Mimi siyo malaika ni binti wa kawaida tu!

Mimi siyo malaika ni binti wa kawaida tu!

Nakazia arudi jamani
We mwanamke huwa una kismati sana ukicomment kwenye Uzi wowote ule unageuka trending.

Sasa Nina Uzi wangu elimishi na murua sana na ningependa uwafikie wengi ili waelimike, wastaajabu nakuburudika una siku kadhaa lakini umegeuka gofu sababu hujapita wewe na company yako....sasa nenda Kasome na kucomment tu na rafiki yako mumu then utakuwa trending ili na wengine wawe enlightened.

Pitia hapa kuingia Michelangelo; Genius aliemchallenge vikali Leonardo Da Vinci kwenye kazi za Sanaa [emoji23] [emoji23]

Suala la Demiss niachie Mimi hilo, nalimudu.

Xoxo!
 
We mwanamke huwa una kismati sana ukicomment kwenye Uzi wowote ule unageuka trending.

Sasa Nina Uzi wangu elimishi na murua sana na ningependa uwafikie wengi una siku kadhaa lakini umegeuka gofu sababu hujapita wewe na company yako....sasa nenda Kasome na kucomment tu na rafiki yako mumu utakuwa trending ili na wengine wawe enlightened.

Pitia hapa kuingia Michelangelo; Genius aliemchallenge vikali Leonardo Da Vinci kwenye kazi za Sanaa [emoji23] [emoji23]

Suala la Demiss niachie Mimi hilo.

Xoxo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka tatizo ulipo intelligence uko watu hawafiki kabisa
 
We mwanamke huwa una kismati sana ukicomment kwenye Uzi wowote ule unageuka trending.

Sasa Nina Uzi wangu elimishi na murua sana na ningependa uwafikie wengi una siku kadhaa lakini umegeuka gofu sababu hujapita wewe na company yako....sasa nenda Kasome na kucomment tu na rafiki yako mumu utakuwa trending ili na wengine wawe enlightened.

Pitia hapa kuingia Michelangelo; Genius aliemchallenge vikali Leonardo Da Vinci kwenye kazi za Sanaa [emoji23] [emoji23]

Suala la Demiss niachie Mimi hilo.

Xoxo!
Hahaha mkuu huyu kule simuonagi
 
Ndio nimetoka huko jamani
Ndio ,halafu twende kule intelligence forum kuna Uzi wa Humble Africa uko poa sana
Waafrika hawapendagi maandishi magumu kabisa ndio maana huwa nikiandika najitahidi sana kutafanya magumu yawe mepesi.

Nawajua Wamatumbi wenzangu hawajawahi kuipenda shida.
 
Ahahaha!! Mkuu kwa Mara ya kwanza namleta maana Nina Malengo nae pia..haiwezekani mwanamke awe na kismati hivi afu nimchunie tu.
Hahaha nimemwambia aje huko, mie zamani nilikua cjui km kuna haya majukwaa yao humu JF zaidi ya kule tunakutanaga Siku zote,ila wamenishawishi siku hz nami huku naingia
 
Back
Top Bottom