Mimi siyo Tajiri. Mngemwona Baba yangu mngezimia na kufa kwa mshangao

Mimi siyo Tajiri. Mngemwona Baba yangu mngezimia na kufa kwa mshangao

Kiduku Lilo the young bil ulipotelea wapi 😁😁.

Jukwaa lilipoa kwa kiasi kukosa watu kama wewe

Moderator Mhariri tunaombenj msianze mambo yenu ya kuhamisba posf za huyu bwana, alikereka akaacha kuoost karibu kwa mwaka mzima na sisi members tulihuzunika sana.

Welcome again Kiduku Lilo

Tia nyuzi nyingine mkuu ya kutu inspire tuuchukie huu umaskini, fokea umaskini
 
Haya rudi uhalisia dinner hioView attachment 1689295 ukimaliza ukaoge maji ya bomba la mvua yameshachujwa kabisaView attachment 1689296
Ndio maana IQ zetu za bongo zina mushkel kwa kushindilia hii kitu KILA SIKU
2678775_129773109_796746800877046_4169778409205058119_n.jpg
 
Wengi nikiandika humu maisha yangu wanadhani mimi ni tajiri. Wala si tajiri. Maisha ya kumiliki gari GMC,RR,Mercedes Benz,BMW,VW za miaka ya hivi karibuni na kukaa apartment Oysterbay si utajiri.

Nawakatilia kabisa.ni maisha ya kawaida ambayo mtanzania yeyote anaweza ishi. Mimi kusafiri kwa ndege kila wakati au kutowaza pesa ndogo ndogo hizi ni maisha ya kawaida sana.

Mzee huwa hanielewi kwa nini ktk nchi zooooote Duniani nliamua niwe nakaa Tanzania, mpaka leo ndugu zangu wananishangaa sana, mimi huwajibu mkataa kwao ni mtumwa.

Na siwezi jitengea na maisha ya watanzania wenzangu.toka mwaka ule nimekuja nikalia baada ya kuona maisha ya watu wa Sinza nlijiwa na Imani sana.

Nawasisitizia mimi si tajiri mzee wangu huwa anavaa saa mpaka ya milion 30 za kitanzania. Mimi yangu ni Rolex ya Mill 7 tu. Ukiacha hizi nyingine za designers mbalimbali.

Wengi wananiambia kidukulilo unajenga wapi. Mimi hii apartment ninayoishi ndo makazi tayari. Nliuziwa. Lakini pia Kigamboni kuna vinyumba viwili pale Avic Town. Wagen wangu sometimes wanafikia kule. Na zile bei yake ni ndogo tu. Kila moja Bilion moja ukichanga changa mishahara ndani ya miaka 2 unachukua nyumba. Ni malengo tu.

Suala la kuoa ndio hapo napata changamoto.natamani nioe mwanamke wa kitanzania. Awe na akili, awe mzuri, awe pia bikra. Mimi napenda vitu nianze tumia mwenyewe.

Si sababu nina pesa ...hapana ni mipango tu. Mi siyo tajiri nakataa kabisa. Maisha yangu ni ya uchumi wa kati tu.sema shida ndogo ndogo sina kwa kweli. Mi nashauri watu wasome.wasome sana wapate ajira makampuni ya Kimataifa au waanzishe Kampuni zao.

Moderator kama wanaweza waanzishe JF Fund. But naona nao ni kama hawaamini mtanzania anaweza kuwa na maisha haya. Nadhani ni mazingira waliyopitia.
Utakuta ulivyokuwa unaandika huu utopolo ulikuwa unaning'iniza poumbou sofani sebuleni kwa shemeji yako huku mking'ang'ania remote na beki tatu.

Kamoooonn inuka ukamfungulie geti shemeji yako anapiga honi.
 
Back
Top Bottom