Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Kwa hili tatizo Dr wa kutibu ni ww hkn mwingineSasa itabidi uwahi hospital usije ukaangua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hili tatizo Dr wa kutibu ni ww hkn mwingineSasa itabidi uwahi hospital usije ukaangua
Kwa hili tatizo Dr wa kutibu ni ww hkn mwingine
Sema neno moja tu,moyo Wangu utapoaEeeenh mm nalitibu vipi sasa
We mwanamke huwa una kismati sana ukicomment kwenye Uzi wowote ule unageuka trending.Nakazia arudi jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka tatizo ulipo intelligence uko watu hawafiki kabisaWe mwanamke huwa una kismati sana ukicomment kwenye Uzi wowote ule unageuka trending.
Sasa Nina Uzi wangu elimishi na murua sana na ningependa uwafikie wengi una siku kadhaa lakini umegeuka gofu sababu hujapita wewe na company yako....sasa nenda Kasome na kucomment tu na rafiki yako mumu utakuwa trending ili na wengine wawe enlightened.
Pitia hapa kuingia Michelangelo; Genius aliemchallenge vikali Leonardo Da Vinci kwenye kazi za Sanaa [emoji23] [emoji23]
Suala la Demiss niachie Mimi hilo.
Xoxo!
Sema neno moja tu,moyo Wangu utapoa
Kilichokuchekesha ni nini eti[emoji23] [emoji23] vipi kwani
Hahaha mkuu huyu kule simuonagiWe mwanamke huwa una kismati sana ukicomment kwenye Uzi wowote ule unageuka trending.
Sasa Nina Uzi wangu elimishi na murua sana na ningependa uwafikie wengi una siku kadhaa lakini umegeuka gofu sababu hujapita wewe na company yako....sasa nenda Kasome na kucomment tu na rafiki yako mumu utakuwa trending ili na wengine wawe enlightened.
Pitia hapa kuingia Michelangelo; Genius aliemchallenge vikali Leonardo Da Vinci kwenye kazi za Sanaa [emoji23] [emoji23]
Suala la Demiss niachie Mimi hilo.
Xoxo!
Ahahaha!! Mkuu kwa Mara ya kwanza namleta maana Nina Malengo nae pia..haiwezekani mwanamke awe na kismati hivi afu nimchunie tu.Hahaha mkuu huyu kule simuonagi
NimefurahiKilichokuchekesha ni nini eti
Ndio ,halafu twende kule intelligence forum kuna Uzi wa Humble Africa uko poa sanaKhaaaa neno tena
Waafrika hawapendagi maandishi magumu kabisa ndio maana huwa nikiandika najitahidi sana kuyafanya magumu yawe mepesi.Ndio ,halafu twende kule intelligence forum kuna Uzi wa Humble Africa uko poa sana
Ndio ,halafu twende kule intelligence forum kuna Uzi wa Humble Africa uko poa sana
Waafrika hawapendagi maandishi magumu kabisa ndio maana huwa nikiandika najitahidi sana kutafanya magumu yawe mepesi.
Nawajua Wamatumbi wenzangu hawajawahi kuipenda shida.
Hahaha nimemwambia aje huko, mie zamani nilikua cjui km kuna haya majukwaa yao humu JF zaidi ya kule tunakutanaga Siku zote,ila wamenishawishi siku hz nami huku naingiaAhahaha!! Mkuu kwa Mara ya kwanza namleta maana Nina Malengo nae pia..haiwezekani mwanamke awe na kismati hivi afu nimchunie tu.
Nimefurahi
Ahahaha!! Mkuu kwa Mara ya kwanza namleta maana Nina Malengo nae pia..haiwezekani mwanamke awe na kismati hivi afu nimchunie tu.
Ndio tatizo letu hasa huko bongo ndio kabisa ,Shunie hebu twende kule ukajionee maajabu ya uchongaji na uchorajiWaafrika hawapendagi maandishi magumu kabisa ndio maana huwa nikiandika najitahidi sana kutafanya magumu yawe mepesi.
Nawajua Wamatumbi wenzangu hawajawahi kuipenda shida.