Mimi sio kungwi ila ni mwanamke, ichukue hii

Mimi sio kungwi ila ni mwanamke, ichukue hii

Mtoa mada katoa hoja ww umekuja na lawama, hoja yako iko wapi mkuu? Au naww ndo upo hiyo hatuna ya feminist?
Ungekuwa na upeo mkubwa wa kuelewa ungeiona hoja ila kwa vile na wewe ndio wale wale wazee wa kujifariji huwezi kuona hoja sisi wengine huwa hatusikilizi porojo za mitandaoni bali tunaangalia hali halisi, na uzuri huku kwenye jamii wote hali halisi tunaiona vinginevyo mtuambie hawa wanawake wenye tabia za hovyo tunaoona wanaolewa kila siku huwa wanaolewa na wanawake wenzao, maana kama kweli mngekuwa mnaoa hao wanawake wenye sifa nzuri nzuri mnazoziimba humu mitandaoni basi hizo ndoa zisingekuwa zinavunjika kila siku na wala tusingekuwa tunasikia vilio toka kwa wanaume walio kwenye ndoa
 
enheee tena wewe mnyaki tutaendana coz ni majirani,,nagonga 30 next month 😌
Karibu,karibu beautiful mpenzi. Kwanza niseme kuwa nakuheshimu sana na kisha nakupenda.Nitakujali ktk hali na namna zote,tujenge familia ya katoto 1 Mungu atatubariki.
 
MZUNGUKO WA MAISHA WA MWANAMKE WA KISASA (MALAYA)

Umri wa Miaka 12-15:

Anaanza kufungua miguu yake kwa wavulana wa shule ya sekondari na kuanza kupata uzoefu mwingi wa kingono.

Umri wa Miaka 16-18:

Katika hatua hii, anaanza kuweka vigezo vya juu kwa wanaume na kuanza kufikiria kuwa yeye ni bora kuliko wavulana wa umri wake na anakataa kuchumbiana na wale anaowaona kuwa chini ya kiwango chake.

Umri wa Miaka 19-20:

Katika hatua hii, kutokana na idadi kubwa ya wanaume wanaomkaribia, anaanza kufikiria kuwa yeye ni wa thamani, akisahau kuwa anatafutwa sana kwa ajili ya ngono tu.

Hii stage nyodo ndio hua nyingi full dharau kwa wavulana wa sio na hela na wale wa rika lake

"Siwezi kuchumbiana na wanaume masikini."
"Wanaume masikini hawapaswi kupata pussy."
"Mimi ni 'gen z baddie.' Ninastahili bora zaidi."

Umri wa Miaka 21-23:

Anaanza kukataa wanaume wazito wanaotaka kumuoa kwani anawaona kuwa wa kuchosha sana na wabaya mno kwake. Kwani bado anataka uhuru wa kuendelea kufurahia uhuru wake wa kingono na wavulana wabaya, wanaochepuka, na wanaume wasiokuwa na uwajibikaji kwani wanamsisimua zaidi.

Umri wa Miaka 24-25:

Bado anafikiria yuko katika ujana wake na bado anakataa kukaa na wanaume wazito.

Kwa sababu kwake, hayajaisha maisha yake bora na hataki kutuliza maisha yake yote kwa ajili ya mwanaume mmoja tu wakati bado kuna wanaume wengi wanamtaka

Umri wa Miaka 26-27:

Anakuwa mama asiyeolewa na anakuwa tayari kukaa na mwanaume.

Umri wa Miaka 28-29:

Anagundua kuwa thamani yake katika soko la uchumba imepungua sana na kwamba wanaume hawamchukulii kwa uzito.

Katika hatua hii, anajihakikishia kuwa mwanaume mcha Mungu ndiye chaguo lake bora. Kwa sababu kwake, mwanaume mcha Mungu ni sawa na mwanaume mjinga ambaye atapuuza historia yake ya nyuma ya kutembeza pussy kwa kila btothermen aliyekuja mbele yake.

Umri wa Miaka 30-32:

Katika hatua hii, anagundua kuwa kanisa ni nyumba ya mapumziko kwa ajili ya wanawake wa mitaani.

Utaanza kuona: "Mtoto wa Yesu.", "Mpenzi wa Mungu.", "addicted to jesus." na kadhalika kwenye wasifu wake.

Shiloh inakuwa sehemu yake ya kupenda zaidi.

Anakuwa mchangamfu kanisani.

Anajiunga na idara kanisani.

Utaanza kumuona akichapisha mistari ya Biblia, akizungumzia jinsi Mungu alivyo mkuu na jinsi ibada ya Jumapili ilivyokuwa nzuri.

Umri wa Miaka 33 na kuendelea:

Anapogundua kuwa hakuna mwanaume anayetaka kujitolea kwake, anakuwa mwanaharakati wa kike (faminest)

Utaanza kumuona akiwa hai katika mitandao yote ya kijamii akizungumzia jinsi wanaume walivyo nguruwe, wachafu, na hawapaswi kuaminika.

Wanawake wa kisasa watatumia ujana wao kuweka viwango visivyo vya kweli kwa wanaume, wakichepuka kutoka kwa mwanaume mmoja hadi mwingine na wanapokuwa tayari na wanahitaji kukaa na mtu, wanaanza kutafuta mwanaume mzuri ambaye anamcha Mungu na ambaye ataweka Mungu kwanza wakati wao waliweka ngono kwanza katika ujana wao.

Wafalme, usiwe huyo mwanaume atakayeteswa kwa dhambi za wanaume wengine kabla yako.

Kama mfalme na zawadi, unastahili bora zaidi na sio mabaki.

Usiruhusu mwanamke yeyote kukutumia kama mpango wake wa kustaafu.

USIKUBALI KUPUNGUZA KIWANGO CHAKO!
2025 no dating broke ladies.
No marrying ladies over 27 yrs. Wacha wapambane na usingle maza
 
Hebu ifike pahala wanaume mtoke huko kwenye hizo fantasies mje kwenye reality things are different on terra firma acheni hizi propaganda zenu zimeshapitwa na wakati, kutwa tunashuhudia ndoa zinafungwa na hao wanawake wanaoolewa wala siyo mabikira bali ni hao hao malaya wastaafu mnaoshinda mkiwatukana humu, mnapoweka vigezo hakikisheni vinaendana na uhalisia ifike mahali mkubali tu kuwa wanawake wenye vigezo mnavyovitaka hawapo tena mkiambiwa nanyi mjitunze mnasema hilo ni jukumu la wanawake halafu ukifika muda mnataka kuoa mnaanza kulialia hakuna wanawake wa kuoa..pathetic!!
Waambie hao kuku!
 
Back
Top Bottom