Mimi superbug sifa zangu ni hizi

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
1. Nina elimu ya Masters.

2. Nimetembea ulaya na USA mostly italy na UK.

3. Nina watoto 3.

4. Mke mzuri.

5. Mpare kwa kabila.

6. Naipenda Israel na Urusi.

7. Najua kutumia silaha za moto.

8. Najua matumizi sahihi ya R na L.

9. Mkatoliki kanisa takatifu la Roma.

10. Mpenzi wa simba SC.

11. Nachukia Ugaidi wa nchi za kislamu.

13. Najua Kiswahili kingereza na kitaliano kidogo.

14. Najua shida na raha

15. Mpenzi mkubwa wa chadema (CCM hapana wana mambo mengi nisiyokubaliana nayo hasa utekaji na wizi wa kura.

16. Rais wangu kipenzi wa tz ni nyerere Mkapa na Jakaya.

17. Nakunywa pombe.

18. Niko timu ndoa (kuoa ni muhimu na baraka.

19. Kipato changu ni 20mM kwa mwezi.

20. Naishi Arusha Tanzania na nakuru kenya.
 
Kuna sifa moja hujaitaja
 
Nimefurahishwa na andiko lako, Japo una kipato kidogo
 
Hizi ni sifa za kawaida ambazo zaidi ya members asilimia 80 wanazo humu JF. yaani ume copy kwa members kadhaa umezikusanya na kuzileta hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…