Kuna kiumbe akicomment chochote katika huu uzi bass majin yangu yananiambi utafikia k500
Kwani fine ni mpaka hela?Eeenh kitu tena
Hakuna nouma shoga ake Mzigua90Akija huyo kiumbe usisahau kuniita
Kwanza miye mtu wa hvyo huwaga sinaga msamaha nae binafsi kabisaa....maana mnafiki!
Kuna watu wanakera humuu!
Ujue nifah wengine wamekuja jf kutafuta kick,kutafuta likes na comments wako..waonekane kwamba wao ndo wanaongoza kwa likes na comment's so wanatafuta kila namna kujulikana..!!
Demmis usijifanye kulike hapa mtaje tu hakuna namnaaa[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Ohooo...wenziwo wanaona sifa kabisaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kama zote yaani!!!Heeeeeeee! Kumbe ndio hivyo?
Umaarufu wa JF una faida basi? Zaidi utaongeza maadui tu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji11]usikondeAkitajwa nitag mpenzi.
Kwani fine ni mpaka hela?
Kimeenda wapi sasa?Hiko kitu sina mie cha kutoa
Kimeenda wapi sasa?
Hujui kuwa unatembea na asaliNi kitu gani kwani
Hujui kuwa unatembea na asali
Una mkuyenge au likitumbua la ukweliEenh huu mkuyenge wangu kumbe ni asali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuyenge jamaniUna mkuyenge au likitumbua la ukweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja nipite hivi[emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuyenge jamani