Smile Digital Stationery
JF-Expert Member
- May 5, 2024
- 202
- 317
Hello wana Jukwaa;
Kama nlivyotangulia kusema kuwa mimi sio Mtabiri, wala mfuatiliaji wa siasa kiviile na sijui mengi katika mambo ya siasa.
Ila mimi huaga hata katika maisha yangu ya kawaida, hupenda sana kuunganisha Dot kwa yale yalonitokea, niloyapitia na hunipa mwanga kuwa naelekea wapi.
Turudi kwa ndugu huyu TUNDU LISSU,
Hebu tuunganishe Dot pamoja;
• Dot ya kwanza: Sijui Elimu yake aliposoma, alipopitia n.k ila tuanze na (Kwanini alisomea SHERIA?) anaonekana ni mtu ambaye ana IQ kubwa ya kufikiri na kuchanganua mambo, huenda angesoma facaults nyngnezo ila KWANINI AKASOMEA SHERIA?
(Binafsi naona hapa alikuwa anaandaliwa kwa kupewa silaha itakayomsaidia kwenye vita zake mbeleni, na wakat huo hata yeye huenda alikuwa hajui yapi yanakuja kumkuta. Unataka kuniambia Lisu angekuwa hana hiyo silaha angeweza ku survive ktk vita zake hadi hii leo? Ni kesi ngapi kashinda kwa kujitetea yeye mwenyewe, na hata hii ya sasa nimesikia kasema atajitetea mwenyewe, mnadhani haya yanatokea kwa bahati mbaya?)
• Dot ya Pili: Unadhani ni kwanini kwenye lile tukio la kushambuliwa na risasi nyingi cjui 16 UNADHANI NI KWANINI HAKUFA?, Dunia nzima ilishangaa lile tukio, na huenda hata walomshambulia walishangaa kwamba KWANINI HAJAFA?,
Binafsi naamin M/Mungu hakuamua kumchukua kwasababu bado hajatimiza Mission ilomfanya akaletwa duniani, hvyo inapaswa aendelee kuishi hadi aitimize.
• Dot ya tatu: Mnadhani ni kwanini Lisu alishinda kwenye nafasi ya Mwenyekiti wa Chama kikubwa cha upinzani?
Mnahisi ni bahati mbaya?😄 Ama mnahisi ni kwa ujanja wake?. 🤔 TAFAKARI.
Hivi mnadhani kile chama kabla ya sasa kilikuwa ni chama cha upinzani au cha upigaji?, Nlikuwa naona Watanzania wengi walikuwa wanakipenda sana wakiona kwamba ilikuwa n upinzani kweli, lakin niwaambieni ile ilikuwa ni kete ya chama tawala kuendelea kuwepo madarakani bila hofu maana walikuwa wameweka watu wao mule na kila kilichokuwa kikiendelea walikuwa wanajua kanakwamba nao walikuwa kwenye kikao cha siri cha chama. Ikaja kudhihirika alipokuja kugombea ndugu Tundu Lisu wale watawala wakawa wanamsaport yule Mwenyekiti wa zamani😄 TAFAKARI.
• Dot ya Nne: Hii naweza ilinganisha na ile Dot ya pili, kwamba kipind anashambuliwa ni kama suala lilikuwa la ndani ya nchi zaidi na hapakuwa na makelele saana nje ya nchi na Ulaya huko, ila mbona hili la yeye kushtakiwa limeleta attention sana na dunia inalifuatilia tofaut la lile la kutaka kuuawa?, hata wale wanasheria na wanaharakati wa majirani walokuja wakatekwa na kudhalilishwa kama inavyosemekana mnadhani yote yanatokea kwa bahati mbaya?, Ni kama vile M/Mungu anawaletea Watanzania wapazaji sauti maana Watanzania ni waoga, wanafiki, na wabinafsi hvyo anawaletea majirani zenu ili wawasemee na kuwapazia sauti ili kuwaokoa. Je, yalotokea hayajawasaidia?, Leo hii naeza sema dunia nzima inafuatilia kesi ya Lisu na kwa bahati nzuri kesi inapaishwa Online ili dunia ione hata wasiokuwapo Tanzania, haya yote mnadhan ni yanakuja tuu kwa bahati mbaya? 🤔
• Dot ya Tano: Hii naomba muitolee maoni, Je unaona ni kipi