Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9]1.Duuh sikuiona hii!
2. Bina siyo lazima uwaanzishie uzi, ukikaa kimya itamfaa pia!
3. Vyovyote watasema, utabakia kuwa Demiss
4. Ukitambua unafanya nini na kwa nini, achana nao.
5. Pole binamu! Wasiokupenda hujitokeza kila unapoishi.
Ntayafikisha mashtaka kwako Mwenyekt umshughulikieNipe mm katibu
'Just keep to show love and live your life gal'. Mimi nimeamua tu ku-rewrite sentensi yako manake niliona umetumia neno ngumu in btn. Ila napenda kukuhakikishia kuwa mimi siyo hater wako hata kidogo, usije ukanichukua best......hahahahahaKumbe kuna watu wanapata tabu humu hahaha proudly to be culture...lol.
Pole Demiss just continue to show love and live your life gal.
You are grown up.
Big up...
Nini mbaya[emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9]
Halafuuuu...... Ngoja kidogo
Women ll always be women...teh! teh! teh[emoji1] [emoji1] [emoji1]Huwa navumilia sana lakini kuna muda hata mm nakereka jamani.
Naombeni niongee na hater wangu wa JF;
1.Kama hunipendi naomba uniblock
2.Hunipendi na unafungua nyuzi zangu huoni kama unazidi kuumia kwenye roho yako?
3.Unavyolike comment ninazotukanwa account yako benki inaongeza madorali?
4.Labda nikwambie hivi kuna watu wanafurahia mastory kutoka kwa Demiss ukinichukia wewe mwenzako ndo kwanza ananichukua na kunipeleka Pizzeria kula Pizza kutokana na Nyuzi zangu ninazoandika
.
5.Alafu mm mbona nina sura mbaya tu alafu sina chura nina flat ndo maana napenda mambo mazuri yani vyote hivyo ninyimwee na mambo mazuri ninyimwee llooooooh .
6.Alafu mm kuwa hapa Jf hapaniongezei pesaa bank wala hapanilipiii kodi ya nyumbaa kwahiyo tusichoshane wala tusikaushane vizazi.
7.Wala usiangaike kutengeneza id mpya kunitukana maana mm ni kama kichaaa hata unitukane sitapunguza utamu wa bumbunda langu litabak palepale na ulimbo wakeee.
8.Jamiiforum nimeikuta na nitaiacha hivi hivi .
9.Alafu mm yani napenda mapenzi kuliko chochote yani labda niwaambie wote tungekuwa na akili sawa kusingekuwa na haja ya kuwa na majukwaaa mbali mbali.
10.Hapa Jf kuna wachawi,wapenda kubet,wapenda siasa,wafanyabiashara,wapenda kula,na wapenda mapenzi kama mm hivyo TUNATEGEMEANA KATIKA KUENDESHA JAMIIFORUM.
DEMISS NASEMAJE "UTAPATA TABU SANA
Kuna mambo huku acha tu. Watu wanakua marafiki wanagombana wanachukiana bila hata kuonana sura zao [emoji23][emoji23][emoji23]Aiseee,kumbe jf hua mnapigana vikumbo had kuchukiana nanna hii
bora nilud kwa totoz za fb,insta
Kwakweli ngoja nisimwage kuku kwenye mchele mwingiNini tena jamani usimwage mchele kwenye kuku wengi