba, ila jezi zetu ni kichekesho ni mbaya sana

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niko kwa mkapa tayariii, sema nimekosa jezi zimeisha.
Huna uwezo huo.....leta picha hapa ukiwa kwa mkapa
 
Dizaina wa jezi za Simba, yupo Sido anasomea utengenezaji wa mabatiki na sabuni za rangi mawingu...
 
Salaam Wana JF,

Japo Mimi sio mzee wa kuleta threads humu jf Kama ndugu yangu @mpyayungu village, ila suala la jezi ya Simba limenichukiza Sana.

Jezi Kama batiki
Ukiangalia kwa mbali kwa hizi jezi zetu kolo fc ...unaweza sema ni batiki lakini ukisogea karibu ni batiki kweli hii ni aibu

Jezi Kama vikapu vya wamama
Mpangilio wa rangi ( color layouts) Ni wazi kwamba designer amekopi rangi za vikapu vya wamama .....hizi ni hujuma

Jezi ni za wanawake
Kutokana na jezi zetu kuwa na rangi rangi zisizo za msingi ( kinyonga) hii ni wazi kuwa jezi zimekuwa designed only for wanawake. Since biologically, socially, wanaume hatupendi vitu vyenye rangi rangi....
So Kama mwanaume ukivaa jezi hizi ntakushangaa Sana

Jezi Ina mistari ya contour[emoji23][emoji23]
Hapa designer alitaka kuonyesha alikuwa kipanga wa GEOGRAPHY

Je, nini kifanyike ili kukwepa aibu ya jezi zetu......by prof. mchambuzi

View attachment 2317651
Sisi tumezipenda tunanunua
 
Sawa sawa
Screenshot_20220808-152112.jpg
 
Wee utopolooo kaa huko kwako na jezi za historia 2. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tukutane baada evaluation za jezi zilizonunuliwa Sana msimu huu
 
Dizaina wa jezi za Simba, yupo Sido anasomea utengenezaji wa mabatiki na sabuni za rangi mawingu...
Mkuu ....lkn mbna nilisikia jersey zimetoka ulaya.....na sio kariakoo
 
Back
Top Bottom