Mimi siyo malaika ni binti wa kawaida tu!

1.Duuh sikuiona hii!
2. Bina siyo lazima uwaanzishie uzi, ukikaa kimya itamfaa pia!
3. Vyovyote watasema, utabakia kuwa Demiss
4. Ukitambua unafanya nini na kwa nini, achana nao.
5. Pole binamu! Wasiokupenda hujitokeza kila unapoishi.
[emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9]
 
Kumbe kuna watu wanapata tabu humu hahaha proudly to be culture...lol.

Pole Demiss just continue to show love and live your life gal.
'Just keep to show love and live your life gal'. Mimi nimeamua tu ku-rewrite sentensi yako manake niliona umetumia neno ngumu in btn. Ila napenda kukuhakikishia kuwa mimi siyo hater wako hata kidogo, usije ukanichukua best......hahahahaha
 
Women ll always be women...teh! teh! teh[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…